Wewe ndo unajidanganya , nani Siku hizi anafanya group organised crime kijinga hivo? Ujambazi wenyewe umepungua sana kwa sababu watu wananaswa kwenye hatua za mwanzo kabisa kabla ya tukio, halafu ndo Kuorganise group ya kufumania amabyo inaweza geuka fatal anytime ?
 
We jaribu ingia kumi na name yangu .

Soon sikucheleweshi nahakikisha unaimbiwa mapambio siku hiyo .

Huyo waziri ni fala alipaswa awatengue hata magoti
Haya maswala ya kufumania sasa hivi ni magumu sana kwa sababu yanaangukia kwenye jinai moja kwa moja , vijana bado wanakariri either kwa kudanganyana au kutokukujua. Unless hiyo mission ifanywe na mtu mmoja which is extremely dangerous .
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii sui vita sasa khaaah
 
Haya maswala ya kufumania sasa hivi ni magumu sana kwa sababu yanaangukia kwenye jinai moja kwa moja , vijana bado wanakariri either kwa kudanganyana au kutokukujua. Unless hiyo mission ifanywe na mtu mmoja which is extremely dangerous .
Unajua mwanagu kufumaniwa ukapaniki inatokea pale unapoingia ndani huku huna awareness kuwa lolote laweza kutokea, ndo pale inapotokea ukagongewa mlango unapaniki ghafla.

Sasa Mimi nikiingia na mwanamke, bila kujali Ni mke wa mtu au demu, iwe geto au guest nakuwa najua kabisa kuwa "NIMEINGIA NA MWANAMKE , NAWEZA KUTOKA SALAMA, NAWEZA KUTOKA NIMEULIWA, NAWEZA KUTOKA NIMEJERUHIWA AU NAWEZA KUTOKA NIMEUA AU NIMEJERUHI"

nakuwa Niko aware kabisa na Niko prepared!!
 
Unamsemea yule waziri...... Au?
 
Ya nini kujiami na mavitu yote hayo, ni kwanini hamujiamini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jaribu ingia kumi na name yangu .

Soon sikucheleweshi nahakikisha unaimbiwa mapambio siku hiyo .

Huyo waziri ni fala alipaswa awatengue hata magoti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Achana na stori za vijiweni hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya maswala ya kufumania sasa hivi ni magumu sana kwa sababu yanaangukia kwenye jinai moja kwa moja , vijana bado wanakariri either kwa kudanganyana au kutokukujua. Unless hiyo mission ifanywe na mtu mmoja which is extremely dangerous .
Yaani unile kiboga halafu nikuache hivi .

Mi nakula chako skuachi mzee[emoji1787]

Kama ulikoddi watu na Mimi nakodi watu wakukule [emoji1787] sio ishu ya hela tu [emoji1]

Labda uniue on the scene.

Otherwise the saga continue
 
Toa namba za mkeo halafu uje unifumanie, halafu uone nitakachokufanya!
Usijidanganye ww, unapotengenezewa fumanizi watu wanakuwa wamejiandaa na wanakuwa na hasira kuliko zako.

Hamna kikubwa utakachofanya labda uwaambukize ukimwi wakiamua kukuingilia.

ACHANA NA WAKE ZA WATU HIYO NDIYO SILAHA YENYE UHAKIKA.
 
Achana na stori za vijiweni hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani hata hueleweki.. Kama hujui uliza uelezwe. Ipi unayosema story ya kijiweni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu hawajui vizuri kuhusu kufumaniwa, yaan hata uwe mjeda ukiwa ktk kufumaniwa unakua mdogo km priton.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…