t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,035
- 16,705
Wewe ndo unajidanganya , nani Siku hizi anafanya group organised crime kijinga hivo? Ujambazi wenyewe umepungua sana kwa sababu watu wananaswa kwenye hatua za mwanzo kabisa kabla ya tukio, halafu ndo Kuorganise group ya kufumania amabyo inaweza geuka fatal anytime ?Mnajidanganya sana anyway subiri wakati ufike halafu uone kisu au bisbis kama itakuja kuwa msaada.
Dogo waziri mzima pamoja na kuwa na bastola lakn haikufaa akawekwa mtu kati mpaka polisi ndio walimuokoa. Ww unaongelea kisu na bisbis. Hahahaa hujakutana na shababi
Sent using Jamii Forums mobile app