Hilo nadhinitisha ni international tea hawezi kuoga kwako first day na ni make wa mtu kama hujaedit really event nadhinitisha ni chaiView attachment 1720265

Mkuu kula kwanza ushibe, meza mate alafu andika kiswahili kizuri basi au kajifinze kwanza kuandika na kusoma, alooga kwene hiyo nyumba ni mwenye nyumba, yan aogope kwenda bafu la nyumba yake ?.ELIMU BURE NDIO IMELETA HAYA YOTE KUDADEKI.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mke wa mtu kula mara 1 tu. Kamwe usijaribu mara 2 au 3
 
Wee jamaa ile simulizi yako ya FOLKLAND kule Vituka imeishia wapi? Au inaendelea Telegram kwa bei maalum?
 
Kila kitu ni mipango hakuna kinachoshindikana, unaweza ukaja na watu mkaishia kupoteza maisha , ama kumuadhibu anaekula mkeo, ama pia unaweza mkamla kiboga, naye akapanga akakula kiboga mbele ya mkeo, mbona yote yanawezekana. Watu wengi wamewahi kudhibitiwa na wachache zaidi ya mara mmoja, jeshi kubwa Lenye silaha kali limewahi kipigwa na jeshi dogo, fuatilia Alexander the Great alivyotawala dunia ya wakati huo akiwa na miaka 28 tu.
Mtu asijifanye mbabe sana, au anajua kupanga sana, maana hata mafia wenyewe kama Albert Anastasia na wengine wengi waliuliwa tu.
Kama mkeo analiwa ukiamua wake mtego, ila pia jiangalie usijekuwindwa ukaliwa huku unarekodiwa unavyolalamika kama mkeo.
Mafia(itakua) Yakuza(Japan) triads (China) cartels (Mexico na Colombia) Axe( Nigeria) nakadhalika hawaripoti polisi, japo polisi huja kuchukua miili kama ikibakishwa wengine wanatendenezea maiti yako chakula cha mbwa na Nguruwe.

Stori za masihara ziendelee haogopwi mtu ila Mola pekee.
 
KAJIFINZE??????
HAHAHA
MAMAAAEEEEE
Kama Uongo kiupande wako mwachie mwenyewe, hakuna mahali aliandika wewe JESUS MASTER ndiyo usome. Pia hakuna kipengele cha uzi huu kinachoeleza uumhue. Punguza mambo ya kike, soma kama unaona ni uongo ruka na kupiga kimya. Hakuna alokuandikia weww, usituharibie uzi na kujaza reply nyingi zisizo na maana.
 
Sawa sawa mkuuuu kiongozi
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Usile wake za watu mkuu, we ogopa hadi maandiko yanasema ndoa na iheshimiwe na watu wote [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Dah pole mkuu, kumbe wanaume ni wengi wenye kuuza mechi punde mzigo kama haueleweki, mimi pia huwa siwezi, dah sema umejua kujitetea kinoma
 
Kaka umenkumbusha pia mbali sana


Ilikua kama yako ila yeye ilikua kwake
Nafika tu nakutana na mavidonge makubwaa
Namuuliza vipi akaniambia ooh yaan hapa nnakunya damu![emoji23][emoji23] nkasema ohoooooh tatizo hili

Nkajiendeag[emoji23]
Anakunya damu [emoji28][emoji28][emoji28] duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…