The Eric
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 6,446
- 10,976
kama kashindwa kutumia code huyo ni chai kapika hapaUngetumia code Mzee maana kila kitu umwmekianika hadi anapofanyia kazi, kabila lake, mda anaourudi na kazi ya mmewe!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama kashindwa kutumia code huyo ni chai kapika hapaUngetumia code Mzee maana kila kitu umwmekianika hadi anapofanyia kazi, kabila lake, mda anaourudi na kazi ya mmewe!
Hilo nadhinitisha ni international tea hawezi kuoga kwako first day na ni make wa mtu kama hujaedit really event nadhinitisha ni chaiView attachment 1720265
KAJIFINZE??????Mkuu kula kwanza ushibe, meza mate alafu andika kiswahili kizuri basi au kajifinze kwanza kuandika na kusoma, alooga kwene hiyo nyumba ni mwenye nyumba, yan aogope kwenda bafu la nyumba yake ?.ELIMU BURE NDIO IMELETA HAYA YOTE KUDADEKI.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]😀😀 Inanikumbusha siku moja hivi. Nilikuwa nina urafiki na demu mmoja kwa Facebook, ni Mmama katika her late 30s, ana watoto wawili wakubwa. Muonekano wake katika picha ni mzuri sana! Tulikuwa tukiwasiliana sana lakini hatukuwahi onana hadi hiyo siku. Hii siku tulikubaliana niende ktk mji anaoishi tuonane na tumalize hamu zetu.
Nilivyofika aliniambia anikute sehemu fulani kisha tutafute sehemu tulivu twende. Nilifika sehemu husika na nikamsubiri, kama dakika mbili/tatu alitokea. Nilimuona akiwa kakonda, nywele katengeneza zile timutimu kazipaka rangi na kaachia blauzi ndefuuu inayovuka magoti katia na jeans ya blue. Kwa hakika sikufurahishwa na muonekano wake.
Baada ya kufika lodge akaanza kunipa story za maisha yake kuwa kaachana na mume wake na sasa yuko katika mahusiano mengine. Siku zote alikuwa akinihakikishia yuko na mume wake. Ni muongeaji sana.....Jana yake kabla ya kuja wakati tukichati aliniambia kuwa anafurahia sana kulambwa chumvini! Wakati tunaendelea kuongea (yeye kakaa kitandani mimi katika sofa) niliona midomo yake ikiwa miekundu sana na ina michubuko kwa mbali na ule ute mweupe!
Hamu ya kugegedana iliniisha kabisa nikajiambia hapa siko salama (mungu nisamehe kama nilikosea) kwani katika vitu ninavyopenda ni KULA DENDA! Nikatafuta namna ya kumshawishi tusigegedane bila ya kumuumiza hisia zake. Bahati nzuri, niliondoka nyumbani asubuhi nikiwa bado sijapata haja kubwa, hivyo nikamuaga kuwa naenda msalaani kwani naona tumbo langu limevurugika. Nilienda msalaani nikachukua kama dakika 10 na kujifanya naharisha.....Nilitoka nikiwa nimeshikilia tumbo! Akanipa pole, nikamwambia kuwa wakati nakuja nilikunywa supu njiani huenda ndio imeniharibu tumbo. Yeye pia alikubali akasema mara nyingi supu za njiani huwa sio nzuri. Haikupita muda nikakimbilia tena chooni safari hii nikakaa kama dakika tano kisha nika flash choo nikarudi. haikupita dakika tano nikakimbilia chooni tena nikafanya vile vile!
Alinionea huruma sana na kuniomba ni bora niende duka la dawa ninunue (yeye ni Muuguzi) flani ninywe itanisaidia. Yeye mwenyewe akanishauri kwa hali niliyonayo ni bora tuahirishe mchezo nikakubaliana naye. Tukaondoka zetu lodge nikimshukuru Mungu.
Mara nyingi huwa napenda kufuata hisia zangu na huwa haziniangushi!
Roho yangu inakosa furaha yaaani, umejuajeeeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan bila kunitaja wee huridhiki eti lol
Mke wa mtu kula mara 1 tu. Kamwe usijaribu mara 2 au 3TUKIO LA 1: Kuna jamaa hakuamini, alishangaa tu watu hawa hapa ndani ya chumba chake, hotel ilikuwa ni ya kifahari, kilichomuokoa ni ukubwa wa dirisha, aliruka urefu wa ghorofa 2 akavunjika mguu na mkono.
Alikuwa anatembea na mke wa mtu. Inaonekana mke alibanwa akatoa ushirikiano kisha watu wa fumanizi wakafanya namna wakapewa ushirikiano na management ya hotel, haijulikani ni nn walifanya au walitoa hadi kupewa huo ushirikiano.
Hizi hotel mara nyingi huwa ni soundproof hivyo wangefunga milango na madirisha pengine jamaa yangemkuta mabaya sana.
TUKIO LA 2: Arusha, Huyu mwamba walifanikiwa kumwingilia. Inasemekana Mke alidakwa na sms, mume alikiwa anajiweza kifedha, mke akapewa maelekezo asifanye lolote aendelee na mahusiano mpaka pale atakapopewa maelekezo. Baada ya miezi kupita huku mke akiliwa kama kawaida ila mawasiliano yake yote na taarifa zake zote mume akizipata hatimaye siku ya maelekezo ikawadia, akaambiwa amshawishi jamaa waende nje ya mji, hotel nzuri tu. Jamaa hakutia shaka akaenda, kumbe ni mtego, alipoingia ndani wakati wanaendelea jamaa akashangaa wanaume hawa hapa, wakamwingilia kwa zamu huku mke wa mtu akishuhudia. Jamaa baada ya tukio alitafuta mtu wa saikoloji, akamtrain. Alirudi mtaani na mpaka sasa anaendelea kuchakata wake za watu mara dufu zaidi ya mwanzo. Ameshindikana.
Fumanizi ni mtego. Tena wakati mwingine mwanamke anafahamu kila kinachoendelea maana Mume alishamshika panaposhikika.
Kama una rafiki yako mpelelezi wa polisi muombe data ya matukio ya kinyama yaliyowahi kufanyika kwenye mahoteli makubwa ya kifumanizi. Wana data nyingi sana.
Kutembea na Mke wa mtu halafu ukawekewa mtego kuchomoka hakuna ukomandoo. Labda bahati.
Wee jamaa ile simulizi yako ya FOLKLAND kule Vituka imeishia wapi? Au inaendelea Telegram kwa bei maalum?Niliwahi kujishikiza katika ofisi moja ya Mtanzania mwenzetu, baadaye nikapata kazi ya uhakika hivyo ila ikabidi nitoe taarifa za kuacha kazi.
Baada ya mazungumzo na mwenye ofisi akaomba nitumie walau wiki mbili kumwelekeza na kumkabidhi kazi mwajiriwa mpya ambaye alikuwa binti.
Zoezi la kuelekezana kazi na kukabidhiana likaanza.
Ijumaa ya wiki ya kwanza binti akashauri kwamba kama nina muda basi tukutane weekend ili tuelekezane vizuri.
Sikuwa na kipingamizi, binti anapendekeza aje kwangu ila nikakataa maana mazingira niliyokuwa naishi huko uswahili ikifika weekend ni muziki tu.. Hivyo tukakubaliana mimi niende kwake.
Jumamosi mapema nikafika alipopanga huyu binti baada ya kuscan mazingira, nikauliza shemeji yupo wapi? Binti akacheka kisha akajibu "hamna shemeji hapa, wanaume wenyewe wa siku hizi majanga tu.
Tukaelekezana pale mpaka muda wa kula, binti akaandaa msosi nami nikakaribishwa mezani. Balaa likaanza kwenye kuninawisha, binti akaninawisha kama mtoto, yaani anakumiminia maji huku mkono mmoja anakuosha viganja vya mikono, nimepigwa na butwaa binti akaniambia "tulia Tanga wanaume wananawishwa hivi"
Baada ya kula nikanawishwa kwa mtindo ule ule. Hapa imani ikanishinda, nikamwambia unanitia majaribuni ujue.
Binti akajibu "usijali nitakutoa majaribuni" huku akipeleka vyombo jikoni.
Tuliporudi kukaa binti Akaniuliza "tunaendelea kufundisha au tukatoane majaribuni. Sikuwa na namna, nikauza mechi kwa binti wa kitanga.
Uchumi wa kati huo kudadekiMpaka dakika hii nachelea kusema tuko vizuri sana......mastory kama yote.
Kila kitu ni mipango hakuna kinachoshindikana, unaweza ukaja na watu mkaishia kupoteza maisha , ama kumuadhibu anaekula mkeo, ama pia unaweza mkamla kiboga, naye akapanga akakula kiboga mbele ya mkeo, mbona yote yanawezekana. Watu wengi wamewahi kudhibitiwa na wachache zaidi ya mara mmoja, jeshi kubwa Lenye silaha kali limewahi kipigwa na jeshi dogo, fuatilia Alexander the Great alivyotawala dunia ya wakati huo akiwa na miaka 28 tu.Most of times wenye pesa za kupeleka mke wa mtu hoteli za maana(mtu anayelipa 500,000 room kwa siku) wana akili ya umafia maana kuwa na hizo fedha tu kapitia mengi, huwa hawachukui wake za ma don hovyo hovyo maana wanajua lolote halishindikani. Nyinyi msioamini katika umafia ndo hujikuta matatizoni.
Mkuu, unajua maana ya mtego? Mtu analipa pesa ya floor nzima ili uwe peke yako na mke wake ila hutajua kama leo floor nzima ni ww tu. Unapewa chumba ambacho hakina attention, unapewa funguo wakiwa wanaelewa wataufungua vipi huo mlango. Kwanzia dada wa reception mpaka mlinzi wa parking wanakuwa wanajua kinachoenda kukukuta leo maana walishalipwa na umeandaliwa mtego kwa miezi hata mitatu au minne ukiangaliwa tu tabia zako na movement zako.
Mtu unawekewa dawa na huyo huyo unayemgonga unalala kama mzoga ukishtuka upo tayari unawaka waka na wanaume wapo pembeni wanakusubiri upate fahamu vizuri ili usikie na uelewe kinachokutokea.
Hakuna fujo hapo. Kila kitu ni taratibu tu. Tena ndo ukute mwenye mke ana connection na wale waliomzuia msanii diamond kuingia jukwaa alipo mh raisi, hapo ndo kazi inakuwa nyepesiiii.
Wewe kama unapenda sana wake za watu tafuta mtu yoyote ambaye ni mpelelezi akupe visa na matukio ya watu walivyo na roho mbaya
Kama .ke wa mtu ni mtamu endelea kuiba wake za wanyonge watakaoishia kulalamika au kukuloga ila usiingie chaka tu ukagusa wale ambao wanajua namna ya kufanya biashara na kupata pesa kwenye nchi ya ujamaa kama korea kaskazini wakiwa wanaishi humu TZ.
Kama Uongo kiupande wako mwachie mwenyewe, hakuna mahali aliandika wewe JESUS MASTER ndiyo usome. Pia hakuna kipengele cha uzi huu kinachoeleza uumhue. Punguza mambo ya kike, soma kama unaona ni uongo ruka na kupiga kimya. Hakuna alokuandikia weww, usituharibie uzi na kujaza reply nyingi zisizo na maana.KAJIFINZE??????
HAHAHA
MAMAAAEEEEE
Unyambili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan bila kunitaja wee huridhiki eti lol
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Usile wake za watu mkuu, we ogopa hadi maandiko yanasema ndoa na iheshimiwe na watu wote [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sawa sawa mkuuuu kiongozi
Dah pole mkuu, kumbe wanaume ni wengi wenye kuuza mechi punde mzigo kama haueleweki, mimi pia huwa siwezi, dah sema umejua kujitetea kinoma😀😀 Inanikumbusha siku moja hivi. Nilikuwa nina urafiki na demu mmoja kwa Facebook, ni Mmama katika her late 30s, ana watoto wawili wakubwa. Muonekano wake katika picha ni mzuri sana! Tulikuwa tukiwasiliana sana lakini hatukuwahi onana hadi hiyo siku. Hii siku tulikubaliana niende ktk mji anaoishi tuonane na tumalize hamu zetu.
Nilivyofika aliniambia anikute sehemu fulani kisha tutafute sehemu tulivu twende. Nilifika sehemu husika na nikamsubiri, kama dakika mbili/tatu alitokea. Nilimuona akiwa kakonda, nywele katengeneza zile timutimu kazipaka rangi na kaachia blauzi ndefuuu inayovuka magoti katia na jeans ya blue. Kwa hakika sikufurahishwa na muonekano wake.
Baada ya kufika lodge akaanza kunipa story za maisha yake kuwa kaachana na mume wake na sasa yuko katika mahusiano mengine. Siku zote alikuwa akinihakikishia yuko na mume wake. Ni muongeaji sana.....Jana yake kabla ya kuja wakati tukichati aliniambia kuwa anafurahia sana kulambwa chumvini! Wakati tunaendelea kuongea (yeye kakaa kitandani mimi katika sofa) niliona midomo yake ikiwa miekundu sana na ina michubuko kwa mbali na ule ute mweupe!
Hamu ya kugegedana iliniisha kabisa nikajiambia hapa siko salama (mungu nisamehe kama nilikosea) kwani katika vitu ninavyopenda ni KULA DENDA! Nikatafuta namna ya kumshawishi tusigegedane bila ya kumuumiza hisia zake. Bahati nzuri, niliondoka nyumbani asubuhi nikiwa bado sijapata haja kubwa, hivyo nikamuaga kuwa naenda msalaani kwani naona tumbo langu limevurugika. Nilienda msalaani nikachukua kama dakika 10 na kujifanya naharisha.....Nilitoka nikiwa nimeshikilia tumbo! Akanipa pole, nikamwambia kuwa wakati nakuja nilikunywa supu njiani huenda ndio imeniharibu tumbo. Yeye pia alikubali akasema mara nyingi supu za njiani huwa sio nzuri. Haikupita muda nikakimbilia tena chooni safari hii nikakaa kama dakika tano kisha nika flash choo nikarudi. haikupita dakika tano nikakimbilia chooni tena nikafanya vile vile!
Alinionea huruma sana na kuniomba ni bora niende duka la dawa ninunue (yeye ni Muuguzi) flani ninywe itanisaidia. Yeye mwenyewe akanishauri kwa hali niliyonayo ni bora tuahirishe mchezo nikakubaliana naye. Tukaondoka zetu lodge nikimshukuru Mungu.
Mara nyingi huwa napenda kufuata hisia zangu na huwa haziniangushi!
Hii story ya binamu mpaka nimechoka sasa kuingoja stendi ya mabasiSoon binam
Anakunya damu [emoji28][emoji28][emoji28] duhKaka umenkumbusha pia mbali sana
Ilikua kama yako ila yeye ilikua kwake
Nafika tu nakutana na mavidonge makubwaa
Namuuliza vipi akaniambia ooh yaan hapa nnakunya damu![emoji23][emoji23] nkasema ohoooooh tatizo hili
Nkajiendeag[emoji23]
Yaani Usijifanye mjuajiMke wa mtu kula mara 1 tu. Kamwe usijaribu mara 2 au 3
Anakunya damu [emoji28][emoji28][emoji28] duh
KAJIFINZE??????
HAHAHA
MAMAAAEEEEE