Yaani umefikia kuniita baba yako au sioni vzr hapo juu.

Mi Pia Nakupenda huwa najiuliza nitakuanzaje jamani,Ila Jua tuu nakuoenfa Mwandiko wako na Mawazo yako unavyoandika humu!
Yaani Natamani siku moja tuwe somewhere for dinner![emoji8]
 
mpaka mmefanya bado unasema bahati mbaya huu umalaya siyo mtakuja kulala na majini bila kujua unaamka asubuhi unakutana na mwanaume mwenzako wakati mlipokutana alikuwa mwanamke michepuko siyo dili baki njia kuu kwa mtazamo wangu
Unatutishia nyau?
 
Kuna mwanamke amenipa kazi ya kumtafutia namba ya mwanamke mwenzake anaedhamiwa kutembea na mume wake...namba Ni na sitamkabidhi namba hiyo bila kumvua chupi.

Nitawapa mrejesho wakuu!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu mrejesho vipi au bado tu
 
Mi Pia Nakupenda huwa najiuliza nitakuanzaje jamani,Ila Jua tuu nakuoenfa Mwandiko wako na Mawazo yako unavyoandika humu!
Yaani Natamani siku moja tuwe somewhere for dinner![emoji8]
Hili jina lako limefanana na sehemu moja hivi huko Buchosa, utakuwa wa huko wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…