[emoji1][emoji1][emoji1]hapo uliposema biu biu umenikumbusha enzi za utoto tulivyokuwa tunaenda kuiba maembe,unakuta embe limeiva biubiu
 
chai
 
Yaani na wewe utafanyiwa hivyohivyo kwa mkeo utat........ombeaw had I na waokota makopo
 
Mnipe jina wakuu
 
fact mzee below 25 haswa chuo wanashida nyingi sababu wanafuja sana pesa, na waliomaliza chuo age hiyo wanashida na pesa maana maisha ya kitaa magumu.....basi wanatafuta wenye kazi au biashara wapate pa kupumulia......
 
fact mzee below 25 haswa chuo wanashida nyingi sababu wanafuja sana pesa, na waliomaliza chuo age hiyo wanashida na pesa maana maisha ya kitaa magumu.....basi wanatafuta wenye kazi au biashara wapate pa kupumulia......
Very true...ndio maana mie mawindo ni udsm na ardhi pale. Unakula vitu vya first na second year tuu
 
Unayapatia sana haya mambo mkuu. Ulijifunza wapi legend?
 
Hizi kimasihara hizi dah!

Juzi kati hapa nilienda sehemu Kwenye ofisi ya rafiki yangu nikakuta ana secretary mpya ila ni kisu balaa.

Nikamuuliza mshikaji vipi totoz hiyo haujaikula kweli maana rafiki yangu naye na mimi huwa hatupishani tabia Akasema wala hafikirii maana ataharibu Heshima na nidhamu itapungua.

Nikamwambia basi ngoja nikuheshimishe kamanda , bahati Nzuri bibie anaishi uelekeo mmoja na mimi.

Wakati natoka muda wa kufunga ofisi umewadia so jamaa akasema mpe lift ukamuache Kizuiani. Nikasema huyu leo hii hii analiwa.

Tukatoka wakati tupo njiani ile foleni nikamchombeza unaonaje twende sehemu tukapate hata supu jioni hii . Akasema poa ,mimi sio mnywaji wa alcohol yoyote ile hivyo huwa sipendi kumwambia mtu tukale Kilaji. Tumefika pale sitoitaja hiyo sehemu kwa sababu za privacy kidogo . Yeye ameagiza serengeti lite , mimi nikaagiza MONSTER yangu. Ila sijui alikuwa anazimwaga chini kudadeki alipiga kama chupa tano hivi ndani ya nusu saa tu.

Nikaona anacheka cheka mara anisifie nikaenda kuchukua chumba bila kumjulisha nilivyorudi nikamwmabia tuhamie ndani hapa macho ya watu mengi.

Yule dada Siku ile nilichakata papuchi ila anapiga kelele kama anatumia vile mpaka nilikuwa naona kero. Baadae ananiambia pale alipo ana mimba ya miezi mitatu halafu jamaa aliyempa anamwambia aitoe hivyo yupo full stressed . Nikaona enhe nisije nikapewa mimba isiyo yangu.

Nikamwambia rafiki yangu bhana secretary wako ameshaliwa ila sirudii tena . Jamaa alicheka sana huwa tuna usemi wetu " Nani kaiona kesho " huu ni wimbo wa Bendi ya msondo.

Niishie hapo .
 
Hahaa bia tano ndan ya nusu saa halaf mwanamke, kwel huyo alikuwa na stress.
Kibaya zaidi ulimuona pisi balaa, ulivyomla na kumshusha hata msg zake unaziona kero na vile unajua ana mjusi tumbon[emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…