Masihara yanaendelea maana ninayo mengi tu.
Nilikuwa na girlfriend ambaye nilidumu naye kwa 3yrs ambaye baadaye tulikuja kuachana sababu kubwa ilikuwa ni umbali. Kipindi hicho cha kuachana mie nilikuwa Nyanda za juu kusini yeye Kaskazini. Tuliachana kwakuwa alipata mwanaume na kiukweli niliumia sana lakini iliisha hiyo.
Huyu x wangu alikuwa na dada yake yaani mtoto wa mama yake mkubwa ambaye alikuwa anayafahamu mahusiano yetu vizuri sana na majina yao yalikuwa yanafanana kwakuwa wote waliitwa jina la bibi yao. Wakati huo tayari ukiwa umepita mwaka mmoja nikiwa Dar nikakutana na shemeji yangu wa zamani mitaa karibu na nilipokuwa na geto ambalo ndio kwaanza nilianza kuishi nikitokea Nyanda za juu kusini. Baada ya kukutana nae nilimuuliza kama ana haraka akasema hana haraka basi nikaomba tukapate chochote na hiyo ilikuwa mida ya saa 10 jioni. Basi tukaenda bar moja tukaagiza nyama choma na vinginevyo. Hapo ilikuwa ni mitaa ya Kinondoni. Tulipiga story nyingi sana na shem wangu wa zamani japo topic kubwa ilikuwa ni mahusiano na ndugu yake. Baada ya hapo nilimuomba tuende geto akapafahamu bila hiyana alikubali.
Baada ya kufika tukaendelea na story mbili tatu. Shetani wa zamu akaniambia hebu jaribu kete. Nilijikuta natamka tu kuwa unajua toka niachane na ndugu yako mie hata pa kupunguza nyege imekuwa tabu sana. Nikamwambia leo angalau mambo yatakuwa mazuri upande wangu. Akasema yaani shem hata aibu huoni, nikamwambia aibu ya nini ushem si tayari uliisha. Akasema hapana ushem unabaki palepale. Uzuri wa geto lilikuwa na kitanda, Fan, tv, spika na ndoo za maji tu. Akawa amekaa kitandani nami kitandani. Baada ya kumwambia mambo ya nyege nikamsogelea nikamshika mkono nikaona katulia, shika kiuno akatoa mkono wangu, nikarudia tena akatulia, shika matiti kidogo nikaona anakuwa mlegevu, nikaanza chezea mdogomdogo kila sehemu ili nijue weakness point ni wapi. Lamba masikio nikaona amekosa nguvu kabisa nilikomaa hapo dem akawa analia tu, nikaanza kupima oil kwa kuchezea sana alilia sana nikaanza kumchojoa moja hadi nyingine. Nikakumbuka silaha zangu huwa siziachi kwa gheto hata siku moja. Nilipiga mbili saafi kabisa baada ya hapo mwanamke hata kuniangalia akawa hawezi. Anaona aibu sana maana hata baada ya kumaliza la kwanza hakuniangalia kabisa na hakutaka story kabisa. Nikajisemea mwanamke mwenye aibu kwangu ndio starehe tosha.
Baada ya hapo niliendelea kupiga kwa miezi kama 8 hivi then nikahama Jiji kutokana na kuhangaika na kazi na ndio ukawa mwisho wetu.