Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Baharia mke wa mtu hatumiwagi sms abadan ni mwendo wa kupiga tu,Wake za watu wanaongoza kwa kuhonga!.. Mpelekee moto mkeo narudia tena muandae fresh ( 15-20 min) then mpelekee moto[emoji91][emoji91] mkeo..
La sivyo mnakuja kutupa shida sis ma bachelor..acha watuhonge tu..
Ondoa KITAMBI na minyamaa UZEMBE uokoe ndoa yako... Over man down.. View attachment 1775923
Hizo sms kuna siku lazima atakuja kujisahau tu lazima.