Hili suala tulishalimaliza na majibu yako juu kule, siwezi kurudia tena, ahsante kwa kushiriki.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Mbona mnamshambulia sana mdau?

Kama wewe huwezi toa kimasihara kausha basi ili Uzi wetu usonge mbele, kama mnataka midaharo fungueni Uzi wenu.

Mwambie na huyo miss pabro mnavuruga mtiririko wa matukio humu bwana. Kafungueni Uzi wenu,
 
Halafu nyie ndo unakuta mnapakuliwa had kwenye 'mitaro'

kaa tulia kama huliwi kimasihara usome nyuzi uone wenzio wanavopelekewa moto kimasihara. Unazingua yani Uzi unataka kuwa wako,
 
Tupia link ya deception boss
 
I salute your opinion ila still unanipiga chenga ya mwili ujue.. Mimi mwenyewe sipendi mwanamke cheap of course ila siungi mkono u-hardcore kwenyenye kupanda mti kwenye hako kashimo[emoji4]

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Mwanamke cheap unamaaanisha Nini.mwanamke aliyekuelewa lazima atakuwa cheap kwako Ila Kama hajakuelewa utatumia nguvu nyingi atakuachia kisa umetumia nguvu nyingi.
Binafsi napenda mwanamke ambaye na yeye akanipenda Mana tukienda atanifurahisha pia.
Mwili wake utafunguka pia kwangu
 
Mzee kuna mserereko hata asipokuelewa utakula tu mzigo

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
 
I wish hao wanaojifanya kuleta ligi hapo juu watume picha zao, naapa kwa Mungu tutajuta kwa nn tumetumia nguvu kubwa hivi kubishan na mtu sura zaidi babu yake wa miaka 107.

Classic ladies aka pisi hazina pozi za kujimwambafai hivo
Humu wanawake wazuri wa sura na shape ni wa kuwahesabu mkuu, wengi wana sura za baba zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…