[emoji23][emoji23][emoji23] umeona sasa akili yako? Yaan mwanamke kua na uchumi, kazi nzuri, maisha bora, bas unaona kuwa huyo yupo sahihi ktk kila jambo?
Ndio maan nimekuambia hivi hao unaowapata wa sampuli hiyo ni hao au wachache wao, sio wanawake wote kuwa wako hivyo unavowaza wee,
Eti unao uwezo wa kumfanya mtu achat na atumie maneno unayotaka wee, tobaaaah!! aseeeeh unajidanganya sana wee tena mno.
Nwei, endelea na mawindo yako km kawaida, ila nilichokua nataka kukuambia ni kua, acha ku generalize wanawake wote kuwa wana huu upuuzi unaooneshwa na hao partners wako, na kujaza wenzio humu ndani mtazamo huo. Wala haipo hivyo.
Sent from my Infinix X652C using
JamiiForums mobile app