mmh aisee hii stori itawasaidia wengi sana umu asante kwa kutukumbusha
 
Lesson moja matata mzee, hongera kwa kuwa imara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niko chunya pia .umenitisha sana maana wachimbaji wakipata tu pesa wanaweza kupita hata na demu wako bila shida yoyote
 
Sema mtu ukikaa dar n lazma uwe na ka umagumash flan[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaaan ka ujanja ka kuface tatzo unalokutana nalo hapo kwa hapo
 
Kikubwa tunazidi kupeana elimu nadhani untold stories nyingi za kimasihara zinasisimua ila tu niuoga wakuwasilisha au coding errors za hapa na pale
Bora haujauza mechi ila tuliokula kimasihara wengi tunajipa hope tupo wazima na salama lakini hali ni ya kutisha

Kula kimasihara=ARV's za kimasihara
 
Dah kuna cha kujifunza hapa aisee
 
Niko chunya pia .umenitisha sana maana wachimbaji wakipata tu pesa wanaweza kupita hata na demu wako bila shida yoyote
Nandicho alichokifuata huko lkn kwa mgongo wa biashara najua siku biashara zikigoma hataona tabu kuuza maungo yake ijapokuwa nilimsihi sana atunze afya yake...sio demu wangu tena mkuu
 
Wadau.
Nipo safari natoka Mkoa X naenda Mkoa Y. Ndio nimepanda gari nimekaa na kisu hatari. Bahati nzuri tunaenda sehemu moja. Nitaleta mrejesho baadae.

Hapa wakulungwa wote waliopo humu ambao madem zao wako safarin leo lazima waongeze ulinzi,ukiona anapgiwa cm kila saa kuulizwa kafika wap bas jua mwamba ashakusoma huku ss analinda mali zake
 
Hapa wakulungwa wote waliopo humu ambao madem zao wako safarin leo lazima waongeze ulinzi,ukiona anapgiwa cm kila saa kuulizwa kafika wap bas jua mwamba ashakusoma huku ss analinda mali zake
[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…