Wakuu kwanza naanza kwa kuomba msamaha maan kuna manzi aliwahi kuna geto ila sikupiga! Naomba msamaha kwa jina la Jamhuri la Mabaharia! Aisee leo nimemuona kawa kisu hilo tako ni noma hadi wana wakaanza kumsifia! Nimempigia hapa kumuita geto leo kanambia hawez kuna ishu anafatilia!! Aisee roho inaniuma balaa!! Mimi naumia sana dem kuja kwangu af nisimfumue papuchi!! hili kosa sijawah kufanya huko nyuma😭😭😭😭😭😭😭😭😭
 
Ndio baadhi ya wanawake ,kondom hizi ambazo ni LATEX huwa zinawapa sana muwasho .

Yaan anakuja anajikuna mpaka unamuonea huruma
 
1. Unapaswa kutoa sadaka ya Shukrani umeokoka.
2. Ulijiivika bomu (pasipokujua au kwa kujua) kwa muda wote uliokuwa naye pamoja na uwezekano wa kuambukizwa kwa njia ya sex, mtu mnaishi naye pamoja kwa Mazingira uliyoyaelezea, ana kuwa namna nyingi sana za kukuambukiza kwa makusudi au pasipokujua.
3. Tahadhari uliyotoa ni ya muhimu. Tuendelee kuzingatia.
 
Wadau.
Nipo safari natoka Mkoa X naenda Mkoa Y. Ndio nimepanda gari nimekaa na kisu hatari. Bahati nzuri tunaenda sehemu moja. Nitaleta mrejesho baadae.
MREJESHO
Tumefika salama. Kama mdau mmoja alivyosema utafika anapokelewa na mtu ni kweli but kapokelewa na Mama yake na yeye anadai ni mama yake mdogo. Kwamba tayari alikuwa ametoa taarifa sasa imekuwa vigumu kumpanga maza.
Ila nimechukua namba na nimehakikishiwa nisiwe na wasi. Yaani everything naona kinaenda kuwa poa. Pisi ipo very humble wala hata haringi. Kwakuwa bado nipo hapa kwa almost a week baasi nakomaa lakini nadhani itakuwa sio Masikhara sasa.
 

Kaza babu ule mbunda
 
Mzee Aya maswala nimeshakutana nayo sana ndo maana nikakutahadharisha kwanza kwamba anawezapokelewa na mtu mkuu
 
Negativity za maskhara zipo namshukuru mungu kuniepusha na baa hili kiukweli nilinywea zaidi baada ya vipimo
pole sana mkuu mimi niliwahi kupatwa na mkasa kama huu masihara iliandaliwa vizuri ile nataka valisha uncle asumani sweta la wokovu demu akasema hapana yani mjegejo ulilala kama nimepigwa salala(kofi la mgongo) yule demu nilimwambia mama nenda kwenu sitaki tena
 
Hongera wake kwa Waume wengi wanazi ignore ila km mwanaume jrb kuitumia convincing power ikishindikana acha mjegejo ulale kwa amani
 
Asante kwa wazo la sandaka ya shukrani hili nimeshalifanya nanitaendelea kulifanya kipekee sana niliiona niwasaidie nisiowajua kwa kuchangua damu ktk hospital zetu

Kuhusu kuambukiza makusudi angekua amevuka viwango vya ubinadamu na kuwa mnyama maana km mm tu sukuwahi kumwambia mtu yeyote hata ndugu zake kuwa anangoma, hapa jukwaani hakuna amjuae naamn Hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…