korokwincho
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 1,054
- 1,269
Hamna usisahau kuwa WANAWAKE HAWAELEWEKI[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Duh hii nayo ni balaa, ila hukumkaza kiuhakika,
Sawa mkuu kila lakheri make sure usije kuangusha taifa FT iwe Tz 5-3 Germany.Mechi ya kimaitaifa ni ngumu wazee. Ndo sasa naelewa kwa nini Simba alifungwa 4-0 na Kaizer chief. Mpaka jana tunaagana, niliambulia kumtabasamisha, picha za pamoja na namba tu. Siku 12 zijazo ataondoka kurudi kwao. Trh 14 atakuwa Arusha , afu ataenda kwa masista kule Iringa, atakuja Dsm na kurejea kwao. Anatarajia kuondoka trh 23/6/2021
Mimi tayari nimeshapanda gari la "Kiazi Kitamu" kurudi zangu DSM. Nitajitahidi kuweka mazingira ili akija Dar, niwe mgeni wake hotel atakayofikia. Naaminj siku ya kwenda airport, nitakuwa pamoja nae.
Nikikosa tunda pia, nitawajulisheni ndugu zangu. Ila kwa namna tunavyowasiliana, nafikir Taifa linaenda kuheshimishwa!
Ukimsifia, anashika nywele anarudisha nyuma, afu anatabasamu sana. Wakati tukiendelea na sala, nakuomba Nyani Ngabu unipige msasa wa kimombo. Japo yeye anafurahia sana kuongea Kiswahili zaidi kuliko kiingereza!
Naweza kusema hadi dakika hii Tanzania 2- 3 Germany
Wimbo ni ule ule " Atafutae hachoki, akichoka tayari keshapata"
Yaani kiufupi mwanamke usipokuwa na misimamo utatombwa na kila mtu wanawake tunatongozwa mnoooMkuuu pengine ni kweli.
Ila hawa vijana wenzangu, mimi mara nyingi napokua namuda, huwa nachangamana nao kupiga stori
Maajabu, vijana hawa kila mmoja lazima akupe mifano kadhaaa kuhusu jambo hilo
Wanakuambia hadi mbinu zao n.k
Lkn kubwa ni wao kuwabeba bure .
I confidently second this my friend, huwa nawaza hivi mwanamke kama hajui kukataa mpaka anaingia kaburini si atakuwa amechezea mabolo yasiyopungua tisini mia moja thelathiniYaani kiufupi mwanamke usipokuwa na misimamo utatombwa na kila mtu wanawake tunatongozwa mnooo
@Niwaheri ebu rudia[emoji23]! Naomba uni-prime minister, tutete pembeni kidogo mkuu!!Yaani kiufupi mwanamke usipokuwa na misimamo utatombwa na kila mtu wanawake tunatongozwa mnooo
Mmeshindaje hapo galilaya mtume?[emoji41]Uzi wa "wazinzi" na "waasherati".
Watu mnaona "sifa" kuelezea zinaa? Mnaona ni ufahari kusimulia uasherati wenu?
Hata MUNGU hamwogopi, mnafikiri mtaishi milele kwenye hii dunia?
MUNGU aliwaweka hapa duniani mfanye zinaa???
Mnajua ni kwanini mlipewa uhai mlio nao?
Imeandikwa hivi :
"kila neno atakaloongea mwanadamu liwe jema au baya ataleta hesabu yake mbele ya kiti cha hukumu". Kwa maneno yako utahukumiwa na kwa maneno yako utahesabiwa haki.
Mwenye masikio na asikie.
Umemaliza Kaka Son of Gamba ! Ahsante sana kwa ufunuo. Tukutane peponi!Uzi wa "wazinzi" na "waasherati".
Watu mnaona "sifa" kuelezea zinaa? Mnaona ni ufahari kusimulia uasherati wenu?
Hata MUNGU hamwogopi, mnafikiri mtaishi milele kwenye hii dunia?
MUNGU aliwaweka hapa duniani mfanye zinaa???
Mnajua ni kwanini mlipewa uhai mlio nao?
Imeandikwa hivi :
"kila neno atakaloongea mwanadamu liwe jema au baya ataleta hesabu yake mbele ya kiti cha hukumu". Kwa maneno yako utahukumiwa na kwa maneno yako utahesabiwa haki.
Mwenye masikio na asikie.
MtumishiUzi wa "wazinzi" na "waasherati".

Kabisa tena akikutana na akina lugumya na Integrity atachezea kitombo aswaI confidently second this my friend, huwa nawaza hivi mwanamke kama hajui kukataa mpaka anaingia kaburini si atakuwa amechezea mabolo yasiyopungua tisini mia moja thelathini
Na mwasherati wewe ukakomenti kwenye uzi wa wazinzi..!!Uzi wa "wazinzi" na "waasherati".
Watu mnaona "sifa" kuelezea zinaa? Mnaona ni ufahari kusimulia uasherati wenu?
Hata MUNGU hamwogopi, mnafikiri mtaishi milele kwenye hii dunia?
MUNGU aliwaweka hapa duniani mfanye zinaa???
Mnajua ni kwanini mlipewa uhai mlio nao?
Imeandikwa hivi :
"kila neno atakaloongea mwanadamu liwe jema au baya ataleta hesabu yake mbele ya kiti cha hukumu". Kwa maneno yako utahukumiwa na kwa maneno yako utahesabiwa haki.
Mwenye masikio na asikie.
Kwani vibaya kiungo cha mwili kufanya kazi yake kwa ukamilifu wake?Kabisa tena akikutana na akina lugumya na Integrity atachezea kitombo aswa
Hapana wewe nakuogopa kama ukoma,@Niwaheri ebu rudia[emoji23]! Naomba uni-prime minister, tutete pembeni kidogo mkuu!!
Ngoja wavitumie tuu maana wamepewaKwani vibaya kiungo cha mwili kufanya kazi yake kwa ukamilifu wake?
Kwanini?Hapana wewe nakuogopa kama ukoma,
Na wewe umepewa na mimi nimepewa.. Sasa tufuatane inbobo basi..!!Ngoja wavitumie tuu maana wamepewa
Eeee!taratibu mchungaji na wewe unatafta nini kwenye uzi huu,umesoma comment zote emu tupumzishe kila mtu atabeba mzigo wakeUzi wa "wazinzi" na "waasherati".
Watu mnaona "sifa" kuelezea zinaa? Mnaona ni ufahari kusimulia uasherati wenu?
Hata MUNGU hamwogopi, mnafikiri mtaishi milele kwenye hii dunia?
MUNGU aliwaweka hapa duniani mfanye zinaa???
Mnajua ni kwanini mlipewa uhai mlio nao?
Imeandikwa hivi :
"kila neno atakaloongea mwanadamu liwe jema au baya ataleta hesabu yake mbele ya kiti cha hukumu". Kwa maneno yako utahukumiwa na kwa maneno yako utahesabiwa haki.
Mwenye masikio na asikie.
Usifanye hivo cutie Niwaheri, nitakuandaa vizuri,+[emoji104]. Sitoleta story huku Mkuu. Heshima na hadhi yako vitahifadhiwa na kulindwa kwa wivu mkubwa! Karibu na utarajie kheri!!Hapana wewe nakuogopa kama ukoma,
Mmeshindaje hapo galilaya mtume?[emoji41]