Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Mechi ya kimaitaifa ni ngumu wazee. Ndo sasa naelewa kwa nini Simba alifungwa 4-0 na Kaizer chief. Mpaka jana tunaagana, niliambulia kumtabasamisha, picha za pamoja na namba tu. Siku 12 zijazo ataondoka kurudi kwao. Trh 14 atakuwa Arusha , afu ataenda kwa masista kule Iringa, atakuja Dsm na kurejea kwao. Anatarajia kuondoka trh 23/6/2021

Mimi tayari nimeshapanda gari la "Kiazi Kitamu" kurudi zangu DSM. Nitajitahidi kuweka mazingira ili akija Dar, niwe mgeni wake hotel atakayofikia. Naaminj siku ya kwenda airport, nitakuwa pamoja nae.

Nikikosa tunda pia, nitawajulisheni ndugu zangu. Ila kwa namna tunavyowasiliana, nafikir Taifa linaenda kuheshimishwa!

Ukimsifia, anashika nywele anarudisha nyuma, afu anatabasamu sana. Wakati tukiendelea na sala, nakuomba Nyani Ngabu unipige msasa wa kimombo. Japo yeye anafurahia sana kuongea Kiswahili zaidi kuliko kiingereza!

Naweza kusema hadi dakika hii Tanzania 2- 3 Germany

Wimbo ni ule ule " Atafutae hachoki, akichoka tayari keshapata"
Sawa mkuu kila lakheri make sure usije kuangusha taifa FT iwe Tz 5-3 Germany.
 
Mkuuu pengine ni kweli.

Ila hawa vijana wenzangu, mimi mara nyingi napokua namuda, huwa nachangamana nao kupiga stori

Maajabu, vijana hawa kila mmoja lazima akupe mifano kadhaaa kuhusu jambo hilo

Wanakuambia hadi mbinu zao n.k

Lkn kubwa ni wao kuwabeba bure .
Yaani kiufupi mwanamke usipokuwa na misimamo utatombwa na kila mtu wanawake tunatongozwa mnooo
 
Uzi wa "wazinzi" na "waasherati".

Watu mnaona "sifa" kuelezea zinaa? Mnaona ni ufahari kusimulia uasherati wenu?
Hata MUNGU hamwogopi, mnafikiri mtaishi milele kwenye hii dunia?

MUNGU aliwaweka hapa duniani mfanye zinaa???
Mnajua ni kwanini mlipewa uhai mlio nao?

Imeandikwa hivi :
"kila neno atakaloongea mwanadamu liwe jema au baya ataleta hesabu yake mbele ya kiti cha hukumu". Kwa maneno yako utahukumiwa na kwa maneno yako utahesabiwa haki.

Mwenye masikio na asikie.
 
Mmeshindaje hapo galilaya mtume?[emoji41]
 
Umemaliza Kaka Son of Gamba ! Ahsante sana kwa ufunuo. Tukutane peponi!
 
Uzi wa "wazinzi" na "waasherati".

Watu mnaona "sifa" kuelezea zinaa? Mnaona ni ufahari kusimulia uasherati wenu?
Hata MUNGU hamwogopi, mnafikiri mtaishi milele kwenye hii dunia?

MUNGU aliwaweka hapa duniani mfanye zinaa???
Mnajua ni kwanini mlipewa uhai mlio nao?

Imeandikwa hivi :
"kila neno atakaloongea mwanadamu liwe jema au baya ataleta hesabu yake mbele ya kiti cha hukumu". Kwa maneno yako utahukumiwa na kwa maneno yako utahesabiwa haki.

Mwenye masikio na asikie.
Mtumishi
 
Na mwasherati wewe ukakomenti kwenye uzi wa wazinzi..!!
 
Uzi wa "wazinzi" na "waasherati".

Watu mnaona "sifa" kuelezea zinaa? Mnaona ni ufahari kusimulia uasherati wenu?
Hata MUNGU hamwogopi, mnafikiri mtaishi milele kwenye hii dunia?

MUNGU aliwaweka hapa duniani mfanye zinaa???
Mnajua ni kwanini mlipewa uhai mlio nao?

Imeandikwa hivi :
"kila neno atakaloongea mwanadamu liwe jema au baya ataleta hesabu yake mbele ya kiti cha hukumu". Kwa maneno yako utahukumiwa na kwa maneno yako utahesabiwa haki.

Mwenye masikio na asikie.
Eeee!taratibu mchungaji na wewe unatafta nini kwenye uzi huu,umesoma comment zote emu tupumzishe kila mtu atabeba mzigo wake
 
Back
Top Bottom