Wewe Mchungaji huna msimamo. Wewe ni vuguvugu katika ulimwengu wa roho. Kuwa vuguvugu ni chukizo kwa Mungu.

Soma Ufu 3:15-16

Nayajua matendo yako, ya kuwa hu baridi wala hu moto; ingekuwa heri kama ungekuwa baridi au moto. Basi, kwa sababu una uvuguvugu, wala hu baridi wala moto, nitakutapika utoke katika kinywa changu.

Haiwezekani kila wakati unahubir baada ya kusoma essays, wakati mwingine unatabasamu kimoyo moyo as well as kudindisha kabisa.

Huwezi kupinga ulevi ukiwa umeweka chupa ya bia mdomoni.
 
Kwahiyo ulikula kimasihara hapa?
 
Unachoongea na kuelewa sema huna hekima katika kufikisha ujumbe wako kwa mataifa,tafuta hekima ili tuweze kukusikiliza najua una kitu cha kuturudisha kwa mungu ila huna roho mtakatifu ndio maana neno halipokelewi vizuri hivyo sio mshawishi mzuri

Pili acha kuufutilia huu uzi kwa kuwa na wewe ni walewale tu wazinzi na waesherati

Sent from my MI PLAY using JamiiForums mobile app
 
Mwacheni huyu jamaa msimjibu maana analeta sifa muulize huo mtaa anaokaa amewashawishi wangapi kuokoka na je mitaa hiyo kuna bar ngapi na amehubiria walevi wangapi kuokoa

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Aise
 
Ila wanawake wana siri nzito wajameni. Hapa nipo kwenye kupata vyombo na nimekaa meza moja na jamaa yupo na mke wake ambaye nilimla kimasihara siku za nyuma kwa kumuangalia tu aliponiangalia na mimi nikamkonyeza akacheeekaaa tukaishia kulana kimasihara kama hivyo. Sasa hapa tumekaa wala hatuna habari utadhani hata hatufahamiani! Life linasonga kama hivyo yani.
NB huwa silagi vyombo visivyo na kwaliti!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…