Teflonomicss
Senior Member
- Apr 13, 2020
- 146
- 171
Mungu akusamehe BureKama hutaki kuitwa mzinzi na muasherati basi acha "uzinzi" na "uashetati" period.
If you choose to be an adulterer and a fornicator you'll be called as such.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu akusamehe BureKama hutaki kuitwa mzinzi na muasherati basi acha "uzinzi" na "uashetati" period.
If you choose to be an adulterer and a fornicator you'll be called as such.
Wewe Mchungaji huna msimamo. Wewe ni vuguvugu katika ulimwengu wa roho. Kuwa vuguvugu ni chukizo kwa Mungu.YESU KRISTO alikuja duniani kwa ajili ya wale waliopotea na siyo kwa ajili ya wenye haki.
Na mimi nimeingia kwenye huu uzi kwa ajili ya kuwahubiria ninyi "wazinzi" na "waasherati" habari Njema ya Ufalme wa MUNGU.
BABA MUNGU anawapenda sana na ndiyo maana alimtoa Mwanae YESU KRISTO afe kifo cha aibu na mateso kwa ajili yenu ninyi. MUNGU anawapenda sana, wala hawachukii. Mnachotakiwa kufanya ni kubadilisha tu mitazamo yenu na kuacha uchafu huu na kuwa WATIIFU kwake.
MUNGU anataka kuwapa ninyi wazinzi na waasherati ufalme wake wa mbinguni lakini hawezi kuwapa ikiwa hamtaacha tabia zenu chafu.
Jamani, ikimbieni zinaa maana wazinzi na waasherati hawatauona kamwe ufalme wa MUNGU. Lakini mkitubu na kuacha hakika mtasamehewa kabisa na kukaribishwa kwenye ufalme wa MUNGU.
Nayajua matendo yako, ya kuwa hu baridi wala hu moto; ingekuwa heri kama ungekuwa baridi au moto. Basi, kwa sababu una uvuguvugu, wala hu baridi wala moto, nitakutapika utoke katika kinywa changu.Kwahiyo ulikula kimasihara hapa?Nikiwa Bangarole india masomoni. Kama ujuavyo mhindi kumtongoza hadi akuelewe ni shughuli pevu, kwanza ni racist vibaya sana.
Pia nlikuwa mtanzania pekee ila iulikuwa na waafrica kama 7 hivi clas kwetu, wengine ni waarabu na mataifa mengine ya asia, hakuiuwa na mhindi sababu ilikuwa ni ufadhili ya comonwealth.
Ugwadu ulikuwa mkali ilipofikia miezi 7 ya mwanzo sababu ni kuwa
Nlianza kula biriyani ilipofikia mwezi wa 3 sababu chakula cha mataifa mengine ilikuwa gharama sana kwenye hoteli tulofikia ilikuwa kama elf 15 hivi za kibongo nikaona nawezarudi bila zawadi maana tulilipwa kama rupee 30elf kwa mwezi huku room imelipiwa rupee 2800 kwa siku.
Nikapata wazo la kununua malaya. Ila shida nlikuwa mwoga kutoka hasa usiku sikuwahi kuwa nje ya hoteli kabla ya jua kuzama kwa kuhofia usalama wangu. Nlikuwa hoteli inaitwa trinity isle hotel ipo kwenye kamtaa flani hivi kapo bize hatari kwa madaladala. Hivo nikaamua kwenda google nikasearch escort girls in bangarole, ebwanaeeee walikuja kibao nikasort nikapata mrembo kuliko wote kucheki bei ni 3500 hadi 4000 rupees, anakuja unamfanya chochote utakacho usiku kucha. Nikaona isiwe tabu nikamtumia location kwenye saa mbili hivi mtoto akanipigia kuwa keshafika. Nikashuka down nikamchukua na kuzama naye ndani. Basi mi full kujipigia tu usiku wote uzuri next day ilikuwa weekend hivo kesho yake ndo nlitumia kulala. Sio wezi kwama huku pia wastarabu sana na unahudumiwa kifalme. Nikawa nikiwa na ham namwita tu
Unachoongea na kuelewa sema huna hekima katika kufikisha ujumbe wako kwa mataifa,tafuta hekima ili tuweze kukusikiliza najua una kitu cha kuturudisha kwa mungu ila huna roho mtakatifu ndio maana neno halipokelewi vizuri hivyo sio mshawishi mzuriNani kakudanganya kuwa Jumapili ndiyo siku ya kuwakusanya kondoo?
Una mengi ya kujifunza lakini kwa sasa nakuomba utubu maovu yako na uache kabisa zinaa na uasherati. MUNGU anakupenda sana na atakusamehe kila kosa ulilofanya ikiwa tu utaacha kwa dhati.
Mwacheni huyu jamaa msimjibu maana analeta sifa muulize huo mtaa anaokaa amewashawishi wangapi kuokoka na je mitaa hiyo kuna bar ngapi na amehubiria walevi wangapi kuokoaWewe Mchungaji huna msimamo. Wewe ni vuguvugu katika ulimwengu wa roho. Kuwa vuguvugu ni chukizo kwa Mungu.
Soma Ufu 3:15-16
Nayajua matendo yako, ya kuwa hu baridi wala hu moto; ingekuwa heri kama ungekuwa baridi au moto. Basi, kwa sababu una uvuguvugu, wala hu baridi wala moto, nitakutapika utoke katika kinywa changu.
Haiwezekani kila wakati unahubir baada ya kusoma essays, wakati mwingine unatabasamu kimoyo moyo as well as kudindisha kabisa.
Huwezi kupinga ulevi ukiwa umeweka chupa ya bia mdomoni.
nifanyaje sasa...nimjibu nini hapo...?Komaa naye huyooo..unamla
Gemu imeisha hiyo. Halafu hapo siyo kimasihara maana unatongoza kabisa na demu anaonekana ni kitu cha Mbeya kwenye maji jikoni!jamanieeeeeeeeeeee niambieni nilipokosea...
View attachment 1817419
imebugi nini hapo....?
View attachment 1817420
au mimi mshamba....?
View attachment 1817421
we jamaa bhana akomae tu siyoKomaa naye huyooo..unamla
Gemu imeisha kitamboooo sanaaaaaa, yaan alitakiwa pale dem anapouliza Leo?????Gemu imeisha hiyo. Halafu hapo siyo kimasihara maana unatongoza kabisa na demu anaonekana ni kitu cha Mbeya kwenye maji jikoni!
Umejuaje mkuuGemu imeisha hiyo. Halafu hapo siyo kimasihara maana unatongoza kabisa na demu anaonekana ni kitu cha Mbeya kwenye maji jikoni!
Nasema uongo ndugu zangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu wewe hatari.Nasema uongo ndugu zangu
nipe maelekezo basiNasema uongo ndugu zangu
140kNoma saana hiyo rupeee elf 4000 ni kama shingapi za bongo,??
Mbususu unalipia ela ndefusaana
Dadeq yani 140k kununua mbususu.140k
AiseHalafu ni watamu balaa wana hips kama zote, kuna mmoja nilikua nae miaka nenda rudi miaka kibao alikua kwao lakini so alikua anakuja kwangu mara kwa mara kipindi cha mzee wa loliondo familia yao ilienda yote kakaja kunipitia niende kunywa kikombe cha mzee nikagomea, nilimbana hafurukuti full wivu ilibaki kidogo tu nije kuoa tumebaki marafiki ru wa insta sema huyu alikua anjiheshimu sana.