mkuu nyinyi tulishawaambia mapema muanzishe uzi wenu wa kiparoko.jambo jema mnachokitafuta huku ua mnakipata na ndiomaana mnafoka foka.na endelea kufatilia utayapata zaidi
 
noted mkuu
 
huuuuuu uandishi umeweza kuwaunganisha@Lugumya na INTERGRITY katika truck moja manina zako wewe[emoji16][emoji16][emoji16]
 
 
Inawezekana Kuna mwanamke aliliwa kimasihara ndipo ukazaliwa Son of Gamba

Kama tunaelezea zinaa kwanini usiende kwenye majukwaa ya
1. Siasa
2.Habari mchanganyiko
3.Great thinker

Shame on you
Shame on you who condones adultery and fornication.
By the way, mimi sikulazimishi ufuate mtizamo wangu bali nakukumbusha tu kuwa uzinzi na uasherati ni machukizo kwa MUNGU.

Uamuzi ni wako, kutii au kukaidi.
 
Duuh mwisho unaweza jikuta motoni na watu wa masihara
Kula raha mbinguni ni kwa wachache sana na wewe haupo huo ndo ukweli ndugu
Nani kakudanganya kuna watu wataenda kula raha mbinguni?
Hujui hata watakatifu watakuwa wapi.

Wacha nikujulishe kuwa watakatifu tutakula raha hapa hapa duniani katika dunia mpya tukiwa na Mfalme Mkuu YESU KRISTO. Na MUNGU atashuka na kuja kuishi nasi hapa hapa duniani.

Na wewe usipoacha uzinzi wako na kutubu basi wakati sisi tukila raha wewe utakuwa majivu katika moto wa Jehanamu.

Maneno hayo ni amini na kweli. Unaweza pia ukasamehewa, nafasi bado unayo, lakini ukishupaza shingo basi shauri yako.
 
Hujasoma kuwa imeandikwa, YESU KRISTO alikula na kunywa na makahaba na watoza ushuru. Je, kwa kufanya hivyo na yeye alikuwa mmoja wao?

Na tena hujasoma kuwa YESU KRISTO alikuwa anaongea na kufundisha kama mtu mwenye amri? Alikuwa hawabembelezi watu na kuna mahali aliwaambia mafarisayo wao ni kizazi kichafu na cha zinaa.

Iko hivi,
Mimi natumia maneno kama yalivyo. Wewe ukipokea ujumbe wangu na kuufanyia kazi basi sawa hiyo itakuwa ni faida yako.
Ukidharau na kukaidi na ukaona kama nakufokea basi, shauri yako, hiyo itakuwa ni hasara yako binafsi.

Mwenye masikio na asikie.
 
Imeandikwa, "usimshuhudie mtu uongo".
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Waambie Kuwaa wataenda motoni KIMASIHARA[emoji28][emoji28][emoji28]
 
pole sana mkuu pengine ungeudhulia msibani ungeweza kujua chanzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…