Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Uzi wa "wazinzi" na "waasherati".

Watu mnaona "sifa" kuelezea zinaa? Mnaona ni ufahari kusimulia uasherati wenu?
Hata MUNGU hamwogopi, mnafikiri mtaishi milele kwenye hii dunia?

MUNGU aliwaweka hapa duniani mfanye zinaa???
Mnajua ni kwanini mlipewa uhai mlio nao?

Imeandikwa hivi :
"kila neno atakaloongea mwanadamu liwe jema au baya ataleta hesabu yake mbele ya kiti cha hukumu". Kwa maneno yako utahukumiwa na kwa maneno yako utahesabiwa haki.

Mwenye masikio na asikie.
mkuu nyinyi tulishawaambia mapema muanzishe uzi wenu wa kiparoko.jambo jema mnachokitafuta huku ua mnakipata na ndiomaana mnafoka foka.na endelea kufatilia utayapata zaidi
 
NB, Uzi huu sizungumzii hawa wanawake mnaokutana mahali, unamuuliza unamuda?? Anakujibu ,uko vzuri????ukimjibu ndioo, basi anakuambia nitumie Nauli nakuja.

Sizungumzii wanawake ambao, unajua Moja kwa moja ukislide kwa DM yake, anakuambia Hotel ya kumpeleka na utampa shi ngapi...

Yaan hapa Nazungumzia Mwanamke anayeweza kua ndio BOSS wako/Mkufunzi wako/ Mkuu wako n.k lkn Umemuelewa kinoma.

Haya twende sasa,

Ulishawah kwenda Dukan kununua Bidhaa X , Muuzaji akakuambia ni Laki tano...alafu wewe ukamwambia.. Basi poa ngoja niende Duka lingine????. Wakati unatoka, anakuambia, Embu rudi nipe laki tatu sasa ???

Sasa ili Uwe na Mvuto kwa Mwanamke 99% unayemtaka, nilazima, nilazima uwe na AKILI KAMA YA MNUNUAJI nasio kama MUUZAJI.

yaaan zile akili za ....Ninakupenda lkn pia naweza kwenda kwa mwanamke mwengine kama utaninyima fursa.

Huu ni mfano [emoji116]

Jane ni mwanamke wa miaka 28 ana Elimu, Mrembo wa Sura na umbo ambaye amebahatika kua Uchumi yaan ni aina ya wanawake wanaoendesha maisha yao wenyewe, maisha yanayompa jeuri huku Akifanya wanaume wamuogope, Ni kwamba Jane anajiona na kujikubali kua ana Elimu, mzuri ,mvuto na Ana maisha.. Hamna mwanaume

Sasa oneni hapaa

Kuna Vijana wawili mmoja anaitwa John. Mwengine anaitwa Jackson .

John ni kijana Mwenye Elimu, na Pesa ...

Jackson pia nikijana nwenye Elimu na Ana tupesa twake tudogo.

Hawa vijana wawili. Wote kila mmoja kwa wakati wake, anapata fursa ya kuongea na Jane ,kufikisha hisia zake za kimapenzi

Ipo ivi Yeye John alianza ivi..."Jane wewe ni mwanamke mzuri una elimu na maisha mazuri, ninaomba unipe nafasi ,naahidi nitakupatia kila kitu kwa sababu uwezo ninao .

Nipe nafasi Jane, nitakupa kila kitu........

Jane akachomoa.

Jackson yeye alienda ivi... Jane najiuliza kama unaweza kua Poa kiasi cha kuruhusu Nikujue zaidi ?.

Jane anajihisi Bored, lkn baada ya siku mbili tatu, Anawaza ,ni kwann Jackson alisema vile?? Kwann alihoji kama Yuko "Poa" , ?? Je nisababu labda anaonekana anaringa?? anatabia mbaya??? Kwann Jackson aseme hivi

kinachoenda kutokea hapo, niyeye Mwanamke kutafuta kitu gan afanye ili Apate Approval tok kwa Jackson na hapo ndipo Hitaji la kuwin Jackson na kumfanya amuone mwenye tabia njema..huamka na matokeo yake ni Demu anaanza kuvutiwa na Jackson, ndiyooo kuvutiwa nakadir unavyotafuta kumwin mtu ndivo Unajikuta Automatically unamwelewa kinyama.

[emoji115]SASA HIII NDIO HUWA SIRI YA KUMFANYA MWANAMKE AVUTIWE NAWEWE .

Jackson, aliamua kucheza na Natural Flaw ya Jane, Aligundua Jane amekamilika ,sasa ili kumvuruga, nikuhakikisha anamfanya Jane ajihisi kua AMEPUNGUKIWA na ANAHITAJI MTU WA KUMKAMILISHA KATIKA UDHAIFU WAKE.

Wakati John anahofu kama Jane atamkubalia, Jackson yeye anamuonyesha Jane kua yeye yuko tayari kusonga mbele na mwengine

Wakati John anajitahidi kumuaminisha Jane amchague yeye, Jackson yeye anamuonyesha Jane kua yeye ni mwanaume Mwenye status kubwa, anajiheshim na hayupo tayari kuuza thaman yake

Wakati John anajitahidi kumshawishi Jane ,yeye Jackson anamuonyesha Jane kua anayo Machaguzi

Na hii ndiio sababu inayofanya, Jane aanze kupatwa na hitaj la kumfanya Jackson aelewe kua hayuko km anavyoonekana.

Hawa viumbe, anaweza kua ni mzuri kiasi gan, anaweza kua ana elimu kubwaa, anaweza kua ana maisha makubwaaa, anaweza kua vyovyote wakuogopekaa..

ILI MRADI UNAOUWEZO WAKUFIKA MAHALI ALIPO YAAN KUMFIKIA, ... JUST GO AND TREAT HER LIKE A NORMAL PERSON.

ila ukiwa na mawazo ya , mmhhh hii kitu, bila hela huiondoi, sure ,huwezi kumpata hata..
noted mkuu
 
KAZI IENDELEE!

Ndugu wafuasi wa shetani, kitengo cha zinaa, waumini wa ufuska, bila kuwasahau wanachama wa tawi la uasherati, nawasalimu kwa jina la kula tunda kimasihara. Baada ya kuvumilia kwa muda mrefu, uvumilivu umenishinda asee. Acha na mimi nishushe habari zilizojiri katika pirikapirika za kula mbususu. Wewe fala wa kuitwa Rikiboy, nimeconfirm utachomwa moto namba 69 jirani kabisa na Osama Bin Laden na wapuuzi wengine kama Adolf Hitler na Idd Amin "dada".

Turudi kwenye mada dadek zenu. A few years ago, nikiwa mwaka wa kwanza pale chuo kikuu Ardhi, nilipanga chumba mtaani nikiwa na washkaji zangu baada ya kukosa hostel. Nyumba tuliyopanga ilikua inamilikiwa na mabinti watatu (nyumba ya urithi). Wa kwanza na wa pili, wote walikua walevi kupindukia. Na huyu wa tatu ndie alikua muungwana, and of course alikua "fuckable" pia. Uzuri wa wastani yani, kama mnavyowajua mabinti wa kichaga.

Sikua na mazoea nao kabisa sababu ya ugumu wa ratiba yangu. Kozi niliyokua nasomea ilikua very demanding, nikawa mtu wa kurudi gheto usiku, na siku nyingine nakesha kabisa (wazee wa archplaza naamini mmenisoma). Tukawa tunaonana dakika kadhaa tu, tunapeana salamu then mambo mengine yanaendelea. Haka kabinti nilikua nakamezea mate kidizaini, kama vile Kigwangala anavyomezea mate uwaziri (mataga mnisamehe). Kwa bahati mbaya, shetani kitengo cha zinaa za rejareja alikua likizo, ratiba haikuruhusu.

Siku ya tukio, kulikua na kasherehe kadogo ka bethidei ya mtoto wa binti mkubwa (mmoja kati ya wamiliki wa nyumba niliyopanga). Kwa bahati nzuri au mbaya, nilikua nimemaliza mitihani ijumaa, na hako ka sherehe uchwara kakawa jumamosi. Nikaombwa nihudhurie, nikakubali bila hiyana. Kasherehe uchwara kakafanyika mazee. Then usiku ulivyokolea, majirani wakatawanyika. Tukabaki wakazi wa mji husika, tukiwa tunapiga story makundi makundi.

Mimi nilikua nimejitenga pembeni kwenye kagiza totoro nikiwa nachat (kuna manzi nilikua namuweka sawa), ndipo yule binti mdogo ninae mmezea mate akaja kukaa na mimi. Tukawa tunapiga stori za kifala fala tu, huku namuona anajichekesha kikumamae kumamae. Mara ananiambia eti "wewe nahisi huwa unanitaka, ila unashindwa kuniambia", what a mistake hahaaa! Tukiwa katikati ya story zisizo na kichwa wala miguu, mara pepo la ufuska likaninong'oneza, "acha story za kisenge, peleka gheto huyu ule mbususu". Ikumbukwe huyu shetani alimkamata mpaka mfalme Suleiman na hekima zake, sasa mimi ni nani ndugu zangu?


Mpaka hapo ikawa wazi, mtoto anataka mjubilenga. Anko shetani a.k.a shetty baby bin shettlicious, akaniuliza "nikupe nini tena kijana wangu?" Nikajibu anko shetty tulia, huyu "narara nae mbere". Basi nikamwambia mtoto, hapa nje mbu wengi sana, twende ndani tukapige story. Akawa kimya ananiangalia tu. Nikaamka kuelekea gheto, namuona ananifuata nyuma, nikajua tayari "Sabaya ameingia mikononi mwa TAKUKURU"
huuuuuu uandishi umeweza kuwaunganisha@Lugumya na INTERGRITY katika truck moja manina zako wewe[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kule ndani tulipokuwa nilimwambia demu awe makini kusikiliza yanayoendelea nje,maana nilishachanganyikiwa na yanayoendelea huko nje...mama watoto alikuwa anaongea Kama vile haamini tukio lile na akatoa stuli nje ili akae kulinda kigari chetu na hiyo simu iliyopo ndani kabla wahuni wa uswazi hawajafanya yao,hapo nilizidi kudata na kuwaza nitatokaje nje bila ya yy kuniona na nitajielezea vipi.

Baada ya muda yule demu ndani akanambia ningoje yeye atoke akaangalie usalama Kisha atakuja na majibu,kweli akatoka na baada ya dk 10 akarudi huku anacheka akafikia kwenye godoro akitaka tufanye tena,sikuwa na hamu tena maana nilichoka na wasiwasi wa kufumaniwa ulinizidi baada kusikia huko nje mama wa mwanangu anaongea na shoga ake ambaye pia Ni mchepuko wng. Demu akanambia nisijali kabisa kwani washaongea na mama ake kwahiyo watafanya mpango nitolewe nje salama,nikasema poa. Akanambia kuwa mama ake atampa ishara Kama nje kutakuwa shwari ili nitoke. Kweli baada ya muda nikasikia mlango unagongwa,nikazidi kupata hofu,yule demu akainuka akatoka nje Kisha akarudi na kunambia nitoke maana mke wng hayupo nje. Nilitoka fasta nikapita vichochoro nikatokea barabarani nikachukua bodaboda nikaenda gheto kwangu kwenda kujifanyia usafi huku nikiwaza kurudi nitajitetea vp kwa mama mtoto.

Nilirudi usiku wa saa 4 nikamkuta bibie yupo barazani analinda gari,kuniona hakuamini,nikamsalimia tukaingia ndani nikajifanya nilikamatwa na polisi kituo Cha Kati kwa kosa la uzurulaji. Hakuamini hata,alilia sana huku akinishutumu mie ni malaya kuwa nina wanawake wengi ndomana sitaki kuishi nae Wala kumuoa. Nikajitahidi kumtuliza na kukataa tuhuma zake. Yakaisha,nikawa nayapanga matukio yangu kwa nafasi nje ya ile nyumba. Ikawa nikimtaka yeyote Kati ya jirani yake au binti wa maza hausi namuita lodge tunafanya yetu. Ila binti wa maza hausi hatukudumu Sana alikuwa ananifanyia mambo ya ushirikina anikamate vizuri nikamshtukia nikamtema. Hapo ikawa mwanzo wa Vita kwa mama wa mtoto wng kwani walimfanyia visa vingi mpaka nikamuhamisha ghafla kabla kodi haijaisha na nikakata mawasiliano nao.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobil NDIYO KAWAIDA YA WASWAHILI... wENZAO TUNATAFUTA UTAMU, WAO WANATAKA KUTULOGA KABISA
 
Inawezekana Kuna mwanamke aliliwa kimasihara ndipo ukazaliwa Son of Gamba

Kama tunaelezea zinaa kwanini usiende kwenye majukwaa ya
1. Siasa
2.Habari mchanganyiko
3.Great thinker

Shame on you
Shame on you who condones adultery and fornication.
By the way, mimi sikulazimishi ufuate mtizamo wangu bali nakukumbusha tu kuwa uzinzi na uasherati ni machukizo kwa MUNGU.

Uamuzi ni wako, kutii au kukaidi.
 
Duuh mwisho unaweza jikuta motoni na watu wa masihara
Kula raha mbinguni ni kwa wachache sana na wewe haupo huo ndo ukweli ndugu
Nani kakudanganya kuna watu wataenda kula raha mbinguni?
Hujui hata watakatifu watakuwa wapi.

Wacha nikujulishe kuwa watakatifu tutakula raha hapa hapa duniani katika dunia mpya tukiwa na Mfalme Mkuu YESU KRISTO. Na MUNGU atashuka na kuja kuishi nasi hapa hapa duniani.

Na wewe usipoacha uzinzi wako na kutubu basi wakati sisi tukila raha wewe utakuwa majivu katika moto wa Jehanamu.

Maneno hayo ni amini na kweli. Unaweza pia ukasamehewa, nafasi bado unayo, lakini ukishupaza shingo basi shauri yako.
 
Unachoongea na kuelewa sema huna hekima katika kufikisha ujumbe wako kwa mataifa,tafuta hekima ili tuweze kukusikiliza najua una kitu cha kuturudisha kwa mungu ila huna roho mtakatifu ndio maana neno halipokelewi vizuri hivyo sio mshawishi mzuri

Pili acha kuufutilia huu uzi kwa kuwa na wewe ni walewale tu wazinzi na waesherati

Sent from my MI PLAY using JamiiForums mobile app
Hujasoma kuwa imeandikwa, YESU KRISTO alikula na kunywa na makahaba na watoza ushuru. Je, kwa kufanya hivyo na yeye alikuwa mmoja wao?

Na tena hujasoma kuwa YESU KRISTO alikuwa anaongea na kufundisha kama mtu mwenye amri? Alikuwa hawabembelezi watu na kuna mahali aliwaambia mafarisayo wao ni kizazi kichafu na cha zinaa.

Iko hivi,
Mimi natumia maneno kama yalivyo. Wewe ukipokea ujumbe wangu na kuufanyia kazi basi sawa hiyo itakuwa ni faida yako.
Ukidharau na kukaidi na ukaona kama nakufokea basi, shauri yako, hiyo itakuwa ni hasara yako binafsi.

Mwenye masikio na asikie.
 
Wewe Mchungaji huna msimamo. Wewe ni vuguvugu katika ulimwengu wa roho. Kuwa vuguvugu ni chukizo kwa Mungu.

Soma Ufu 3:15-16

Nayajua matendo yako, ya kuwa hu baridi wala hu moto; ingekuwa heri kama ungekuwa baridi au moto. Basi, kwa sababu una uvuguvugu, wala hu baridi wala moto, nitakutapika utoke katika kinywa changu.

Haiwezekani kila wakati unahubir baada ya kusoma essays, wakati mwingine unatabasamu kimoyo moyo as well as kudindisha kabisa.

Huwezi kupinga ulevi ukiwa umeweka chupa ya bia mdomoni.
Imeandikwa, "usimshuhudie mtu uongo".
 
Hujasoma kuwa imeandikwa, YESU KRISTO alikula na kunywa na makahaba na watoza ushuru. Je, kwa kufanya hivyo na yeye alikuwa mmoja wao?

Na tena hujasoma kuwa YESU KRISTO alikuwa anaongea na kufundisha kama mtu mwenye amri? Alikuwa hawabembelezi watu na kuna mahali aliwaambia mafarisayo wao ni kizazi kichafu na cha zinaa.

Iko hivi,
Mimi natumia maneno kama yalivyo. Wewe ukipokea ujumbe wangu na kuufanyia kazi basi sawa hiyo itakuwa ni faida yako.
Ukidharau na kukaidi na ukaona kama nakufokea basi, shauri yako, hiyo itakuwa ni hasara yako binafsi.

Mwenye masikio na asikie.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Waambie Kuwaa wataenda motoni KIMASIHARA[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Ilikuwa 2013 tumetoka mishe tukasema acha tupoze koo,naingia baa nikiwa na mshkaji wangu sana,tukaingia kaunta mpka kwa moja,tukaagiza,nikatoka kwenda toilet nikakutana na demu mkali sana,mweupe,ana hips tako kiasi nimemzidi urefu kama nchi 1.

Huyu dada alikua anatoka mkoa wa Ruvuma ila wilaya sijajua,huo mkoa unasifiwa sana kuwa na wanawakae visu sema naskia utulivu ni "0" nimekuja kuwajua baadae sana.

Kusema kweli ile kumuona tu sikujiuliza sana, reception tu ndio ilinipa ujasiri wa kwenda moja kwa moja kuzungumza nae. Nimsalimia akua kakaa mwenyew nikamwambia "hivi unajijua kiwa wewe ni mzuri" akacheeka... akasema sijui. Basi nikamwambia niko na jamaa angu pale heb weka namba yako hapa nakuja saivi.

Nilirud kwa mshkaji wangu nikamwambia nimemwelewa sana yule demu,jamaa akasema fanya mpango,sababu nilikua nimechukua namba sikua na papara. Muda kidogo aliondoka ili kupitia mlango mwingine. Kesho mchana ilikuwa jmosi nikamcheki tukatambulishana akanikumbuka. Nikamuuliza kesho wapi? Akasema yupo yupo tu. Nikamwambia kama atakuwa free aje nina nyingo nataka kumtemea. Asee bila hiyana akakubali,sa mtihani ukaaa kwangu nikaanza kujiuliza yule ni nani(nilihisi sio wa kawaida)? Ana mishe gani? Amewezaje kuitikia wito wangu japo tulionana baa tu? Sikujali.

Jpili ikafika nikamwambia tuonane saa 12 jioni kama muda huo utakuwa na muda. Muda ukafika kanichek nikaenda kumchukua,nikaagiza mazaga za kutosha chops kuku (niliogopa mdudu sababu aliniambia anaitwa Mariam, muislamu)tukala tukanywa stori nyingi ila sijajua tunaachanaje.

Muonekano wake ulinipa was was kama nikiomba game anaweza kuniona muhuni lakini nikajiuliza" hata akiniona muhuni ataniuwa,atanitangazia" nikajiona muoga wa kijinga. Saa 3 usiku ikafika nikamuuliza,nichukue room basi mana bado mazungumzo yetu hayajaisha, akarespond dah anaenda kuchukua chumba huku bia [emoji482] zikiwa zimekata kichwani kwa jibu lake. Nikaanza kuwaza hiyo game,nikasema nitaweka alama ili hata ikiwa leo ndio mwisho anitafute yeye.

Asee nilitafuna mzigo mzuri,wenye vigezo vyote anavyotaka mwanaume. Huyu alikua ni mwanamke mzuri kwa kila kitu kwangu kimchezo,kimuonekano kisura n.k.
Sikulala usiku ni kuchapana tu na stori, huyu demu alikua na clit ndefu sana iliyonifanya kila nikukumbuka namwita namchapa nao.

Badi aliwa demu wangu alikua mpiganaji sana kwenye kazi,mana alikua na saluni yake huko kimara,alikua na malengo kibao ya akili. Alinipenda sana,sikuwahi kuinjoy penzi kama hilo popote.


Shida kubwa vana kati yangu na yeye alikua amenizidi umri na alikua na mtoto. Alinizidi kama miaka 7 hivi. Hicho kilikuwa kigumu kwangu kumuoa moja kwa moja ila hakuwa na kasoro nyingine.

Mwaka 2015 nilimwambia nataka kuoa hakuamini nilichomwambia,alipiga simu na kulia sana kulalamika lakini nikatia moyo kuwa tutakua pamoja tu, haikuwezekana. Tukaacha kuwasiliana miezi mi3 ikapita nikapata ujumbe
"Mwenye namba hii amefariki msiba upo kimara" mimi nikapuuza nikijua hhenda ni ujanja tu ili niende kwao. Nimekaa kama mwezi nikapiga ile namba nikaambiwa "samahani namba hii haitumiki tena" kuna jamaa tulikuwa nae kwenye group moja anafanya kazi Tigo nikamuuliza akasena hiyo namba imefungwa sababu mtumiaji aliripotiwa na ndugu zake kuwa amekufa. Asee kidume nilikaa ndani nikalia sana,nilikosa amani karibu mwez mzima.

Mpaka leo sijui kilichomuua. Niliumia sana,kikichonifanya nikumbuke hiki kisa ni kisa cha Lugumya

Wanawake wa Somgea ni wazuri sana
pole sana mkuu pengine ungeudhulia msibani ungeweza kujua chanzo
 
Back
Top Bottom