Mzee ndo unauua uzi kimasihara ivo
Huu uzi umejaa laana tupu. Baadhi yenu humu ndani kuna watoto wenu wa kike na wakiume mnafikiri mnawafundisha nini ?

Imeandikiwa hivi,
"MUNGU ataleta hukumuni kila kazi pamoja na kila neno la siri likiwa jema au likiwa baya". Mhubiri 12:14

Sasa ole wenu ninyi mnaoandika matusi na kushabikia zinaa na uasherati huku mmejificha nyuma ya pazia la fake IDs. Tambueni kwamba MUNGU anawafahamu nyote na siku ya hukumu uchafu wote mnaoandika humu utawekwa hadharani.

Tena imeandikwa,
"ole wake mtu yule amkoseshaye mmoja wa wadogo hawa maana ni heri mtu huyo angelifungiwa jiwe la kusagia shingoni mwake na kutupwa katikati ya bahari kuliko mtu huyo kuisubiri adhabu ya siku ile".

Ninyi mnaowafanya watoto wenu washawishike wafanye zinaa na uasherati kwa sababu ya kujifunza "kula tunda kimasihara" nanyi pia mtatupwa kwenye moto wa Jehanamu kimasihara masihara vivyo hivyo.

Narudia tena kusema, ikimbieni zinaa!!!
 
Nimeipenda
 
We acha tu ndugu ila kwa upande mwingine alinisaidia kuwafahamu wanawake matapeli Leo hii hakuna mwanamke anaweza kunidanganya kulea mimba hewa
 
Mkuu stori yako nzuri urefu ni mtu tu anakuwa na haraka zake. Sema pa kurekebisha ni hakuna haja ya kuadisia style mbalimbali na michapo ya kutandani kama ni ndefu unaachana nayo tu
 
Mkuu stori yako nzuri urefu ni mtu tu anakuwa na haraka zake. Sema pa kurekebisha ni hakuna haja ya kuadisia style mbalimbali na michapo ya kutandani kama ni ndefu unaachana nayo tu
Asante mkuu. Nimejifunza kitu.
 
Thread 'Nakaribia kuoa lakini Nimepewa zawadi ya "NGOZI" bure nishaurini hapa' Nakaribia kuoa lakini Nimepewa zawadi ya "NGOZI" bure nishaurini hapa


Updates zake:-
Huo uzi niliweka humu kabla ya kuufahamu huu lakini,huyo demu alikuwa na mtoto mdogo(hakuwa na mume lakini) na alikubali kunipa ngozi bila mimi kumuomba.

Baada ya kuchunguza na kuona nikipiga itakuwa hasara nikamwita uchochoroni nikamwambia sababu ya kutokutaka kupiga ngozi yake,kwanza ningemwaribu mtoto wake,avumilie mpaka mtoto aache kunyonya. Wakati wote wa mazungumzo hayo romance huku OIL ikipimwa kwa nguvu zote bila kuachia.

Nilimchezea sana na kulazimisha nikamchape nao lakini nikakataa katu. Alianza kupunguza mazoea na mimi,mwisho wa siku nikaja kugundua alikuwa tax bubu.
Niligundua hivyo sababu alikuwa anachaji simu dukani kwangu na hakuweka lock na alikuwa hafuti msg. Imepita kama wk 2 nikaona kwa mbali anaenda kuliwa na njema flan basi nikashukuru Mungu kwa kujiepusha na hilo balaa.

NB. Unaweza kula kimasihara ila mademu wengine wana background chafu sana so vijana muwe makini pia.
 
Hahahahhah endelea kukaza mzee utapewa second round[emoji1][emoji1787]
 
Sio kila asemae bwana ....bwana atauona ufalme .

Mara mia kuwa baa unawaza ibada kuliko kuwa kanisani unawwawaza wala kimasihara ....

Na aliwajua walio wake tangia wapo tumboni mwa mama zao .

Sasa wewe endelea kujiona mwema sijui unadhani kuna demu Wa kilokole utamuopoa kwa itikadi za kifala hizi .....alafu mwenyewe unajiona mnyoofu.

Hata hao madem Wa kilokole wanakuona boya tu joka la kibisa
 
Sasa ndio utofauti unapokuja. Yesu Makahaba hakuwafuata walimfuata alipokuwa.


Sasa kinachokufanya wewe ufuate nyuzi zinazoonekana zina uovu ndani yake nini?

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Hujasoma wewe kuwa imeandikwa, "enendeni ulimwenguni pote mkahubiri Injili".

Wewe unafikiri "ulimwenguni" ni wapi???

Kwa taarifa yako neno "ulimwenguni" lina maana pana sana kimaandiko.

Kwa mfano huu uzi wa "kula tunda kimasihara" ni ulimwengu wa wazinzi na waasherati. Na huku kwenye ulimwengu huu ni sehemu mojawapo tunayotakiwa kuhubiri.
 
hata novel andika tu mkuu.sisi wengine tumetenga muda maalumu kwaajili ya kusoma kila kitu kwenye uzi wetu pendwa.mimi nim3soma mwanzo mbaka mwisho
 
mkuu unasoma kila mstari kwenye uzi huu.ni kweli ua udindi wewe? au unatuinjoi tu[emoji38][emoji38]
 
Unajiona lijanja mwenyewe .....hata maandiko yanakwambia jiepusheni na mizaha ....sasa wewe umekuja kuketi na sisi unategemea nini wewe joka la kibisa
 
Haya mambo kakae na mkeo na wanao ndio mkaendelee kuyajadili . tuondolee upuuzi wako hapa
 
Demu wa kilokole ndiyo nani?

Kwenye maandiko hakuna mtu anaitwa "mlokole". Na hakuna mahali kwenye Biblia utapata neno "mlokole".

By the way mimi sitafuti demu, mimi nakuhubiria wewe uache zinaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…