Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Demu wa kilokole ndiyo nani?

Kwenye maandiko hakuna mtu anaitwa "mlokole". Na hakuna mahali kwenye Biblia utapata neno "mlokole".

By the way mimi sitafuti demu, mimi nakuhubiria wewe uache zinaa.
Ndio tunakuambia kawahubilie wanao .
 
Demu wa kilokole ndiyo nani?

Kwenye maandiko hakuna mtu anaitwa "mlokole". Na hakuna mahali kwenye Biblia utapata neno "mlokole".

By the way mimi sitafuti demu, mimi nakuhubiria wewe uache zinaa.
Leo son of Gamba twende sawa. Kilichokuleta huku ni nn?
 
Unajiona lijanja mwenyewe .....hata maandiko yanakwambia jiepusheni na mizaha ....sasa wewe umekuja kuketi na sisi unategemea nini wewe joka la kibisa
Hata YESU alipokuwa akihubiri Injili wapo waliomtukana matusi kama wewe unavyonitukana.

Mimi sitakutukana bali nitakuombea kwa MUNGU akusamehe matusi yako ili siku moja ukijatambua basi utubu maovu yako na upokelewe kwenye Ufalme wa MUNGU.

MUNGU akusamehe maana hujui ulifanyalo sasa hivi. Amen.
 
Leo son of Gamba twende sawa. Kilichokuleta huku ni nn?
Yaani linashinda kwenye site za ngono likisha jipiga bao kwenye chupi yake ndio linajifanya limeokoka eti linatuhubilia.....boya sana hili ....Mtu yoyote kwenye imani yake alie mkataa shetani na kazi zake zote huwezi mkuta huku hata kwa bahati mbaya ila hili jinamizi linalo chafua ukristo ndio linajifanya jema .
 
Hata YESU alipokuwa akihubiri Injili wapo waliomtukana matusi kama wewe unavyonitukana.

Mimi sitakutukana bali nitakuombea kwa MUNGU akusamehe matusi yako ili siku moja ukijatambua basi utubu maovu yako na upokelewe kwenye Ufalme wa MUNGU.

MUNGU akusamehe maana hujui ulifanyalo sasa hivi. Amen.
Katika watu wapumbafu walio kosa kazi za kufanya na hawajui walifanyalo ndio wewe sasa. Kwani wajomba zako wote wameokoka .....? Hadi uje kwenye site za ngono huku.....? Nenda kwanza kwa wajomba zako malizana nao kwanza ndio uje ujipizie huku
 
Leo son of Gamba twende sawa. Kilichokuleta huku ni nn?
Ukiwa unaziba "nyufa" kwenye nyumba, Je, hutaingia chumba hadi chumba ili uone "nyufa" zote na kuziziba?

Jamii Forums ina vyumba vingi na mimi nikiwa kama "fundi" wa kuziba nyufa basi nitaingia chumba hata chumba mpaka nizibe nyufa zote.
 
Hata YESU alipokuwa akihubiri Injili wapo waliomtukana matusi kama wewe unavyonitukana.

Mimi sitakutukana bali nitakuombea kwa MUNGU akusamehe matusi yako ili siku moja ukijatambua basi utubu maovu yako na upokelewe kwenye Ufalme wa MUNGU.

MUNGU akusamehe maana hujui ulifanyalo sasa hivi. Amen.
Kwa hiyo na wewe pepo unajifananisha na Mwana Wa Mungu ....?
 
Ukiwa unaziba "nyufa" kwenye nyumba, Je, hutaingia chumba hadi chumba ili uone "nyufa" zote na kuziziba?

Jamii Forums ina vyumba vingi na mimi nikiwa kama "fundi" wa kuziba nyufa basi nitaingia chumba hata chumba mpaka nizibe nyufa zote.
Wajomba zako usha waziba wote......?
 
Kwa hiyo na wewe pepo unajifananisha na Mwana Wa Mungu ....?
Nina furahi sana kuona kumbe unatambua kuwa kuna "Mwana wa MUNGU".

Sasa nakukumbusha kuwa imeandikwa ni heri ya wale ambao hawakulisikia kabisa NENO kuliko wale waliolisikia na kulikataa.

Kama wewe unamfahamu Mwana wa MUNGU basi jiepushe na zinaa. Maana imeandikwa na kila amwitaye MUNGU basi aache uovu".
 
Hivi muovu ni yupi wewe pepo....?

Yule alie jiamulia kufanya mambo yake bila buguza kama sisi tulivyo amua kujitulizia kwenye kauzi ketu .

Au

Wewe unae jifanya umeokoka na kutwa kucha nyuzi to nyuzi na huku kwenye tunda ...? Yaani unashinda kwenye site za ngono ukisoma ukichoka ndio linajifanya umeokoka .

Kijana nakuambia hiviii shetani ananguvu na kama huamini basi nakupa miezi mitatu tu unakuja kutoa ushuhuda huku Wa kuliwa kimasihara
 
Hujasoma wewe kuwa imeandikwa, "enendeni ulimwenguni pote mkahubiri Injili".

Wewe unafikiri "ulimwenguni" ni wapi???

Kwa taarifa yako neno "ulimwenguni" lina maana pana sana kimaandiko.

Kwa mfano huu uzi wa "kula tunda kimasihara" ni ulimwengu wa wazinzi na waasherati. Na huku kwenye ulimwengu huu ni sehemu mojawapo tunayotakiwa kuhubiri.
Jaribu siku moja kwenda kuhubiri kwenye danguro wanalokaa uchi halafu uje utoe mrejesho.

Hata hivyo wewe ni msomaji mzuri wa ngono za kimasihara kwenye huu uzi. Kujiepusha na zinaa ni pamoja na kukaa mbali na stori zinazohusika. Sasa wewe umo humohumo unaogelea kwenye story za uzinzi unajifanya kukemea wengine. Wewe ni mmoja wa wala tunda kwa masihara

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu mblock huyo mbona unatumia nguvu nyingi.
Hivi muovu ni yupi wewe pepo....?

Yule alie jiamulia kufanya mambo yake bila buguza kama sisi tulivyo amua kujitulizia kwenye kauzi ketu .

Au

Wewe unae jifanya umeokoka na kutwa kucha nyuzi to nyuzi na huku kwenye tunda ...? Yaani unashinda kwenye site za ngono ukisoma ukichoka ndio linajifanya umeokoka .

Kijana nakuambia hiviii shetani ananguvu na kama huamini basi nakupa miezi mitatu tu unakuja kutoa ushuhuda huku Wa kuliwa kimasihara
 
Ukiwa unaziba "nyufa" kwenye nyumba, Je, hutaingia chumba hadi chumba ili uone "nyufa" zote na kuziziba?

Jamii Forums ina vyumba vingi na mimi nikiwa kama "fundi" wa kuziba nyufa basi nitaingia chumba hata chumba mpaka nizibe nyufa zote.
Mbona huendi bar kuhubiri tuone kama hawajakupopoa na chupa.

Back
Top Bottom