Wakuu naimani mpo sawa kabisa. Hebu huyu dem nimpe adhanu gani.
In short nipo dar kikazi, na ofisi yetu imetukusanya wawakilishi kutoka kila wilaya mtu mmoja. Wilayan kwangu nimetoka mimi.
Wilayan kwao katoka yy. Nlivyofanya sorting kura yangu ikamdondokea yy.
Nikatangaza nia naona nikapita kwenye senet yake vizuri tu. Juzi nlimchukua kwenye kimkweche changu nlichokuja nacho piga finga sana tu na romance kibao akaniahidi kunipa papuchi J2, ratiba zikaingiliana, akaniahidi jana, asa kumbe jana kampa appointment mtu mwingine. Jamaa nlikuwa naona kamtait toka tumeanza seminar sana sikumuuliza sana sikutaka kuharibu. Mm nlikuwa nafanya kisiri sana nawasiliana naye kwa simu tu, tena sms, tukitoka jion yy ndo huwa anapenda kupiga but sijawahi mpigia. Sasa inaelekea jamaa jana alibanfua dem, juz dem alipigwa simu so nikawa nimenunua mpya samsung ila sijamwambia, nlimdokezea tu kuwa unatakiwa upate simu mpya akasema hana hela, nikmwambia sio ishu tutaona namna.
Sasa dem jana alivoachiwa na mshkaji mida ya saa nne usiku akawa anapiga sikupokea, kaandika sms kama zote asubuhi ametafta simu ya rafiki yake akanipigia kabla sijafika sikuipokea, akaandika sms ikabindi niijibu.anauliza km tunawezatoka wote jion
1. Sasa nataka nimkaze alafu nisimpe kitu, then nikae kimya kama hapajatokea kitu.
2. Nimpe makavu nizire kidude chake.
3. Nimpotezee tu kimyq kimya japo nna ugwadu hatar maana nipo safarini zaidi ya mwezi na nusu nq bado km siku 10 mbele sijagonga popote
 
We mkaze kwanza upunguze ugwadu, na usimpe hiyo simu.
 
Watu mnroho ngumu[emoji35] mnawaza sex mda wote huu. Swali ninalojiulizaga kila siku hivi huyu kiumbe mwanamke huwa ni mjinga au???? Coz ukiangalia comment nyingi humu ni za kiume ila hawa viumbe wanajifanya mashetwani, wanajua wanaliwa ila Wanaficha siri mpaka siku ya kufa kwao ukute ata ww mlaji mkeo analiwa lkn hujui, totally usije ukamwamini mwanamke ukizae nae lea mwanao mke achana nae. Na kama unataka kula, kula na usepe.

Hawa viumbe ni laana kabisa ni hatari sana kwa afya yako!!
 
maneno kuntu hayo... Hata uwe busy vipi, tenga muda kwa mkeo..
 
mwamba umeniuan na kicheko 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 πŸ˜€ πŸ˜€ 🀣 πŸ˜€πŸ˜€..

fanya umalizie ilikuaje
 
Usijali sana kaka, ni mipango ya Mungu, naamini yote yatapita, piga moyo konde
Usisahau kutembea na kilainishi mkuu

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Dah bahati haiji mara mbili ila mzee jitahidi maumivu hayako automatically utapona lkn usirudie
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] hizi chai zinafurahisha sana
 
mademu wenye tattoo popote, kipini, kikuku, kiduku ni hatareee mno aisee.. hata mimi huwa nawaona ni wengi mno wa habari...
🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣
 
mkaze saanaa...na usimpe simu
 
Usipokuwa makini unaweza kuliwa kimasihara
 
Muda si mrefu yani jua likizama nitakuja hapa na kisa au zawadi ya waheshimiwa wenye wanajua kabisa wamepanda busa ganiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
mkaze saanaa...na usimpe simu
Mrejesho, amekuja kuomba po jion hii anataka nikamkaze saii nami nimemkazia kuonyesha sina shida nimemwambia kesho ndo nina mda. Ila kwa hasira nlianza kusaka papuch inshort kuna dada nimeongea naye naenda kuonana naye leo jion nimtathmin tu kwanza maana nimepewa namba na jamaa yangu. Hata sijamsemesha. Ila wadada wa mjini ashaujua mchezo
 
Ulete mrejesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…