Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Unapiga Deki halafu unavaa condom?,au ulimi wako hauko kwenye mwili wako?,au ulivaa condom ili usimpe mimba mtoto wa watu na sio magonjwa?
I got your concern Chief. BTW, Tahadhari zote zilichukuliwa ikiwemo kuvaa helmet.

Hata hivyo chief, Una taka kuishi Milele hapa Duniani.
Enjoy life as much as you can🥂
 
Kuna jamaa yangu kaingia mkenge kashindwa pa kutokea, tutamsaidia vipi? Ni hivi:

Mwaka juzi, Jamaa alikula kimasihara binti yake (mtoto wa kaka yake kwa baba mkubwa) mpaka akanogewa mwisho wa siku mimba ikabebwa, mtoto akazaliwa! Alifanya siri lakini tayari ndugu zake wamemeshtukia na jamaa sasa anashindwa aipeleke wapi hiyo aibu!

Yeye ni MBONDEI, kwa wanaojua mila za hili kabila, afanye nini kuweza kutatua tatizo hili?
Ingekuwa ni kaka na dada kwa baba mkubwa na mdogo kwa wabondei haina shida. Shida ni jamaa kula mayai ya kaka ake! Arud mitaa ya Lusanga wazee wa mila watayajenga
 
Back
Top Bottom