Basi bwana 2004 nafanya Bsc (Military Science) ndani ya University of Stellenbosch huko bondeni. Kwenye module ya Technical Intelligence nilikuwa nimepangwa kundi na mrembo wa kisomali ni Exchange Programme kutoka Mogadishu Military Academy (MMA) kabla haijawa TURKSOM..assignment ilikuwa kutengeneza draft ya Commander's Estimates (makadirio ya resources zitakazotumika vitani eg lita za mafuta ya vifaru, ndege, idadi ya frontiers, risasi, mabomu, aina ya silaha, wingi wa chakula etc) tuchague moja ya nchi tunazotoka na mifano iwe inakaribia uhalisia. Basi bwana, mimi nikamshawishi tutumie Somalia (sikutaka kutumia TZ sababu tumekula kiapo kutotoa details nyingi). Kwake haikuwa shida kutumia nchiyake nadhani hakuna restrictions...akaniomba niandae 'sketch' (war skeleton) alafu atakuja kutia nyama mwishoni...ingawa alikuwa mdogo kuliko wote kwenye hiyo course, pia alikuwa smart kuliko wote ingawa hakuwa vizuri sana kwenye power point presentation)... huo usiku sikulala, kidume nikaingia google nikatafuta location za kambi zao kubwa zilizo chiniyao na zinazosimamiwa na Wamarekani, intelligence reports za wamerekani zinazoelezea idadi na aina ya ndege za kivita, aina ya vifaru, ukubwa wa jeshi lao na baadhi ya sehemu zao nyeti (makao makuu ya jeshi, vyanzo vya ufuaji wa umeme, vyanzo vya maji, bunge, airport, madaraja makubwa yanayounganisha miji etc....anyway nisiwachoshe sana.....keshoyake nikamwambia aje jioni nimuonyeshe draft plan..akaja na pedopusha na top ya bakabaka imembana kiuno nyigu, mtoto kabinuka vizuri kama anataka kutaga huku chuchu konzi...
Nikaanza kushuka data jinsigani tutaanza ku "advance" vikosi kutoka Somalia kuelekea KE na jinsigani tutalinda strategic spots zetu kama vyanzo vya maji, Parliament etc...mamamamama, mtoto akaanza kutetemeka, ananiambia how on earth did you come up with all this just overnight?? nikawa natabasamu tu huku kimoyomoyo nasema akirogwa akachukua computer kuangalia history ya web browser imekula kwangu! Akawa ananiambia "you are very smart" na jinsigani angepata sifa kama angetengeneza plan kama hiyo huko kwao kwenye kambi iliyo chini ya uangalizi wa wamerekani..basi bwana, alikuwa amekaa wakati nafanya demonstration, akanyanyuka akanishika kiuno na mikono yote miwili taratibu akaniambia "i want you to 'advance' between my legs"...(kijeshi 'advancing' inatumika kumaanisha kusonga mbele wakati mnashambulia)..sikuchelewa, nikang'ata shingo mtoto akatoa sauti moja sijawai isikia toka nimezaliwa..nikaongeza sauti kidogo (code of conduct za chuo haziruhusu hizi mambo za mahusiano baina ya Military Officers wanaotoka nchi tofauti)...anyways, nikala mzigo mtoto yuko tight mbaya na anajua gymnastics sijawai kuona..sababu ya mnato, usiku huo nikambatiza jina la Sub Machine Gun (SMG) naye akanibatiza jina la Large Machine Gun (LMG). Kuanzia sikuhiyo hadi leo tunaitana SMG na LMG...
Sent from my SM-G950F using
JamiiForums mobile app