theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,681
Mke wa mtu keshakolea huku…
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaah aisee
Be extremely careful...or just stop it !!!
Aaah aisee
Be extremely careful...or just stop it !!!
View attachment 1946408
Be extremely careful...or just stop it !!!
View attachment 1946408
Hahahaha jamaa katili wewe ukaamua umpe na habari ya kusikitishaBe extremely careful...or just stop it !!!
View attachment 1946408
Mamaeee huu mwandiko wa mkewanguu.
Mamaeee huu mwandiko wa mkewanguu.
Ngoja nifike nyumbani atantajiaa[emoji23][emoji23][emoji23]
N jirani au Shemeji.??Dah Leo nimejaribu kumuomba mtu kula kimasihara nikaambiwa nijiheshimu shetani sawa tu[emoji22]
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
wanawake wa hivi raha sana
AiseKIMASIHARA NA SHEMEJI
Ilkua ijumaa ya tarehe 6 ya mwezi huu wa 8 yaani ijumaaa ya juzi hapo baada ya mishemishe za wiki nzima nimetulia zangu ghetto kama kawaida nishapakua movie old skool zangu kama 7 nikasema this week siend kunyweshea roho maji ya baraka nachill ghetto tu na hapo Nilikua loaded enough pesa ipo.
Nikacheki Bolywood movie kama mbili tu nikasema hebu nicheki simu mara moja maana nikiangalia movie nazimaga hadi na simu(sitaki kusumbuliwa) kuwasha simu nakutana na message Whatsap kutoka kwa brother angu flani tumekutana kwenye harakate si unajua sisi vijana wa daslamu hatujaajiriwa ila hatupoi harakate kibao alizoruhusu Mungu na asizoruhusu ili mradi account zitune(ila zote legal kwa serikali)
Brother message zake was like "dogo uko api kuna dola 20k hapa nataka ukanitolee" na meseji nyingine kibao tu bas Nikamcheki akanambia tukutane masaki Nika take a cab had kule nikamkuta meza ishapendeza na yeye mwenyewe kashalewa Tilalila hajielewi ile kufika tu akanambia dogo usilewe si unaona mi nshalewa gar ataendesha nani nkakubaliana nae baada ya kunichukulia Mchupa mmoja wa Moet n Chandon
Tukaingia ndani ya Jeep Waragler (JL ya 2017) hadi mlimani city tawi la DTB Nika Withdraw hyo Pesa kwenye hela Zetu za madafu ni kama 50 million kasoro hivi kurudi ndani ya gari akanipa mgao wangu tukaenda Manzese kuna Hotel inaitwa Jaromax akachukua Room yake na mimi nikachukua ya kwangu(cost on him maana nimekuja kumfanyia kazi yake) sasa hapa ndo Kimasihara ilipoanzia....
Brother akaniambia dogo mi nina Malaya wangu namsubiria hapa (Celebrity flan hv wa kibongo anatrend sana now deiz her is someone T.... Y) vipi wewe nimwambie aje na fulani(Celeb nae) Nikamwambia hamna bro kipaseli Changu kinakuja kuku wa kienyeji akacheka tukaendelea kunywa na kula Moet yangu sijaifungua mara akaja yule demu wakaingia room kwao mi nikaenda room alone
that day sikua na mzuka kabisa wa kunywa wala wa kukutanisha vikojoleo so nikatulia zangu nikawa nachat bhas nikaweka status picha za msosi, moet, room nikashare na Location si kuna shemeji yangu flan hivi kwa rafiki angu(kamesoma na kanafanya kazi kampuni flani kubwa tu, kwa humu ndani Huwaga mnatumia msamiati smart ila mi namuonaga sawa na wanawake wengine since na yeye ni mwanamke) aka reply kwa Kusema YEYE:unafaidi kweli MI:leo niko mood off nimefata pesa tu na hakuna ninacho enjoy if u don't mind nikirud gheto utafata Moet YEYE:unarud lini? MIMI:Jumatano jioni YEYE:uongo Huez kuniekea hadi Jumatano Dee nakujua kama hutojali nakuja kuifata MI😱kie njoo ukifika reception nishtue nishuke nkuletee YEYE:sawa
Basi akaja hadi pale ila cha ajabu nikasikia mlango unagongwa kufungua namuona yeye nikamsubirisha mlangoni nikaenda kumchukulia Chupa nikampa anaanza kulalamika kwa nini sijamkaribisha ndani hata hajapumua nataka aondoke eti simjali, simthamin ukizingatia yeye shemeji wa rafiki yangu wa karbu mi nikamkaribisha akaingia akaenda kukaa kitandani wakati kuna viti akaanza kuniuliza maswali mfululizo kwa hiyo uko peke ako? au kuna mtu unamsubiri?
Nikamjibu siko peke yangu na nliyekua namsubiri kasha fika akacheka akasema bas tunywe wote Nikamwambia mi sinywi leo we nenda kanywe na jamaa nikamtaja Boi wake Akasema sitaki umtaje yoyote ambaye hayupo hapa mi nikaitika tu nikawa naona zigo la lawama linataka kuniangukia maana jamaa anamuelewa sana huyu Dada na wametambulishana kote yaan familia zao zinajuana bas mi nikakaa kimya tu nikawa namuangalia na kumsikiliza anachoongea
Ni kazuri mweusi na kila kitu kipo kwa kiasi yaan kifuan, hips, boot, ila macho tu ndo oversize
Akaanza kwani Dee mi sivutii? Mbna unanikalia mbali au nina ukoma? Nikamjibu mi naogopa kukaa na wewe karibu nisije nikaharibu mambo halafu nikataka mbususu ukakataa? Bas akacheka akanyanyuka akanifata kwenye kiti akaniambia si uharibu halafu uone kama nitakataa au nitakubali nikaongea mwenyewe akilini mwanakulitafuta mwanakulipata bas nikanyanyuka nikamkamata yaliyoendelea ni yaleyale
Bas tokea ijumaa tunaenda kula samaki samaki yeye hapendi kula hapa hotel anapenda tutembee na hivo kuna Jeep hapa anafurahi kweli nampigisha misele tukirud nakula vitu vyangu akaniganda twende kwake tukachukue nguo tukaenda dukani nikamnununulia bas ndo wacha amwage shombo kuhusu jamaa ooh najuta kua na jamaa ako hajui kutafta pesa na wala hajui kufurahia maisha kwa nn nyie marafiki lkn hamfanani tabia sijui kwa nini nlimchagua yeye badala ya wewe[emoji23][emoji23] wanawake kwa tamaa aisee hajui mi mwenyewe hizi anazoziona outing ni kambi za kazi
Bas kalinizimia simu kakanifanyia maajabu kweli kweli asee huyu mtoto ni mshenzi haswa wala hafananii na usomi niko na nakidinya hadi Jumatano hapa hotel baada ya hapo arudi tu kule akabembeleze ndoa maana ndo ntamuacha hiyo hiyo jumatano
nimecheka sana usiku huu wa saa nane kasoro🤣Mnunulie magongo
Hongera sana Boss,hivi nani humu amewahi kula kwenye bajaji ?😋
Aiseeeedaaa jamaa wewe umenikumbusha enzi zangu huko kijijin miaka mingi ya nyuma nilizibandua mbunye nyingi saaa kwenye maji kila nikikumbuka nasema mambo hayaa mmmmhhhhhhhhuuuuu..
Karma is a bitch