Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Mtu mmoja kawapanikisha watu kibao.... ilikua ni kufanya kitu kimoja tu, kumpuuzia basi ilikua inatosha, mnavyoendelea kujibu ndio mnampa power.
Kila akiingia akute 0 notification hakuna alie tag wala ku mention jina lake angeishia kuwa mpenzi msomaji na amani ikawepo.
 
Edna popote ulipo nakusalimia.

Kijana mpole mshika dini safi, sina makando kando, naaminika kichizi, nikiwa nyoya (kidato cha kwanza), kama kawaida napiga buku tukiwa na Michael msela wangu mlokole safi asiye na ila maisha yanasonga bila gogoro.

Nikiwa shule ya msingi nilikuwa naupiga mwingi sana, baada ya kumaliza tukiwa tunasubiri matokeo, nikajikuta nakabiliwa na maumivu ya goti la kulia kila nikicheza, nikaona huu ni ufala, mpira bongo afu kijijini, wa kuja kuniona huku nani? Nijatundija daruga, ila mapenzi yangu kwenye soka hayakuisha.

Tunaingia 4m 1 naendeleza harakati ila kwa upande wa kamati mbali mbali za kimichezo, ikiwemo kuwa miongoni mwa wanakamati ya ushindi. Nikiri tu kuwa hapa ndo mara ya kwanza nauona mpira ukipigwa kwenye ungo, plus maluwe luwe kibao, hapa si mahara pake, nitayasimulia pahali husika.

Basi bana, siku ya siku tuna gemu na wanakijiji wa kijiji cha nne toka mahali shaule yetu ilipo, mida ya saa 7 fuso likatenga shule, majina ya wanao kwenda yakasomwa alwatan nimo, baada ya taratibu kukamilika, ngoma ikaamsha, haoo!!

Tumefika ukapigwa mwingi, shiringi ikasimama, matokeo tasa, aroundi saa 12 tunaza safari kurudi, sasa ishu ikawa tumekwenda wachache ila kumbe kuna wenzetu pia walilianzisha asubuhi kwa hiyo tukawakuta, time ya kurudi tukawa nao, gari ikawa na mzigo mzito, halafu ni usiku na ile njia ni ya vumbi na si rafiki.

Tumo kwenye gari, fujo nyingi, mida ya giza giza wana wakaanza kubambiana, sasa zile kelele hata kama mtu anapiga kelele serious watu wanachukulia masikhara tu, mie mgeni kwa hiyo sina mazoea kivile na watu wengi, watu wanasukumana ovyo tu hii hasa ilichangiwa na myumbo wa gari kwa sababu ya barabara.

Nikiwa ninatumia mkono mmoja kushsika bomba huku mkono mwingine ukiwa unailinda nokia 1100 yangu iliyokuwa mfukoni, ghafla nikashikwa ule mkono ulioko kwenye bomba kucheki alonishika ukizingatia na lile giza sikumtambua kabisa, ila akaanishtakia tu "huuyu hapa ananisumbua" nikageuka kumcheck jamaa alosontwa, akanigeuzia mgongo kwa hiyo sikujisumbua nae, sasa nikawa na vitu viwili vya kuangalia, kiemeo changu na huyu manzi.

Tumeendelea na safari ikafikia pahali huyu manzi akaachia ule mkono akaniambia nimshike maana kachoka, kwa kuwa sikua vizuri nikatafuta balance kwa kusogea pembeni kabisa nikaeg=meza mwili wote kwenye bodi ya gari wakati huo mazi tuko nae bampa to bampa, hspa nikapata fursa ya kumshika kwa mikoo yote miwili, baada kama ya dk 10 ile mitikisiko ya gari na mgusno wetu, mara mnara ukasoma, yeye alisimama akaniegemea kwa ubavu wake wa kushoto. Mnara uliposoma akaufeel nikaona kila mara @nainua uso kunitazama.

Tumeendelea na safari, tukafika kijijini wanafunzi wa njiani wakaanza kutelemka hiyo nika kama kwenye saa 21 kasoro, tumesongaaa, nikafika kituo changu ile nateremka, mazi nae akateremka, pamoja na watu wengine, pamoja na kuwa mnara ulikua unasoma ila baada ya kuteremka, wazo la kumpotezea lilitamalaki, sasa ile nimepiga hatua kama 5 hivi nikiwa namshikaji wangu Michael na wana kadhaa, nikashikwa mkono, kugeuka ni yule manzi, nikasimama akaniambia nimsindikize kwao, nikamuuliza ni wapi? Kanijibu madukani. Nikamwambia mbona huko mbali? Akaniambia, sasa kama hunisindikizi unataka nikalale wapi? Mara Michael akaniita, kumbe alisikia majibizano yetu, jamaa kaniambia wewe njoo nae getto sie tutalala kwa mwana yeye tutamuachia alale kwetu, Kulikua na jamaa etu mmoja sasa ni marehemu.

Tukajikokota mdogo mdogo hadi getto, fika tukaliungurumisha (tulikua tunapika wenyewe) tukala, baadae nikamuelekeza pa kulala, nikamtoa hofu maana mie nalala kwingine, manzi kagoma kulala mwenyewe, bembeleza manzi anadai tangu kuzaliwa hajawahi lala mwenyewe, baada ya Michael kuona sitokei ikabidi anifate, nikampa picha ilivyo, mwamba akanicheka kinoma mpaka nikajiona bwege, hapo ndo akili ikaja sasa. Kwa mara ya kwanza maishani kulala usiku mzima na manzi huku nikiwa najipigia na mahusiano kati ya nyoya na 4m 2 yakazaliwa rasmi.

Wana acheni kutumia muda mwingi kumjibu huyo mwamba hapo juu tufocus kwenye lengo la uzi.
Dahh mkuu usitaje jina mm apa sina amani ni mkoa gan huu ilikuwa mzee
 
Booooh boooh yani kiulaini sanaa huu uzi unatibu malazi mengi sana kwa hiyo dawa iongezeke

Baada ya kumaliza chuo nilipata kazi wilaya fulani morogoro uko ndanii sana kwanza nilipofika sikuamini kama kule ni moro ,nilijua dar moro karibu alafu weekend bata batani dsm weeh nilichoka kwanza ilichukua masaa 12 kufika tuuh ,yani nilitamani nilie mazingira ovyoo sana alafu ilikuwa masika barabara mbovuu kishenzi

Kesho nikaripoti job kishingo upande sana ,wakanionesha mazingira kwa kuwa nilifikia guest ,kuna jamaa akaniambia tukakae geto kwangu kwanza kipindi unacheki mazingira ya kupata nyumba daah nikasema poa tulivyotoka job tukaenda mpka alipokuwa anaishi nikaoga nin jioni misele kama kawaida kitaa lakin mazingira ovyoo ayakunishawishi kabisa

Weekend mi uwa napenda kutoka yani club kama kawa si unajua ukizoea mambo ya chuo nin mitoko kama kawa ,akanipeleka pande fulani bush bush madem ovyoo niliboreka saa 5 tukarudi geto yani nilikonda kishenzi .Ikapita miezi kadhaa nikanunua vitu nikaamia kwangu na kazi ikawa inaendelea

Kuna siku moja mchana nikaenda bank kucheki salary mdogo mdogo sina habari mala napigwa bonge la ngumi la mgongo mmamae nilimind kugeuka nijibu mapigo kucheki kumbe mdada, ila anaonekana kama chizi chizi na gunia lake alafu ana fimbo sasa nikasimama saa ngapi fimbo ilo nikatoka nduki nikaingia bank kwa kuwa haikuwa mbali na pale bank.Nikaingia bank nikacheki balance zangu nikasepa sasa natoka askari akaniambia yule kichaa anakusubiria pale pita kwa uku mkwepe mhmh nikamjibu hapana ngoja nimpe chochote labda anashida .Kweli nafika pale nikatoa noti ya elfu 10 nikampa alifurahi aliruka ruka kagala gala mi nikasepa zangu

Sasa nikajiuliza uyu kichaa niaje mbona ana cheza pale karibu na bank na awamfukuzi aaah buushit nikapotezea .Bana bana toka siku ile akiniona ananikimbilia mpaka uwa namkwepa ,kuna siku tunapita na mshikaji usiku saa 2 kakusanya kuni kawasha moto nikajificha kwa mshikaji saa ngapi asinione alinirukia akatoa ndizi mfukon akanipa , nikampa elf 2 alifurah sis tukasepa njiani mi nikamenya ile ndizi nakula mshkaji alicheka yani we unakula uchafu uyo anaokota dampo kule mi nakutana nae kila siku .Tukaachana mi nikaenda home ,kumbe bana yule kichaa anatufata nyuma nyuma akajua napoishi sas ndio ilikuwa kero nikiludi job yupo nje ya getin ananiita mpenz wangu mwaaah anakimbia.

Weekend moja tukaenda bush part na jamaa angu kulikuwa na kipaimara alialikwa,tulipiga pombe sana dadeki niko chakari sanaa kufika saa 7 nikamwambia aisee jomba twende hom .Kule job kuna mdada nilikuwa namind sema akawa analeta mizinguo ooh mpaka unioe alikuwa anakujaga hom mala moja moja .Ile tunaludi mshikaji akaniambia leo umelewa sana aisee mpaka unayumba utafika hom kweli , nikamjibu nifikishe mpaka pale kwenye njia ya hom alafu we uludi , jamaa akanifikisha pale mi mdogo mdogo mala nashikwa mkono mpenzi wangu kugeuka yule kichaa, nikajikwaa nataka kuanguka akanidaka uku namsikia kwa mbali leo una nin mpenz jamani akanikokota mpaka hom nikafungua mlango yey akabaki nje uku mlango sijafunga mi kwenye kochi tiii .Sasa nikastuka nikaenda kufunga mlango nikamkuta akaniambia unanifungia mpenzi sasa na pombe nikamwambia ingia.Mala nikapepesuka nikampalamia wote chini ,ile chini pale joto joto la mwili tukagusana nikaona alaah na tungi mmboo hiyo nikamgusa chuchu ana cheka cheka tuuh nikapandisha gauni juu alafu lilikuwa chafu kishenzi navuta chupi akanishika mkono mhmh mhmh usifanye hivyo ,mi nikaendelea tukavutana nika win chupi kulee sas akabana mapaja nilishangaa alikuwa na nguvu sana ,si unajua wa jando tunajua wapi pakugusa mapaja yaachie akaguswa sehem 3 ngumu napanua tena nikakuta pwaaa mi uyo alikuwa na vvuzi dadeki ila nikapeleka mmboo ikakubali aisee kchaa kilitulia mbona

Dadeki alinikaba shingoni kwa nguvu mpaka pombe iliniisha ,baadae akatulia na mim nikajikamua lile bao lilikuwa zitoo sana nilihema ile naegemea kochi usingizi pale pale .Nastuka asubuhi lile dem la job linaniita nacheki pembeni hamna mtu kumbukumbu zina nijia dadeki nilijutia nikawaza uyu dem akumwona kweli .Nikaeka mazingira fresh lile dem likaingia tukapiga story mpaka mchana akasepa .Juma3 job jamaa akanivuta pembeni akasema jana umefanyaje sas nauliza kwa nin ,akajibu nanii kamwambia dem wangu, kafika kwako kamkuta yule kichaa ana toka ndani kwako alafu kavaa shati lako

Iliniuma kwa sababu ilienea sana kazini yani niloona bonge la noma ,Ila nikajiuliza maana machache nakumbuka alivaa chupi alafu ndani akuwa ovyo kama nilivyofikiria .Ikapita wiki 3 jamaa akaniambia mbona yule chizi simuoni tena shem wangu yule nilimind sema utani nin.Nikamwambia lakini mtam yani jamaa akasema tukitoka twende tukamcheki ,tulivyofika pale hamna uchafu wala nin tukawauliza wale maaskari wakasema ana karibia mwezi hawajamuona tena pale.

Wazee hii itaendelea.................. hofu itakuwa ndefu mnoo maana kuna kisa kingine mbelee yake xoooooo stay waiiiiiiiiit

Mr jjjjjjjj
Mkuu uyu so chizi Uyo mtu wetu wa kazi maalumu, na alikupenda ila kazi ilikuwa mbele kwanza
 
Huyu baharia hana tofauti na wale jamaa wa kwenye uzi wa Mazingira hatari waliogegeda Kitimoto na wanasifu kitam kina joto
Duuuh...we sio Baharia, ni Fisi kabisa..hizo genye zako noma sana🙂🙂
 
Dogo ntawaacha muendelee kuutafuta ukimwi kwa udi na uvumba na hivi hamna hela hata za kununua ARV, mtapukutika kama majani
Nimevumilia nimeshindwa.... Unaweza usife kwa ukimwi, ukafa kwa sigara, ukafa kwa ajali, ukafa kwa pombe, ukafa kwa kudhaniwa kuwa ni mwizi kumbe mwizi kakatiza karibu yako wakadhani ni wewe, ukafa kwa presha, ukafa kwa marelia, ukafa kwa kuangukiwa na kitu chenye ncha kali, ukafa kwa risali kama Akwilina (R.I.P) bila hata kuhusika na kilichomuuwa, ukafa kwa kung'atwa na nyoka, ukafa kama yale ya Nungwi na MV Bukoba, Ukafa kwa ndege kupotea kama ile ya Malaysia, ukafa kwa kung'atwa na nge au tangu, ukafa kwa kupitiwa na mionzi ya nyuklia, ukafa kwa ukimwi ulioupata wakati unampima mwenye ukimwi... AU UKAFA KWA KUUWAWA NA MAJAMBAZI WAKATI WANAZIFUATA HELA ZAKO.....

Vifo vipi vya namna nyingi.... unaweza ukasevu hiki ukaangukia kile.... NA KUFA NI KUFA TU, HAKUNA CHA AFADHARI UFE KWA NAMNA HII AU UFE KWA LILEE.....

Jichunge mwana
 
Ujue huyo Jamaa anaharibu uzi makusudi alafu watu bado wanamjibu hapo ni kumpa jeuri ya kuendelea kuropoka upumbavu wake em imagine kila mmoja asimjibu ila uzi uendelee kusonga kwa mastory kibao yaani hakuna mtu atakae mjibu hata mmoja mwisho wa siku atajiona fala atakaa kimya

Tupige kimya bila kumjibu atakaa kimya mwenyewe
 
Kitambo hiyo nilikua na dem mmoja ambae alikua amepanga na anaishi na wadogo zake wawili,mmoja alikua anasoma mwingine alikua anafanya kazi ktk petro steshen.Km mnavyojua nyumba za kupanga kuna ile jirani akisafiri anaweza akamuachia funguo shoga yake anaemuamini awe anamuangalizia chumba chake.Sasa huyu dem wangu aliachiwa funguo na shoga ake chumba kinachoangaliana nae ktk nyumba hiyo hiyo.Hivyo ilikua kipindi penz limekolea mimi nilikua naenda kulala ktk room yake na yeye anawapa funguo wadogo zake wanaenda kulala ktk chumba cha shoga yake ila tukio lilikua linafanyika kwa siri ili wadogo zake wasimuone km mimi nilikua naenda pale maana ilikua sio kila siku ndio naenda,bas nami nikawa nafata vigezo na masharti maana nilikua bado sijapanga halaf hela yangu kulipia gest nilikua naona ubahili kinoma[emoji23][emoji23][emoji23], bas mida yangu ya kwenda kwake ilikua kuanzia saa 5 usiku na ikifika asubuhi ile 11:20 waislam wanaanza kuswali mimi huyo naamsha zangu km nikipitiwa ananistua na kusepa zangu.Picha lilikua linafanyika hivyo.

Siku hiyo km kawaida nimezama zangu kwa mpenz kaweka msosi nimekula nikaenda kuoga,kurudi nikapanda zangu kitandani nae akaenda kuoga,sina hili wala lile maana nilikua nachezea sim mara akaingia huyo mdogo wake ambae anafanya kazi ktk petro steshen, mimi namfaham ila yeye hanijui kavaa khanga na chupi tu kaniamkia, nami nikaitikia halaf akapanda kitandani nilipo kalala zake kifudi fudi!!!! Nikiwa nawaza hiki nini tena mbona sielewi dada yake huyo kaingia ndani ndio anatoka kuoga nae alishtuka mi nikawa kimya nione picha gani hili wanaloniletea.Basi akamwita mdogo wake nae akaitikia akamuuliza vp mbona umekuja kulala huku na wakati unaona shemeji yako kalala hapo, mdogo wake akajibu nimechoka kulala kule kule(akimaanisha hiko chumba cha jirani yake) kambembeleza lkn wapi mwisho mdogo wake akamwambia na leo yeye akalale kule km anapaona ni pazuri...Pasipo kutarajia mpenz wangu akaitikia lkn akiwa amekasirika sana akatandika mkeka pale chini akaniambia mimi sasa, Mpenz wangu samahani kwa hili lililotokea leo naomba tulale hapa chini tumuachie hiko kitanda....Aisee nikawaza km sekunde 5 nikamwambia hapana ngoja mimi niende home tu japo ilikua kuna umbali fulani...Dem hakukubali niondoke nikakubali kishingo upande nami nikalala pale chini,zimepita km dakika 20 akaniambia siwezi kulala humu nina hasira sana na akaniomba akalale ktk hiko chumba cha jirani yake ambacho mdogo wake ambae ni mwanafunzi ndio analala, baada ya kunibembeleza kua anaweza kumfanya kitu kibaya mdogo wake km akilala mule ikabidi nimkubalie kishingo upande.
Nimebaki mwenyewe km dakika 40 usingizi hauji kabisa kila nikiwaza tukio lilitokea mara wazo la kishetani likanijia kua inawezekana mdogo wake anataka dudu!!!! Nikajipa moyo ngoja nitesti akiwa mkali namuuzia kesi kwa sister ake kua ndio maana alitaka kulala humu kumbe alikua na lengo lake, Basi baada ya kujishauri nikainuka toka sakafuni nikapanda kitandani kulikua hakuna hata neti feni inapepea,mapigo ya moyo yakiwa yanapiga kwa kasi nikapeleka mkono mgongoni.....Aisee bila kutarajia binti aligeuka na kunikumbatia kwa nguvu...kumbe muda wote alikua ananiskilizia....ilipingwa shoo moja ya kibabe sana..dakika 120 ngoma 3-3 nakuja kucheki muda saa kumi kasoro kumi....aah nikasema hapa hakulaliki tena nikavaa zangu binti akanifungulia mlango huyo nikasepa zangu...ila ile siri ipo moyoni mpaka siku ya mwisho maana hatukuwahi kurudia ule mchezo tena mpaka sasa ameolewa na ana maisha yake na mimi nilimuoa huyo dada ake[emoji41][emoji41][emoji41]......yaani heshima ya ushemeji ipo pale pale km hakijawahi kutokea kitu.
 
Back
Top Bottom