Mtu mmoja kawapanikisha watu kibao.... ilikua ni kufanya kitu kimoja tu, kumpuuzia basi ilikua inatosha, mnavyoendelea kujibu ndio mnampa power.
Kila akiingia akute 0 notification hakuna alie tag wala ku mention jina lake angeishia kuwa mpenzi msomaji na amani ikawepo.
 
Dahh mkuu usitaje jina mm apa sina amani ni mkoa gan huu ilikuwa mzee
 
Mkuu uyu so chizi Uyo mtu wetu wa kazi maalumu, na alikupenda ila kazi ilikuwa mbele kwanza
 
Huyu baharia hana tofauti na wale jamaa wa kwenye uzi wa Mazingira hatari waliogegeda Kitimoto na wanasifu kitam kina joto
Duuuh...we sio Baharia, ni Fisi kabisa..hizo genye zako noma sana🙂🙂
 
Dogo ntawaacha muendelee kuutafuta ukimwi kwa udi na uvumba na hivi hamna hela hata za kununua ARV, mtapukutika kama majani
Nimevumilia nimeshindwa.... Unaweza usife kwa ukimwi, ukafa kwa sigara, ukafa kwa ajali, ukafa kwa pombe, ukafa kwa kudhaniwa kuwa ni mwizi kumbe mwizi kakatiza karibu yako wakadhani ni wewe, ukafa kwa presha, ukafa kwa marelia, ukafa kwa kuangukiwa na kitu chenye ncha kali, ukafa kwa risali kama Akwilina (R.I.P) bila hata kuhusika na kilichomuuwa, ukafa kwa kung'atwa na nyoka, ukafa kama yale ya Nungwi na MV Bukoba, Ukafa kwa ndege kupotea kama ile ya Malaysia, ukafa kwa kung'atwa na nge au tangu, ukafa kwa kupitiwa na mionzi ya nyuklia, ukafa kwa ukimwi ulioupata wakati unampima mwenye ukimwi... AU UKAFA KWA KUUWAWA NA MAJAMBAZI WAKATI WANAZIFUATA HELA ZAKO.....

Vifo vipi vya namna nyingi.... unaweza ukasevu hiki ukaangukia kile.... NA KUFA NI KUFA TU, HAKUNA CHA AFADHARI UFE KWA NAMNA HII AU UFE KWA LILEE.....

Jichunge mwana
 
Haya mambo ya kula tunda kimasihara mbona kwangu hayajawahi nitokea
 
Ujue huyo Jamaa anaharibu uzi makusudi alafu watu bado wanamjibu hapo ni kumpa jeuri ya kuendelea kuropoka upumbavu wake em imagine kila mmoja asimjibu ila uzi uendelee kusonga kwa mastory kibao yaani hakuna mtu atakae mjibu hata mmoja mwisho wa siku atajiona fala atakaa kimya

Tupige kimya bila kumjibu atakaa kimya mwenyewe
 
Kitambo hiyo nilikua na dem mmoja ambae alikua amepanga na anaishi na wadogo zake wawili,mmoja alikua anasoma mwingine alikua anafanya kazi ktk petro steshen.Km mnavyojua nyumba za kupanga kuna ile jirani akisafiri anaweza akamuachia funguo shoga yake anaemuamini awe anamuangalizia chumba chake.Sasa huyu dem wangu aliachiwa funguo na shoga ake chumba kinachoangaliana nae ktk nyumba hiyo hiyo.Hivyo ilikua kipindi penz limekolea mimi nilikua naenda kulala ktk room yake na yeye anawapa funguo wadogo zake wanaenda kulala ktk chumba cha shoga yake ila tukio lilikua linafanyika kwa siri ili wadogo zake wasimuone km mimi nilikua naenda pale maana ilikua sio kila siku ndio naenda,bas nami nikawa nafata vigezo na masharti maana nilikua bado sijapanga halaf hela yangu kulipia gest nilikua naona ubahili kinoma[emoji23][emoji23][emoji23], bas mida yangu ya kwenda kwake ilikua kuanzia saa 5 usiku na ikifika asubuhi ile 11:20 waislam wanaanza kuswali mimi huyo naamsha zangu km nikipitiwa ananistua na kusepa zangu.Picha lilikua linafanyika hivyo.

Siku hiyo km kawaida nimezama zangu kwa mpenz kaweka msosi nimekula nikaenda kuoga,kurudi nikapanda zangu kitandani nae akaenda kuoga,sina hili wala lile maana nilikua nachezea sim mara akaingia huyo mdogo wake ambae anafanya kazi ktk petro steshen, mimi namfaham ila yeye hanijui kavaa khanga na chupi tu kaniamkia, nami nikaitikia halaf akapanda kitandani nilipo kalala zake kifudi fudi!!!! Nikiwa nawaza hiki nini tena mbona sielewi dada yake huyo kaingia ndani ndio anatoka kuoga nae alishtuka mi nikawa kimya nione picha gani hili wanaloniletea.Basi akamwita mdogo wake nae akaitikia akamuuliza vp mbona umekuja kulala huku na wakati unaona shemeji yako kalala hapo, mdogo wake akajibu nimechoka kulala kule kule(akimaanisha hiko chumba cha jirani yake) kambembeleza lkn wapi mwisho mdogo wake akamwambia na leo yeye akalale kule km anapaona ni pazuri...Pasipo kutarajia mpenz wangu akaitikia lkn akiwa amekasirika sana akatandika mkeka pale chini akaniambia mimi sasa, Mpenz wangu samahani kwa hili lililotokea leo naomba tulale hapa chini tumuachie hiko kitanda....Aisee nikawaza km sekunde 5 nikamwambia hapana ngoja mimi niende home tu japo ilikua kuna umbali fulani...Dem hakukubali niondoke nikakubali kishingo upande nami nikalala pale chini,zimepita km dakika 20 akaniambia siwezi kulala humu nina hasira sana na akaniomba akalale ktk hiko chumba cha jirani yake ambacho mdogo wake ambae ni mwanafunzi ndio analala, baada ya kunibembeleza kua anaweza kumfanya kitu kibaya mdogo wake km akilala mule ikabidi nimkubalie kishingo upande.
Nimebaki mwenyewe km dakika 40 usingizi hauji kabisa kila nikiwaza tukio lilitokea mara wazo la kishetani likanijia kua inawezekana mdogo wake anataka dudu!!!! Nikajipa moyo ngoja nitesti akiwa mkali namuuzia kesi kwa sister ake kua ndio maana alitaka kulala humu kumbe alikua na lengo lake, Basi baada ya kujishauri nikainuka toka sakafuni nikapanda kitandani kulikua hakuna hata neti feni inapepea,mapigo ya moyo yakiwa yanapiga kwa kasi nikapeleka mkono mgongoni.....Aisee bila kutarajia binti aligeuka na kunikumbatia kwa nguvu...kumbe muda wote alikua ananiskilizia....ilipingwa shoo moja ya kibabe sana..dakika 120 ngoma 3-3 nakuja kucheki muda saa kumi kasoro kumi....aah nikasema hapa hakulaliki tena nikavaa zangu binti akanifungulia mlango huyo nikasepa zangu...ila ile siri ipo moyoni mpaka siku ya mwisho maana hatukuwahi kurudia ule mchezo tena mpaka sasa ameolewa na ana maisha yake na mimi nilimuoa huyo dada ake[emoji41][emoji41][emoji41]......yaani heshima ya ushemeji ipo pale pale km hakijawahi kutokea kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…