excellency
Member
- Sep 24, 2019
- 27
- 31
Huyu bila shaka atakuwa alikuwa mmbulu au mnyaturu !!!piga ua!
1. Siku moja 2016 natoka Msamvu kuja magetoni Modeko, njiani nikamkuta mrembo tukaongozana njiani. Mara story nikamwambia tupite home kwangu upaone tu, hata bila kutongoza nilifikisha geto tukafika tunatazamana tu, kilichofata ni kuvuana nguo na kupiga show.
Hatukuonana tena zaidi ya sms za kawaida na mawasiliano yalikufa baadae.
2. Mwaka 2017 nikiwa R-Chuga nilimwita mrembo mmoja kwa kumkonyeza tu. Akaniuliza, unasemaje? Nikamwambia njoo nikweleze, tukaishia kuvuana na kupiga mechi kama tulikuwa tunajuana vile!
Alafu sikuonana naye tena na hatukupeana hata namba!