lete kisa kamili kaka, toka mwanzo kuimbisha, kula kimasihara, mpaka kuziona tattoo... Inawezekana kukawa na usalama, sometimes mapambo tu hayo kaka
 
😂😂😂😂😂😂
 
1/May/2023

"WEWE NI MWANAUME WA KWANZA KUNIFANYIA HIVI TOKEA NIYAJUE MAPENZI" maneno haya yaliambatana na Kwikwi,Machozi mixa Kujinyonga nyonga kama anakata roho nakumbuka Mbavu zangu zilipata shida sana siku hii kwa kubanwa kwa mikono yake[emoji7][emoji119]
Akaona haitoshi akaniachia na alama za midomo shingoni kifuani..
#Mariamu Mungu anakuona kmmk[emoji28]

Huyu mwanamke Aisee anabalaa alafu kibunda sio cha mawazo..Tokea anijue hataki kusikia nina shida yeyote ..kuna muda natamani ale hela zangu lakini yeye hataki kusikia hilo..#Mariamu Mungu anakuona..[emoji120]

==> Hii nitaileta Soon wakuu...
 
vilainioshi vya nini tena mpwa??? 🤣
🤣🤣🤣😂😂😂😂😃😀
 
Ushawahi kula tunda kimasihara?
Yes saa hii nimetoka kula tunda kimasihara..ila sitajaribu tena.

Leo nilikua dar slum jion nikaingia kisiwani...
Bhasi uchovu saa moja moja nikaenda sehemu kupata chui mweusi.nikarudi home kama tatu tatu hivi.
Nikakuta manzi kashapika kajilaza...sasa kuna lidada ni wakala tuna mazoea ya kawaida karibia mwaka sasa...sura ya baba ila shepu wazeee ni kama posh.nammezea mate kitambo.
Tuna mazoea sana tuna chart sometimes mizinga midogo midogo..kashakula sana viepe na soda mara nyingi kwa bill yangu..

Niko home naona status "I'm not feeling well" nikamtext akasema hajisikii fresh,nikataka kwenda kumjulia hali,akagoma saizi usiku mana anakaa pemben ya mji..Nika-force nakuja..akagoma...nikamwambia nakuja kukuona..akagoma,nikamwambia nakuja usipopokea simu ama usipotoka fresh tu.akujibu

Pombe hizi,nikaanza safari, nikawaa namtajia tu vituo kwa sms,hapa niko sehem flan,nimefika sehem flan ajibu,najua mtaa anaokaa ila nyumba ndio nilikua siijui.mpaka nimefika na mu-sms kimya...piga simu mara tano hapokei..nikakata tamaa nawaza kurudi...akani sms uko wapi..nikamwambia nilipo..akasema subiri....nimeganda nusu saa nikaona hamna liwalo..hata sijaondoka sms inaingia
"Uko wapi?"
Mimi "niko upande wa pili wa barabara" akaja akakaa,nikampa pole stori mbili tatu...shetan nae akaja akaka nasi.bila kutongoza nikataka nipige mate...akacharuka "we ambition vipi mzima kweli wewe ama unachanganyikiwa"alivaa sura ya kazi....story isiwe ndefu nili force mpaka nikapiga mate na kupapasa sana...mwishowe akasema hapa magari mengi sina amani,tufanye kesho....
Nikamwambia hebu twende huku..."unanipeleka wapi?" Mimi "sio mbali usijal" mpaka mtaa wa pili kuna kigiza totoro na vichaka vingi gari zinapita chache chache....shetani akatuvalia njuga tukaanza Tena mchezo wetu...mtoto kalowa jaribu kuingiza wapi inaingia nusu afu haijadinda vizuri sababu ya wasiwasi...nikamwambie anikalie.tako tatu wazungu hao...show mbovu kuliko kawaida...ila hilo toto ni laini mno.

Nikapewa lawama kwanini nimekojoa ndani..najiseti nakaa kwenye siti yangu.wanakuja wazee wawili na kijana mmoja wanaweka tela la ng'ombe karibu kabisa na tuliposisi..afu kama kuna kitu wanaangalia nyuma ama kuna mtu wanamsubiri ama wanamtegemea aje labda anachelewa.
Machale yakanicheza ila nikapuuza,naona tena wanalinyanyua wanazidi kulisogeza karibu yetu...akili ikanikaa sawa tinga likaruka nikahisi hatari...nikarudisha nyuma kidogo,heee!akatokea kijana anazidi kulisogeza tela la ng'ombe,nikarudisha nyuma kwa kasi,yeye akapanda barabarabi kabisa kunizinga...
Nikauvaa ukamandoo nikamtisha kama namparamia akachanganyikiwa,akawa anakimbia akasau kuliacha tela,akaliachia mbele kidogo ikabaki nafasi ndogo,nikapenya mafuta mengi nikapotea,hapo wakala mpaka namshusha hakuna neno zaidi ya kuagana..

Kheee!mbele naona boda boda inanifata, nikiongeza speed naye anaongeza,nikipunguza nae anapunguza...kmmk nikafungua vioo ananiporomoshea matusi...nikawaka nikamwambia endelea kunifata nitakuvunja miguu...aelewi anaitukana tu...
Nikawa namvizia tufike kwenye kidaraja ni mpush avunje shingo...roho ya kibinadam ikaniingia...nikampush pemben ya barabara kwenye manyasi...kufa sidhan ila nahis atakua kaumia...kama mbwai mbwai.
 

Kwa hyo mbususu zina shida wadau[emoji854][emoji854]
Hapana, ila ukikuta mgonjwa ndiyo shida utapata
 
Ghono hio ilikua baharia, wanawake wana uwezo wa kuishi nayo bila kujua ila baharia ukimgusa masaa sita mengi man down!

he heh eti Gilbert gozbert
daaaah nashukuru nilipona kaka, mara ya kwanza nilpona kwa urahisi, Dozi ya powercef kufika sindano ya 3 tu mambo poa..j...Awamu ya pili ilikuwa kimbembe zaidi ya wiki 3 mzigo unagoma kuachia.. Nimeanza na sindano umegoma, vidonge ukagoma, vidonge ukagoma, rudi kwnye sindqno tena wapi, vidonge tena wapi.. japo ni vidonge vya Azuma ndiyo vilikuja kuokoa jahazi...Nilimuambia kwa upole yule manzi na akanielewa na kwenda kutibiwa kwa huruma nikmpiga tafu gharama za matibabu.
 
kaka upewe maua yako aiseee....Umetisha 🤣
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
na yule mwenzao uliyemla dar naye anapiga miguu yote???
 
Homeland sis hapa tunajionea
Ila shukran sana leo nimekuta na kusoma kimasihara ya home

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikujua alikuwa analenga Nini ,kwanza alifanya kujiuliza inamaana Hana losheni ya kujipaka au anataka ........tigo na zanztel kukatisha story Kun mda alichomaa mnara kazamisha tigo
Duuuuh alikupa mpaka Tigo??? Kumbe madaktari nao ni wadau wa 0713, sikuwahi kujua
 
Sikujua alikuwa analenga Nini ,kwanza alifanya kujiuliza inamaana Hana losheni ya kujipaka au anataka ........tigo na zanztel kukatisha story Kun mda alichomaa mnara kazamisha tigo
je vipi kwa macho inaonekana tigo inaonekana ni mdau sana au??
 
usikose kuleta mrejesho kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…