Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Wakuu Niko namalizia doz ya malaria ila jna msabato mmoja alikuja geto kunijlia Hali baada ya kumuambia naumwa kilichotokea hta mm mgnjwa cjui lkn aliliwa kimasihara na la mkwezi, kauli ninayokumbuka kutoka kwake lkn ww unaumwa
Huku ipo ndani
 
Baada ya kusoma sana visa vya RICK BOY ngoja niwape changu cha masikhara miaka hyo Bibo hostel hapo.

Manzi mmoja tulitoka nae kitaa, fatilia sana toka tupo 4m4 wapiiii hataki kuelewa, tukamaliza six, nilikuwa nasoma mikoa yenye baridi kali huko yeye yupo Town kiba***a nikirudi likizo jaribu hapa na kule lakini wapi...hataki kuelewa.

Zikatoka selection kujiunga elimu ya juu nikawa hapo town ye akachaguliwa mtakatifu kwa bahati mbaya akashindwa kwenda kutokana na ada. Ikabidi avute mwaka..ilipofika wakati wa kuomba akanitafuta bwana alikuwa ananiamini kwenye mambo mengi na mengi nilikuwa nafahamu kwakweli na namsaidia ila kuniachia ndio alikuwa anaweka ngumu.

Nikamwambia panda bibo...nikufanyie application..soma sana cut off za tcu...akaja nikapanga machaguo..bwanabwana selection zinatoka kachaguliwa town hapohapo akawa yupo nayeye bibo...ingawa tupo campus tofauti..

Bado tupia story za hapa na pale bado anachomoa...bwana wee siku nipo room naumwa nshakunywa na metakeflin napigiwa anataka nimtoe dinner...lalala tunatoka bwana mitaa fulani pale bar xhini karibu na brbr nagusia chumba hakuna ubishi wale wadada walishanizoea pale...kuingia ndani kumbe bwana aliakuwa amejipanga..pamoja na kuumwa nilipiga..lakini kila nikipiga mwili unazidi juwa wa baridi mpaka akastuka ninini mbona miguu ya baridi na feni inapuliza kinyama. Kuja kumwambia nna metakeflini na nimekuja kwakuwa umenisumbua..alicheka sanaaa ikabidi ipangwee tena game nikiwa mzima wa afya salama salimini.
Ungefia ktandan kak, afya kwnza k zipo tu
 
Wanawake hawatabiriki mkuu. Unaweza kuwala kirahisi kwa sababu ya pesa, muonekano, status uliyonayo kama kuwa na cheo fulani au umaarufu. Wapo wenye pesa wanapigiwa kila siku na wasio na kitu na wapo maskini wanapigiwa wake zao na watu wenye pesa. Wapo watu maarufu wanawawake wanaokota tu bila kutumia pesa.

Najua umepita shule na hali za shule ndio zinazoendelea huku mtaani tunakoishi. Binadamu ni walewale na tabia ni zilezile. Hukuwahi kuona shuleni au chuoni kuna jamaa wanang'oa vyuma kisa wanajua kucheza Basketball au Football, ni ma Hb, wanatoka familia tajiri au za viongozi, au mpiga kinanda na gitaa kanisani kuwala wadada wanakwaya wote na washarika ambao ni wake za watu?

Kula kirahisi mwanamke hakutegemei sababu moja ya pesa tu na mara nyingi wanawake wanakuwa wanajua wanachofanya sio kwamba amejirahisisha tu ilimradi.
Mkuu kweli kabisa, ila PESA usiilete mchezo mkuu, unaweza ukamla mtu kimasihara kabisa, ukajaa mazima, tatizo linakuja huwez kum contains mtoto wa watu kwasababu tu huna pesa, umependa na wewe alikukubalia sababu ya your looks and all the later you said, linatokea jamaa linaweza likafix mambo madogo madogo linaanza kumkaza, utajisikiaje? Anyways being a Man is very very tough yan unatakiwa uwe na full package au 75 ya vitu ambavyo wanawake wanatakaga, wanawake wa mjini wanadate na watu waa aina tatu au nne nao ni

1. Mwanaume anaempenda, huyu atampa pussy si anampenda.. Ila sababu hana hela mwanamke hajali why? Ana mwanaume namba mbili.

2. Mwanaume mwenye pesa/mzee mwenye pesa, huyu anajua akimtikisa muda wowote anapata pesa hapa ndio wastaafu wanapowarukia mademu zetu

3. Mwanaume ambae is a Good guy, sasa hili ni zoba, mara nyingi wanawake huwa wana miss enterprate being good na ufala, so huyu fala ye atalitumia kufanye chores za nyumbani and all a man can do in a house, huyu ni yule fala Mwanamke anakaa ilala boma, lenyewe linakaa bunju B, analipigis simu liende kariakoo likamunulie vitu na lilivyofala linatoka bunju mpaka kariakoo linafanya mahemezi linaenda kwa mwanamke linafikisha vitu linapewa busu la shavu linaanza safari ya bunju b mana bunju b ni kama bagamoyo tu, hili fala haliwez sema no. Na wa mwisho ndio

4. A MANDINGO, a person who fucks her good... Huyu sasa haendeshwi wala hasumbuliwi na muda wowote akitaka pussy anapewa..

Women are very complicated my G, the less you concentrate on them the more they become attractive to you, the way women define on how somebody is mascular and sexually virile has nothing to do with your cute lillte light skin face...
 
Now you're talking.

Kuna mwanamke alijilengesha kwa jamaa amle kisa ambebeshe mimba kisa ni Good looking (HB) akitegemea combination yao itatoa katoto kazuri. Mwingine ile kumuona jamaa kalowa anatamani hata sex ya siku moja aone yaliyomo yamo. Na hapo ndio mwanaume kama ni mwepesi wa kujiongeza anajikuta anakula kimasihara wengi.

Kiuhalisia mambo haya hayatabiriki what you think is everything in life is not everything as well. Kuna watu wameng'oa visu vikali kwa nguvu ya pesa lakini bado wanawake hao wanagongwa na mamarioo, mahauseboy, waosha magari na wengineo.

Mara nyingi mwanamke analiwa kirahisi bila matarajio ya mwanaume kama tayari moyo wake una hisia na mwanaume huyo sio ilimradi mwanaume. Na wanaume inabaki kuwa masihara kwa kuwa hatukutarajia na imetokea tu tumenusa hali ya hatari mambo yamekubali.
 
Baada ya kusoma sana visa vya RICK BOY ngoja niwape changu cha masikhara miaka hyo Bibo hostel hapo.

Manzi mmoja tulitoka nae kitaa, fatilia sana toka tupo 4m4 wapiiii hataki kuelewa, tukamaliza six, nilikuwa nasoma mikoa yenye baridi kali huko yeye yupo Town kiba***a nikirudi likizo jaribu hapa na kule lakini wapi...hataki kuelewa.

Zikatoka selection kujiunga elimu ya juu nikawa hapo town ye akachaguliwa mtakatifu kwa bahati mbaya akashindwa kwenda kutokana na ada. Ikabidi avute mwaka..ilipofika wakati wa kuomba akanitafuta bwana alikuwa ananiamini kwenye mambo mengi na mengi nilikuwa nafahamu kwakweli na namsaidia ila kuniachia ndio alikuwa anaweka ngumu.

Nikamwambia panda bibo...nikufanyie application..soma sana cut off za tcu...akaja nikapanga machaguo..bwanabwana selection zinatoka kachaguliwa town hapohapo akawa yupo nayeye bibo...ingawa tupo campus tofauti..

Bado tupia story za hapa na pale bado anachomoa...bwana wee siku nipo room naumwa nshakunywa na metakeflin napigiwa anataka nimtoe dinner...lalala tunatoka bwana mitaa fulani pale bar xhini karibu na brbr nagusia chumba hakuna ubishi wale wadada walishanizoea pale...kuingia ndani kumbe bwana aliakuwa amejipanga..pamoja na kuumwa nilipiga..lakini kila nikipiga mwili unazidi juwa wa baridi mpaka akastuka ninini mbona miguu ya baridi na feni inapuliza kinyama. Kuja kumwambia nna metakeflini na nimekuja kwakuwa umenisumbua..alicheka sanaaa ikabidi ipangwee tena game nikiwa mzima wa afya salama salimini.
Huu mchezo nimewahi jaribu wa kupiga game wakati niko kwenye dozi ya Malaria maana ilikuwa nikokosa ile chance ndio ilikuwa nitolee. Kiukweli nilitaka kufa. Siji kurudia. Malaria ilirudi na nguvu mara kumi zaidi na tuko porini kikazi. Yaani hiyo kitu ni don't try at home or anywhere afya kwanza.
 
Wanawake hawatabiriki mkuu. Unaweza kuwala kirahisi kwa sababu ya pesa, muonekano, status uliyonayo kama kuwa na cheo fulani au umaarufu. Wapo wenye pesa wanapigiwa kila siku na wasio na kitu na wapo maskini wanapigiwa wake zao na watu wenye pesa. Wapo watu maarufu wanawawake wanaokota tu bila kutumia pesa.

Najua umepita shule na hali za shule ndio zinazoendelea huku mtaani tunakoishi. Binadamu ni walewale na tabia ni zilezile. Hukuwahi kuona shuleni au chuoni kuna jamaa wanang'oa vyuma kisa wanajua kucheza Basketball au Football, ni ma Hb, wanatoka familia tajiri au za viongozi, au mpiga kinanda na gitaa kanisani kuwala wadada wanakwaya wote na washarika ambao ni wake za watu?

Kula kirahisi mwanamke hakutegemei sababu moja ya pesa tu na mara nyingi wanawake wanakuwa wanajua wanachofanya sio kwamba amejirahisisha tu ilimradi.
OK ofsaa
 
Huu mchezo nimewahi jaribu wa kupiga game wakati niko kwenye dozi ya Malaria maana ilikuwa nikokosa ile chance ndio ilikuwa nitolee. Kiukweli nilitaka kufa. Siji kurudia. Malaria ilirudi na nguvu mara kumi zaidi na tuko porini kikazi. Yaani hiyo kitu ni don't try at home or anywhere afya kwanza.
Yani usijaribu mzeee[emoji3][emoji3][emoji3] Utakufaa unajionaa nakwambia.
 
[emoji3][emoji3][emoji3] lingusenguse ndani ndani
Kote huko Lusewa lingusenguse tena. Kama ulikuwepo vile. Tulitoka Amani Makolo na kwenda huko Lusewa lingusenguse na kote nilipigwa Malaria kwa kosa moja la kuendekeza ngono nikiwa naumwa na niko kwenye dozi.
 
Pole sana mkuu
 
Baada ya kusoma sana visa vya RICK BOY ngoja niwape changu cha masikhara miaka hyo Bibo hostel hapo.

Manzi mmoja tulitoka nae kitaa, fatilia sana toka tupo 4m4 wapiiii hataki kuelewa, tukamaliza six, nilikuwa nasoma mikoa yenye baridi kali huko yeye yupo Town kiba***a nikirudi likizo jaribu hapa na kule lakini wapi...hataki kuelewa.

Zikatoka selection kujiunga elimu ya juu nikawa hapo town ye akachaguliwa mtakatifu kwa bahati mbaya akashindwa kwenda kutokana na ada. Ikabidi avute mwaka..ilipofika wakati wa kuomba akanitafuta bwana alikuwa ananiamini kwenye mambo mengi na mengi nilikuwa nafahamu kwakweli na namsaidia ila kuniachia ndio alikuwa anaweka ngumu.

Nikamwambia panda bibo...nikufanyie application..soma sana cut off za tcu...akaja nikapanga machaguo..bwanabwana selection zinatoka kachaguliwa town hapohapo akawa yupo nayeye bibo...ingawa tupo campus tofauti..

Bado tupia story za hapa na pale bado anachomoa...bwana wee siku nipo room naumwa nshakunywa na metakeflin napigiwa anataka nimtoe dinner...lalala tunatoka bwana mitaa fulani pale bar xhini karibu na brbr nagusia chumba hakuna ubishi wale wadada walishanizoea pale...kuingia ndani kumbe bwana aliakuwa amejipanga..pamoja na kuumwa nilipiga..lakini kila nikipiga mwili unazidi juwa wa baridi mpaka akastuka ninini mbona miguu ya baridi na feni inapuliza kinyama. Kuja kumwambia nna metakeflini na nimekuja kwakuwa umenisumbua..alicheka sanaaa ikabidi ipangwee tena game nikiwa mzima wa afya salama salimini.
Ungekufaaa

Mzee wa bibo
 
Ungefia ktandan kak, afya kwnza k zipo tu
Hata nilikuwa najua basi kama mwili unapoa....Jasho linatika lakini mwili baridiiii..nshamfatilia tangu 4m4 anakuja kunipa nipo chuo tena ghaflaghafla nikasema Acha ata nikailoweke tu.
Ila tulikuja kurudia na mmakonde yule...jamani miuno feni..popote ulipo huko bado nakukumbuka.
 
Wataalam nina kisa kimoja hiko.. nilikula sister wa kanisani.. kwenye kuomba msamaha kwa Mungu nafsi inasema ili niwe Huru hii Siri niitoe kwa watu wajue na Moyo wangu utakuwa na Amani.. hiyo Dhambi nilifanya 2021 seminari nipo malezi sasa nimerudi parokiani kwangu ndo nakutana na huyo sister, sister anaitwa (….) ni Mkenya Shirika la (....) alikuwa mdogo sana... Mwaka Jana nikasikia amefariki Kwa ajali ya gari.. NITAELEZA UKWELI Watu wakijua Nafsi Yangu naamini Itatulia sana
Mkuu toba ya kweli ni wewe na Mungu wala sio na wanadamu. Kama umetubu katika kweli Kwa Mungu inatosha.
 
Ungekufaaa

Mzee wa bibo
Ila lilikuwa ni somo Zuri kwangu na kwenu pia kuwa ukipiga metakeflin au dose yoyote ya maleria..sema tu nguruwe pita mkuki sina.

Ila tuache maskhara una dose ya maleria af mtu anayekusumbua kishenzi anakwambi haya njoo...kwa uroho wetu ni waxhache sana watakaosema nguruwe pita. Ila tujifunze kukataaa wanaume.
 
Don't try this at home or anywhere kwa ambao hawajawahi kutana na bwana Pepsi. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwenye Ujana na makuzi Mungu awasaidie sana. Kama umeumaliza ujana wako salama bila UKIMWI shukuru Mungu. Nina visa vingi cha kwanza ni hiko hapo juu ila vingime dahhh, hadi aibu kuvielezea. Sasa kwa uzee huu huwa nikifikiria nasema Asanye Yesu umetutoa mbali na kutuepusha na mengi.
Nakumbuka kisa kingine, nipo SUA mwaka wa Kwanza 2007. Nilipanga hostel moja huku mitaa ya kihonda sekondari kwa mbele kama unaenda "Ipo Ipo" yule mwenye hostel "mzee Msoma" alitengeneza vyumba vingi na kulikuwa na sehemu ya canteen humo ndani.
Pale kulikuwa na wamama wawili walikuwa single mothers wanatupikia chakula wa mitaa ile ya Kihonda. Mara nyingi tulikuwa tunakula pale jioni. Sasa Bwana huu ujana na umalaya. Nikawa siendi kula chakula pale canteen wakawa wananiletea chumbani. Siku moja mmoja wao akaniletea, ile kufika tu ndani nikafunga mlango then nikamkumbatia kwa nyuma alipokuwa anataka kutoka ili akahudumie. Nikamuinamisha na kumpandisha sketi juu, nikaweka chupi yake pembeni na nikamshindilia msumari cha fasta. Akatoka na kwenda chooni kunawa then akaenda kuwahudumia wengine. Kimsingi, nilimbaka yule ila toka hapo akawa mpenzi wangu permanent na nilikuwa namgonga cha haraka anileteapo chakula au nampanga wakimaliza kuuza aje nimlale then ndio aende kwake. Yeye alikuwa ni mtu wangu na hata wanafunzi wenzangu walijua hilo. Kuna kioindi alisafiri kama wiki hivi mwenzake akawa anailetea chakula. Naye Pepo la ngono likaniingia nikawa namla na yeye. Sijui ilikuwaje yule wa permanent akaja kujua na ndio ikawa mwisho wa wao kuuza chakula kwani waligombana sana. Sasa nikawa nawalala kila mtu kwa wakati wake kulingana na nani namuhitaji kwa kipindi gani. Kuna mmoja namlala mchana na mwingine usiku. Yule wa usiku ni wa permanent nilikuwa namwambia naenda chuo asubuhi nitarudi jioni kumbe kama siendi chuo namuita yule mwenzake namlala na kisha nampanga kuwa leo usiku tutakuwa na discussion na wenzangu au nitachelewa kurudi au nitalala mazimbu kwa wenzangu so nitakutafuta nikikuhitaji. Jamaa walinilaumu sana oale Hostel baada ya kujua chanzo cha ugomvi wao na kuacha kuuza kwao chakula pale hostel.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

We jamaaa ni mshenzi saana.

Dah.....
 
Back
Top Bottom