Ungemwambia nipe tako[emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji3][emoji3]
 
🤣🤣🤣🤣🤣 chai
 
Aiseeeee.
 
Hahaaaaaaa
 
Kweli mkuu watu wanasifia ujinga ambao mwisho wa siku unawapa ukimwi na wanaanza kusumbua familia zao. Kulala na msichana linaonekana kama jambo kubwa na la kishujaa wakati ni kitu cha kawaida kwa mwanaume. Sasa cha muhimu tujitahidi kuwa na mpenzi mmoja ili kuepuka maambukizi ya ukimwi maana watu wengi wanateseka nap huku mtaan
Kumekucha
 
Nashauri tujitahidi kuwa na jamii yenye mpenzi mmoja kuliko upuuzi mnaojisifu wakati tunazika ndugu zetu wengi kwa ukimwi pia mnatesa familia zenu pindi mki athirika
Sijui kama unaelewa hata unachoandika au unaandika kwa hisia na kukosa elimu!!
Nikusaidie kidogo just google ni ugonjwa upi unaongoza kwa kuua watu Tanzania?au nenda Wizara ya Afya kaulize..basi usipate shida sana kama una akaunti Twitter mtext Odo Ummy Mwalimu muulize hili swali hanaga shida yule dada atakujibu...kama utakuta jibu ni UKIMWI uje nikupe laki chap ukajipoze hasira za maisha ulizonazo..

NB:Tahadhali juu ya UKIMWI ni muhimu,lakini isikufanye ukaogopa kuchakata hawa wadada warembo warembo maana tumeumbiwa sisi.Kufa kupo palepale haijalishi unakufaje lazima utakufa tuu.SOMETHING MUST KILL A MAN
 
Majani umeyaweka mengi mno nawewe, hadi imekuwa chungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…