chamaclotus
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,079
- 2,273
Hapa mkuu watu hawatumii condom ni nyama kwa nyama na pia condom ina utaratibu wa kuitumia ambao wengi hawafuati so bado wanaweza kupata ukimwiKwani ukitumia condom unapata? Ukimwi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa mkuu watu hawatumii condom ni nyama kwa nyama na pia condom ina utaratibu wa kuitumia ambao wengi hawafuati so bado wanaweza kupata ukimwiKwani ukitumia condom unapata? Ukimwi
Nimezika ndugu zangu wengi kijijini mpaka nimechoka mkuu ukimwi umemaliza Kijiji chetu ni makaburi matupu ndio maana nakataa kuunga mkono ngono zembeNI SAWA NA UKAWAHUTUBIE WALEVI BAR, UTAONEKANA CHIZI HATA KAMA UNA MANTIKI.
KILA KITU NA MAHALA PAKE, PELEKA ANGAZA USHAURI NASAHA.
Unakataa kuunga mkono ngono zembe bas Kaa mbal na huu Uzi wa kimasihara mbn unatak kujichosha mzeeNimezika ndugu zangu wengi kijijini mpaka nimechoka mkuu ukimwi umemaliza Kijiji chetu ni makaburi matupu ndio maana nakataa kuunga mkono ngono zembe
Halafu UKIMWI ulivyo wa ajabu hauui malaya..unawafuataga watu kama nyie msio na mbinu za kivita😀😀Nimezika ndugu zangu wengi kijijini mpaka nimechoka mkuu ukimwi umemaliza Kijiji chetu ni makaburi matupu ndio maana nakataa kuunga mkono ngono zembe
Ukimwi ni hatari kakaUnakataa kuunga mkono ngono zembe bas Kaa mbal na huu Uzi wa kimasihara mbn unatak kujichosha mzee
Hahahahah humu hakuna mtotoUkimwi ni hatari kaka
Kweli usemalo ila tunaletewa na watu wasio waanifu. Ukimwi unatesa sanaHalafu UKIMWI ulivyo wa ajabu hauui malaya..unawafuataga watu kama nyie msio na mbinu za kivita😀😀
Nyie ndio mnaambukiza watoto mkuuHahahahah humu hakuna mtoto
Watu wote wako timamu
Kwamb unatak kusema walaj wa kimasihara wagonjwaNyie ndio mnaambukiza watoto mkuu
Hapana mkuu lakini kula kimasihara unaweza sababisha kueneza ukimwi kwa sababu wapo miongoni mwao watakuwa nao ila wengine hawana pia suala la matumizi ya condom hamna. So inakuwa afadhali ukipata mtu muaminifu pima ndio mfanye mapenzi na pia chagua kuwa na mpenzi mmoja mwaminifuKwamb unatak kusema walaj wa kimasihara wagonjwa
Asa mbn kama huu Uzi hauhitaj watu aina yako na unalijua Hilo hahahha c unsubscribe tu mzeeeHapana mkuu lakini kula kimasihara unaweza sababisha kueneza ukimwi kwa sababu wapo miongoni mwao watakuwa nao ila wengine hawana pia suala la matumizi ya condom hamna. So inakuwa afadhali ukipata mtu muaminifu pima ndio mfanye mapenzi na pia chagua kuwa na mpenzi mmoja mwaminifu
Humu Kuna ndugu zetu ambao wakishapata ukimwi sisi ndio tunatesekaAsa mbn kama huu Uzi hauhitaj watu aina yako na unalijua Hilo hahahha c unsubscribe tu mzeee
Ukifanya hivyo mkuu na unaijua yule ni mtu wangu utakuwa unakosea na hiki ndio nachokisema usigonge mtu ukijua kabisa ana mahusiano na mtu Fulani hiyo ni kukoseana heshima. Pia hii huchangia kueneza ukimwi tafuta wa kwako tulia kwani mbona inawezekekana tatizo liko wapi mpaka utake kulala na mwanamke huku unaijua ana mtu? Ukimwi hauna mchezo ndugu yangu tuheshimu mahusiano ya watu
Wafwate pm kawaambieHumu Kuna ndugu zetu ambao wakishapata ukimwi sisi ndio tunateseka
Kwa sasa sijaona dalili ya yeye ku cheat na tumepima afya mpaka siku nikijua ana mwingine nitaachana naeSwali? Una uhakika huyo ulie nae ana mahusiano na wewe tu? NIPO PALE NIMEKAA.
Yawezekana pia wewe ni mmoja wao ila id ndio zinafanya tusitambuane hivyo ni busara kushare na watu wote.Wafwate pm kawaambie
Kwa sasa sijaona dalili ya yeye ku cheat na tumepima afya mpaka siku nikijua ana mwingine nitaachana nae
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Watu walikuwa waaminifu na bado ngoma ikawabebaaNimezika ndugu zangu wengi kijijini mpaka nimechoka mkuu ukimwi umemaliza Kijiji chetu ni makaburi matupu ndio maana nakataa kuunga mkono ngono zembe