Kwamb unatak kusema walaj wa kimasihara wagonjwa
Hapana mkuu lakini kula kimasihara unaweza sababisha kueneza ukimwi kwa sababu wapo miongoni mwao watakuwa nao ila wengine hawana pia suala la matumizi ya condom hamna. So inakuwa afadhali ukipata mtu muaminifu pima ndio mfanye mapenzi na pia chagua kuwa na mpenzi mmoja mwaminifu
 
Asa mbn kama huu Uzi hauhitaj watu aina yako na unalijua Hilo hahahha c unsubscribe tu mzeee
 

Swali? Una uhakika huyo ulie nae ana mahusiano na wewe tu? NIPO PALE NIMEKAA.
 
Wakishakujaga watu na mada zao za ajabu ajabu humu au wale wazee kutongozana humu wakipamba moto tuna mute kuutembelea uzi kidogo, mpaka hali iwe shwari ndo tunarudi.
Kaeni mkijua humu hamna mtoto, kila mtu anajua nini anafanya na kwanini anafanya. So mshahara wa dhambi zake ni wake mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…