Baba we kinywa PEP ila ngoma iko pale pale.
 
Nakupa nyota nne za uboya
 
Pole,meza PEP after 90.days ukipima utakuwa fresh.Reaction ya dame ilikuwaje alipoona mistari miwili?Au anajua status yake tayari.Kama anatumia dawa ,ni vyema na uwezekano wa kukuambukiza ni mdogo.Sema Tigo ni hatari sana maana inamultiply rate ya wewe kuambukizwa.
 
Dem akikuzungusha sanaaaa, achana naye.. chukulia kama anataka kuepusha asikuambukize


Demu umepata leoleo, Usimuone yeye ni bwege Sanaa, Tumia Kondom.


Haya Kuna Hawa walevi, pombe zinawapaga nyegee, nakujikuta mmetiana na watu waliojichokeaaa sana.


Acheni kulana na Wanawake wakati mmelewa.


Kama Kuna Mlevi anayekumbuka Ndom au kupima , anyooshe mkono hapa nimuone.


Otherwise niiteni Mbwaaaa nmekaa pale !!.
 
Msidhan wengine hatunywi pombe, mkatuona kama washamba.


Ngoma imezagaa, kampeni za mapambani ya ngoma Kwa Sasa hazipo.

Kuna watoto wengi wa walozaliwa miaka ya 2000 wanao.


Kuna haya mashangazi .


Utachagua, unataka wa Kuzaliwa nao au unataka wa ukubwan.
 


Aisee wewe ni mchafu sana, hata kama umepata HIV sitasikitika
 
Tafuta ARV mapema kabla haujasambaa sana.
 
Utasumbuka sana, hana hisia huyo ilishawahi kunikuta mim, nilijaribu kukaa nae kwa ukaribu zaid akaniambia kua hanaga hisia, kwaiyo ww chapa mwendo tu na uyo wako atakua kama huyu niliyewahi kukutana nae
 
Hata akiwa anajijua unadhani angekuambia?Sasa kwa nini alikuwa mgumu kupima?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…