UNAVUMILIA KUKUBALIWA NA MWANAMKE KWA MIEZI 8.

HAKIKA UNA MOYO MKUU NA PEPO UTAIONA
 
Sio lazima umtie, usipoteze mda mreeeefu kwa manzi mmoja ambae haelekei! Tafuta chimbo lingine jifiche otherwise umemzimia ndomaan unakomaa ivo na hiyo itakutesa sana! Be a man bro, kama hataki achana nae! #Period#
Yeaah sometimes we have to learn in a hard way. Ni mwendo wa kupeana red pills tu
 
yani wew sis mafuta ya mwamposa tunayatumia kuponya umasikin na maradhi wew unayatumia sodoma na gomola, shagalabaka shikarabawekavisimpopembeni
 
yani wew sis mafuta ya mwamposa tunayatumia kuponya umasikin na maradhi wew unayatumia sodoma na gomola, shagalabaka shikarabawekavisimpopembeni
Endlea kuyatumia si unajua alipo yatoa!? 😅Utaenjoi ngj mambo ya leak
 
Dahh, ila huu uzi asee [emoji1787][emoji1787][emoji1787], skuwah kuupitia hapa nimepita baadh ya comments tuu, kuna bwege alipuliza dawa ya mbu kwe chumba cha mtt wa watu ili akambandue tuu, dahh[emoji1787][emoji1787]
Huo uzi uko wapi mkuu...?
 
Ngoja nisikilize NGOMA za Farid kubanda ntarud baadae kukoment.........
Namaini Playlist yako haijazikosa hizi ngoma
Mwanamalundi
Ielewe mitaa
I am a Professional
Sihitaji Marafiki x Yvonne Mwale
Fid Q.com
Ripoti za mtaani x Zahir Zoro
Huyu na yule x Mr. Paul
Korasi x Goddess
Big Man x Goddess Rosa Lee
Mwanza mwanza
Ni hayo tu x Langa,Prof J
 
Mkiwakuta wananuka kama kweli mnawapenda muwe munawasaidia, hata kwa mawazo. Labda kama kulikua na shida ingine...
 
Umefeli sana, Kama Ni kweli hayo Umesema yalikua yanafanyika maana yake alitaka uanzishe move.

Daima Mwanaume unapaswa utambue when to start your move, mlipokua mnakutana kutana hapo Kuosha osha ungeomba namba ungeanza taratibu kama rafiki, ungejenga trust yake siku chache kisha ule kimasikhara [emoji3][emoji3][emoji3]


Bado Hujachelewa. Una nafasi ya kuendeleza ulipofeli.
 
Haujakosea mkuu😊😊
 
Kweli umekua gentleman ila sasa kwa akili za mademu lazima anajiuliza kama uko sawa[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Oya ,unataka kumpiga pumb na mafuta ya mwamposa Tena,mbona vijana umevurugwa sana😄
 
Ashakusoma kwamba ukila tunda lazima umpige chini
Huenda alishatendwa huko nyuma na akaumia hataki yamtokeee tena
Ndo wale unakuta anasubiri mume aliyepangiwa na Mungu
 
Siyo yule muimbaji wa kwaya Aict ambaye mmewe anafanya kazi Ggm na Wana gari aina ya brevis?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…