Inabidi kukua na kujitambua
 

. Muulize Mama yako ushauri Maana yeye ndo ana tarehe tulizopewa kule Mirembe za kurudi kwa kichaa chako, labda zimdfika
 
Kuna mipumbavu mingi sana humu nchini.
Tukupe ushauri gani sasa?
Kula mbunye hutaki acha wenzio wakusaidie.
Hii ni mada ya kuongea
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtani, kwann lakinii???
Mtani kumuona huko mwenzie mpuuzi wakati na yeye pia anamzengea huyo mdada wa kazi hawana utofauti hapo.

Wote sawa tuu. 😂
 
Mwambie dadaako, usikubali shemeji yako akuchukulie demu wako. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ayaaaa.... Unapotezaje mtaji kama hivo mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…