Mie ningekuwa ndiye huyo shem wako ningewatafuna wote wewe na house girl ili uache wivu wa kipuuzi.!
 
Mwachweni mwenzenu vumilia tu uoate njia yakutoka kwa shemeji yako.
Katafute hela uoe utulie mambo yakulala na watu huwajui watakupatia maradhi ya kudumu
Huyo atakae muoa anamjua? Si wataaanza hawajuani kama kwa huyo house helper
 
Umuue kirusi kwa spirit
Una akili wewe
 
Kuna majina matano
1. Mme wa Dada
2.Shemeji
3.Shem
4.Shemela
5.Shem wangu.

Kama uwa unaitwa 1&2, huji pigs hio mdogo wa Dada.

Kama unaitwa 4&5 uhakika 90% kupiga.
 
Uko sahihi sana Kuna mambo mengi watu wanafanya na mazito sana sema wengine hata hawataki kujulikana, nizijua ethics za mambo ya afya ndo maaana kweny hiyo kada ikitokea Kuna makosa yamefanyika huwa unaona watu wanavyolalamika sema ndo ivo kila mtu na maisha yake
 
utasababisha ugomvi na kuachanisha ndoa za watu wewe huna kwenu ?
 
Kwa Akili yako Hiyo MKuu nakushauri achana na Hiyo mbunye,lasivyo unaharibu Ndoa Sio mda.Ukute wote wawili ndio wameupanga huo mchezo wakudake.
Aaah wp
mke wng namjua vema angekuwa anajua angesharipuka ana wivu sn.
Na hata mimi ningeshawashtukia ushahd mmoja yule shem wng hawez nitumia ujumbe wowote muda ninaokuwa home mpk niwe nimetoka na hata muda huu nachart naye namwambia anazngua sn amejbu ye bdo mtoto ndo maana lazma azngue kdogo kwan mambo meng hajui ananitegemea mi shem wake nimjuze nimemwambia ye aje tamfundsha.

Yan tampga shipa si inji hii...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…