Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Wakuu hapa napoishi ninaishi nyumba moja na mpangaji mwenzangu ni demu fulani ana tako la kichokozi, sasa tuna share choo, na kamba ya kuanikia nguo,
sasa yeye akiona nimeanika nguo zangu, kwa pembeni ataanika chupi zake
sasa leo nimeenda kuoga nimeona chooni nyuma ya mlango katundika chupi tatu za pinki aisee wakuu hii inaashiria nini hafu wiki iliyopita nilianika soksi zangu kwenye kamba lakini sizioni na nimemuuliza kagoma kasema hakuziona na tunaishi wawili tuu ndani ya fensi.
[emoji3][emoji3]kimasihara inaanza hivyo jiongeze
 
Wakuu hapa napoishi ninaishi nyumba moja na mpangaji mwenzangu ni demu fulani ana tako la kichokozi, sasa tuna share choo, na kamba ya kuanikia nguo,
sasa yeye akiona nimeanika nguo zangu, kwa pembeni ataanika chupi zake
sasa leo nimeenda kuoga nimeona chooni nyuma ya mlango katundika chupi tatu za pinki aisee wakuu hii inaashiria nini hafu wiki iliyopita nilianika soksi zangu kwenye kamba lakini sizioni na nimemuuliza kagoma kasema hakuziona na tunaishi wawili tuu ndani ya fensi.
Unataka mpaka ailete ameifunga kwenye kifungashio ndio ujue kwamba anataka ule? We jamaa vipi bana?
 
Nawe iba chupi yake moja.
Pia acha uzembe piga huyo
Wakuu hapa napoishi ninaishi nyumba moja na mpangaji mwenzangu ni demu fulani ana tako la kichokozi, sasa tuna share choo, na kamba ya kuanikia nguo,
sasa yeye akiona nimeanika nguo zangu, kwa pembeni ataanika chupi zake
sasa leo nimeenda kuoga nimeona chooni nyuma ya mlango katundika chupi tatu za pinki aisee wakuu hii inaashiria nini hafu wiki iliyopita nilianika soksi zangu kwenye kamba lakini sizioni na nimemuuliza kagoma kasema hakuziona na tunaishi wawili tuu ndani ya fensi.
 
Wakuu hapa napoishi ninaishi nyumba moja na mpangaji mwenzangu ni demu fulani ana tako la kichokozi, sasa tuna share choo, na kamba ya kuanikia nguo,
sasa yeye akiona nimeanika nguo zangu, kwa pembeni ataanika chupi zake
sasa leo nimeenda kuoga nimeona chooni nyuma ya mlango katundika chupi tatu za pinki aisee wakuu hii inaashiria nini hafu wiki iliyopita nilianika soksi zangu kwenye kamba lakini sizioni na nimemuuliza kagoma kasema hakuziona na tunaishi wawili tuu ndani ya fensi.
Nenda kutafute Sox chumbani kwake

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu hapa napoishi ninaishi nyumba moja na mpangaji mwenzangu ni demu fulani ana tako la kichokozi, sasa tuna share choo, na kamba ya kuanikia nguo,
sasa yeye akiona nimeanika nguo zangu, kwa pembeni ataanika chupi zake
sasa leo nimeenda kuoga nimeona chooni nyuma ya mlango katundika chupi tatu za pinki aisee wakuu hii inaashiria nini hafu wiki iliyopita nilianika soksi zangu kwenye kamba lakini sizioni na nimemuuliza kagoma kasema hakuziona na tunaishi wawili tuu ndani ya fensi.
Na wewe mfichie chupi
 
Asikuambie mtu babu aisee jana nimernjoy sana wakuu baada ya wikiendi yangu kumalizwa na mbususu kutoka kwa member mmoja maarufu humu jukwaani jina kapuni, nataraji kutangaza ndoa wakuu aisee yaani sio poa kabisa

Shukrani sana kwa hotel moja ya nyota tatu humu mjini ambayo ipo katikati ya kariakoo karibu na msikiti wa mtoro ndipo nilimo muingiza tokea saa kumi alasiri mpaka saa sita usiku ndipo tulimomaliza kazi wakuu huyu demu ni msafi, mtamu, ana akili mingi sana na nawasihi na nyie muwatafute member mmoja wa jamii forum muoe then mkulane
Usiwaibie siri wataanza kusumbua huku
 
Back
Top Bottom