Sisi tunataka kula tunda kimasihara, arafu wewe unatuletea kutongoza kimasihara..

Tuelewane vizuri, kula matunda kimasihara ni ile hali ya kutumia ishara na kula tunda mda huo huo pasipo kuzungumzia jambo lenyewe sana..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sisi tunataka kula tunda kimasihara, arafu wewe unatuletea kutongoza kimasihara..

Tuelewane vizuri, kula matunda kimasihara ni ile hali ya kutumia ishara na kula tunda mda huo huo pasipo kuzungumzia jambo lenyewe sana..
 
Hahah mkuu kuanzia leo nimekupa cheo cha major sajent
 
Baharia tutakutoa kwenye chama chetu, huna sifa za kuwa mwana chama kwa hali hii..
 
Hahaha dahh
 
Natanguliza samahan kwa uandishi wangu huwa n wakiwakiwaki sana.
A couple of two years ago hivi, mwenge wa Uhuru ulitimba katika wilaya yetu, bhasi buana mhuni si nikatimba kwenye mkesha wa mwenge mida mibovu hivi nikakuta kuna bonge la party mziki mnene.

Nikawa nmekaa jirani na afande mmoja tunapiga stori mbili tatu.
Mara paap nikakaona kamanzi fulani kalikuwa kanavutia kimtindo si nikakafata nikakapa amri ya kijeshi nifate ninakoenda, mara ghafla mtoto huyu hapa ananifata ninakoelekea nikatafuta lodge ya maeneo ya jirani kilichofatia ITV mtoto alipigwa mkuyenge bila hata kumtongoza.

BTW huwa nahisi kalinifata kakidhani mm n mlinda usalama kumbe mm raia tu.
 
Kabinti ka min supermarket kalivyo liwa....
Kuna siku mwamba nimeenda zangu minsupa nikakuta ndengesa moja ipo vizuri kiasi nikamwambia kuna shaver?Akasema zipo zile pale, Nikamuliza we unatumia ipi? akanionyesha Electric shaver nikamwambia hii si inatekenya sana mi nitatoa wazungu bure?Akasema mbona nzuri tu nikamwambia ss mi nina ombi moja tu naomba uje unisaidie kuitumia akacheka sana nilivyo lipia nikampatia na namba nikamwambia mi na kaa mtaa wa nyuma tu apo.

Yakapita masaa mida jioni ilikua j2 naona txt mambo? nikamwambia poa nani? Akasema ushaa nyoa?Nikamkumbuka then nikamwambia naogopa kutekenywa na ww hujaja kunielekeza!

akasema upo home nikamwambia nipo mama asee kuja badala ya kuninyoa mm nilimyoa yeye mpaka vipele! Toka hapo nikawa nikihitaji kumnyoa namuita tu!
 
Kuna mkaka wa pale Dodoma mwenye I'd inayoanza na irabu za mwanzo na kuishia na irabu za mwisho

Alichonifanyia pale Dodoma D... m...m Hotel ilikuwa kimasihara,ilikuwa kimasihara kabisa,nahisi alitumia uchawi maana najielewa huwa stoi tunda kimasihara

Nikiwa zangu safarini kutoka Dar kwenda Mwanza, kijana mmoja nilikuwa namwelewa pm, akaniomba nishuke Dom, akaniomba tangu alfajiri kila dakika ananiomba

Nikaona isiwe soo,nikashuka kanipokea kanipeleka hotel yenye jina la mama, nikajikuta ameniroga akanila kimasihara

Karibuni tutambulishane tuliokulana kimasihara humu JF

Jamani PM imejaaa ,usipojibiwa cool down,sasa hivi staliwa kimasihara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…