Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Ujue wanafunzi bwana wanamambo ya ajabu sana,

December tarehe za mwanzoni mwanzoni nipo na business zangu naingia instagram nakuta follow request nacheki vizuri naona kitoto cha kike, kina picha chache tu(kama sita) kwenye picha cha kawaida sana, nikajisemea moyoni, I AM NOT A CELEBRITY wala sio PUBLIC FIGURE huyu anataka nini ?

nikazama inbox na conversation ikawa hivi

Me: Mambo
Her: Poa
Me : Do i know you ?
Her : Hapana
Me : Nilijua labda you know me from way back na labda nimekusahau sasa I was trying to remember you.
Her: Hapana

Sasa the conversation went back and forth akaniambia anapokaa nami nikamwambia akanitel anasoma A levels na vitu kama hivyo na ni baada ya kumuuliza what she do for a living, nami nikamwambia nafanya nini. Muda wote huu namfanyia upelelezi sina wazo la kumpiga pipe.

Siku ile ile akaanza kuniuliza unaish na mke wako, na hapo ndio alarm ikaita kichwani, nikamwambia hapana I am not married, akasema sipend kumess na waume za watu, I was like heeeh, why is she saying so ? alafu ukizingatia simjui hanijui.

Hapa ndio nkaanza kujilipua sasa nikamuuliza lini una muda, akaniambia kesho anakuja hadi maeneo ya karibu napokaa alafu atarud kwao, nikamwomba tuonane akakubali ila akasema kwako siji, nkamdanganya uongo mtakatifu ambao mwanaume yeyote huwa anadanganya( wewe ni mwanafunzi siwez kukaa na wewe sehemu public its risky kwangu na kwako njoo tu home siwez kufanya kitu), akakubali.

Kesho yake nikaenda ofisini nikajipa kazi ya karibu na home nlivyomaliza nikarudi home mida ya saa sita, sasa tanesco mabwege umeme wamekata simu haina chaji, kakaja kakanitafuta kakanikosa manake sikuwa hewan instagram, kakadhani sikuwa na connection kakanidm namba yake kakasema next time nitumie plain text, nkasema sawa, conversation nikaiamishia kwene msg za kawaida.

Akaniambia kesho sina nauli wewe njoo kwetu baba kaenda msibani kaka na dada wanachelewa kurudi, nikamwambia nakutumia nauli ile namaliza nikakatumia nauli, sasa hii siku simu yangu ina chaji na kila kitu, na ilikuwa wikend naenda job nawah kutoka, nipo njian narud home simu inaingia anasema simu yake inakaribia kuisha charge anataka aje kabisa home nikamwelekeza akaja na bajaji nikamkuta nje karibu na home( sijawah kumwona wala kumjua) hajashuka kwene bajaji anasubir, ile anashuka mbona nilibaki nimeduwaa, aisee walimu mashulen wana mtihan sana, sio mzuri kivile ila anashepu kinoma alafu mbichi.

Tukaanza kuelekea home, ananiambia did you get my last msg ? nkamuuliza ipi ? akasema ile nlokuuliza unapenda nivae nini ? nkamwambia sijaiona akasema nliituma,

Alivyoovaa aisee hakuna binadamu anaweza kusamehe kameevaa sketi fupi alafu ndani chupi laini(nlijua baada ya kuivua) ila kabla hajavua nlijua kamevaa bikin tako lilikuwa linatetema sana, juu kamaa top inayoangaza ndani naona kabisa sidiria na nyonyo zilivyokaa, nikaona huyu ananifanyia makusudi ila ngoja nijifanye bwege.

Tumeingia ndani nikamweneka movie pale akawa anaangalia nkamuuliza unakunywa nini akasema pepsi, i had a pepsi nkampa, nkamuuliza unakula nini akasema hizo chips zao, maongezi yakaendelea.

To cut the story short haka katoto kakawa kaniegamia nimekashika kiunoni kakawa kanahema juu juu, nikaanza kukachezea, kimbembe ni kwene kumtoa chupi aligoma kata kata, nishakanyonya sana chuchu kakakataa kutoa chupi.

Nikakausha kabisa alafu nikakasirika nkasema me sikali wacha kakae tu ngoja niendelee na mambo yangu, akaanza vituko, alikuwa kakaa kwene sofa akasema ye akiangalia movie anakaaga chini akahamia kwene zulia alala kistobe kakigeuzia juu, mara kidogo anasema anajisikia joto anaomba akaoge, nkamwambia karibu, anasema nipeleke nikaone bafu then usije kaa sebulen, sawa kakaenda amefika kafunga mlango wa bafu robo tatu ananichek kama nakuja anatabasamu anavyonitesa manake pipe imesimama ile mbaya, nimekaa sebulen mara ananiita eti nimpatie taulo jipya ilo langu hawez kushea, nkamwambia sina kabla sijamalizia ananiambia mbona unahema ivyo nkamwambia we unaona mambo yako sawa sijamalizia kusema kadaka pipe anaichezea ila akasema sikupi kitu leo, nikaona leo kazi ninayo tukarudi mpaka sebuleni, nikamsika shika nikafanikiwa kumvua chupi kinguvu, nikapitisha mashine kitoto kinakuma tamu kwakua alinisumbua sana goli la kwanza limewah kutoka tukaenda kuoga tumerudi nikamlaza kitandani nilipiga pipe yule mtoto wa kishua mpaka akawa kama anavibrate kama mtu alopabdisha mashetani, kakajifanya kanajutia na nini kama kawaida yao, tukapumzika nikakatekenya sena nikakapelekea moto mpaka kakazimika kama ten minutes, aisee anakuja kuamka anaomba kurudi kwao, nikamwitia uber akachimba juz kanipigia nifute namba yake kisa simtafuti kivile, lakin sasa aliniambia ana jamaake yupo mwanza, sasa nasemaje Jamaa kama upo mwanza na una kitoto mjini kident kimenipa tunda chenyewe na sometimes kinajifanya kinakosea kinatuma kwangu msg kilizokuwa kikutumie wewe za kukulaumu huna mapenz ya kweli, wanawake nimewavulia kofia...

Nimejaribu kufupisha na natoa angalizo kuhusu wanawake, as long as you confident na what your saying has flow inayoeleweka hata kama unaongea pumba wanawake huwa wanasikiliza na kuelewa..
Sisi tunataka kula tunda kimasihara, arafu wewe unatuletea kutongoza kimasihara..

Tuelewane vizuri, kula matunda kimasihara ni ile hali ya kutumia ishara na kula tunda mda huo huo pasipo kuzungumzia jambo lenyewe sana..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sisi tunataka kula tunda kimasihara, arafu wewe unatuletea kutongoza kimasihara..

Tuelewane vizuri, kula matunda kimasihara ni ile hali ya kutumia ishara na kula tunda mda huo huo pasipo kuzungumzia jambo lenyewe sana..
 
Dah ilikuwa 2013
Nilikuwa supervisor kiwanda flani hivi arusha. Kiwanda kina wadada kibao kutoka mikoa mbali mbali na mimi ndo nilikuwa na chagua kazi.

Tulianzisha kitengo kipya (product mpya) kwhy tukawa na uhitaji wa wafanyakazi wapya. Walikuja wadada 10 wageni kutoka kiwanda flan hivi kilichokuwa kimesimamisha uzalishaji.

Mzee baba mimi ndo nikapewa kazi ya kuongeza kitengo kipya banah. Sasa totoz hzo zilpokuja kuomba kazi nikaziambia ziache namba za simu baada ya kuzifanyia usaili. Walikuwa wanahitajika watu sita tu. Nilichofanya ni kuwatongoza wote maana walikuwa wakali kinyama.

Yaani huwez amini nilitafuna wote ndani ya wiki ile kama masihara tu. Walikuwa watamu balaa.
Kimbembe kilikuja kwny matokeo ya usaili maana nilichagua wale tu waliohitajika na kampuni. Wale waliokosa wa kaenda hadi kwa md kumlalamikia kuwa nimewatomba afu nimewanyima kazi. Na msj za ushahidi walikuwa nazo. Md alinitimua mchana kweupeee.

Tokea hapo msj naziogopa sana mazee.
Hahah mkuu kuanzia leo nimekupa cheo cha major sajent
 
Mpita njia atafunwa kimasihara.

Inaweza kuwa utani ila ndo ukweli,
Mwaka huu nilikuwa narud hom kutoka job, kuna njia nilikuwa nimeizoea ina kama kilima flani hv cha kishkaji .
Binafsi hivyo nilikuwa nikifika pale napiga mchakamchaka hivyo kila siku nilikuwa napishana na kadada flan hivi.
Ila sikuwai Kuwa na shobo nacho ilikuwa kwa week tunakutana 3 times. Ilifika kipind nikazoea mm nikifika pale napasha kila siku I mean naenda mchakamchaka. Nahii nilikuwa nafanya kama mazoezi.
Tukawa tumezoeana. Ila Muuni sikutaka mazoea kivile.
Ila siku moja I mean mvua za mwez wa tisa maeneo ya dar nafikir mnakumbuka, mara gafla narud tunakutana dah kamejifunika kanga. Dah mwanaume nikaamua kusogea kutokana mda ulikuwa umeenda nikamsindikiza hadi gheto kwake. na hiyo ilikuwa Saa 3 kasoro ,
Akaniambia sasa kaka unaenda na mvua hii.
Nikajisemea yalaaaa! " Mbuzi kafia kwa muuza supu" coz nilikuwa na ukame wa miez 3 , demu wangu alinizingua
Aisee nilitembeza mashine siyo poa ! Baada ya hapo sikutaka iwe tabia yetu nimebadilisha njia kutoka siitaji mtu wa karibu na gheto
Baharia tutakutoa kwenye chama chetu, huna sifa za kuwa mwana chama kwa hali hii..
 
Hahaha dahh
Yule dada aliniambia kwamba Mbona unafanya hatari kubwa mnooo...Bwana wangu huwa anakuja huku...akitukuta ni msala...........almanusura Mashine isinyae...ila nikakaza nikamuambia kama ndio hivyo basi nipe kimoja faster nisepe asije akanikuta kweli humu tukaja kuleta aibu ya mwaka........

Yaani kumbe yule Jaama nayeye alikuwaga anakwenda so siku ile sijui ilikuwaje mpaka hakuingia sijui muda wake ulikuwa bado...............Yaani kuna matukio nimewahi kuyafanya mpaka huwa najishangaaga
 
Natanguliza samahan kwa uandishi wangu huwa n wakiwakiwaki sana.
A couple of two years ago hivi, mwenge wa Uhuru ulitimba katika wilaya yetu, bhasi buana mhuni si nikatimba kwenye mkesha wa mwenge mida mibovu hivi nikakuta kuna bonge la party mziki mnene.

Nikawa nmekaa jirani na afande mmoja tunapiga stori mbili tatu.
Mara paap nikakaona kamanzi fulani kalikuwa kanavutia kimtindo si nikakafata nikakapa amri ya kijeshi nifate ninakoenda, mara ghafla mtoto huyu hapa ananifata ninakoelekea nikatafuta lodge ya maeneo ya jirani kilichofatia ITV mtoto alipigwa mkuyenge bila hata kumtongoza.

BTW huwa nahisi kalinifata kakidhani mm n mlinda usalama kumbe mm raia tu.
 
Kabinti ka min supermarket kalivyo liwa....
Kuna siku mwamba nimeenda zangu minsupa nikakuta ndengesa moja ipo vizuri kiasi nikamwambia kuna shaver?Akasema zipo zile pale, Nikamuliza we unatumia ipi? akanionyesha Electric shaver nikamwambia hii si inatekenya sana mi nitatoa wazungu bure?Akasema mbona nzuri tu nikamwambia ss mi nina ombi moja tu naomba uje unisaidie kuitumia akacheka sana nilivyo lipia nikampatia na namba nikamwambia mi na kaa mtaa wa nyuma tu apo.

Yakapita masaa mida jioni ilikua j2 naona txt mambo? nikamwambia poa nani? Akasema ushaa nyoa?Nikamkumbuka then nikamwambia naogopa kutekenywa na ww hujaja kunielekeza!

akasema upo home nikamwambia nipo mama asee kuja badala ya kuninyoa mm nilimyoa yeye mpaka vipele! Toka hapo nikawa nikihitaji kumnyoa namuita tu!
 
Kuna mkaka wa pale Dodoma mwenye I'd inayoanza na irabu za mwanzo na kuishia na irabu za mwisho

Alichonifanyia pale Dodoma D... m...m Hotel ilikuwa kimasihara,ilikuwa kimasihara kabisa,nahisi alitumia uchawi maana najielewa huwa stoi tunda kimasihara

Nikiwa zangu safarini kutoka Dar kwenda Mwanza, kijana mmoja nilikuwa namwelewa pm, akaniomba nishuke Dom, akaniomba tangu alfajiri kila dakika ananiomba

Nikaona isiwe soo,nikashuka kanipokea kanipeleka hotel yenye jina la mama, nikajikuta ameniroga akanila kimasihara

Karibuni tutambulishane tuliokulana kimasihara humu JF

Jamani PM imejaaa ,usipojibiwa cool down,sasa hivi staliwa kimasihara
 
Back
Top Bottom