Na nukuu " kusema ukweli mm ni mrembo Sana (umbo la kibantu nywele, rangi na sura ya kiarabu) "


Hapa ndipo ulipo haribu kila kitu

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mwandiko unafanana na wa mtu fulani humu ila yote kheri utajijua mwenyewe...
 
Huu ni mfano halisi jinsi Dada zangu mnapoteza furaha ya ndoa zenu, kujibidisha na kazi za vipato. Na kuacha mume ahudumiwe na wadada wa kazin.
 
Bado nasisitiza wanaume km hawa km bado wapo sijui,huko tunapoendelea atanunuliwa gari na atajenga nyumba kwa ajiri ya mama mkwe πŸ₯΄
πŸ˜†πŸ˜†

Umewaza kama mimi.
Lazima huko mbeleni kuna gari itanunuliwa na usishangae hiyo nyumba ya mbweni tukaambiwa ni gorofa na account ya bank tukaambiwa mpaka sasa ina 300mills na duka kwa siku linaingiza 50mills na mama wawili na yeye anafuata mzigo China.πŸ˜†

Mwanaume muongo huyu kawazidi hata mademu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ila ujuba ni vazi la stara sana, mbona ulivuliwa kirahisi sana ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…