We nimekukubali kukiri kuliwa kimasihara, wenzio hawataki kusema, wengine huwa wanaliwa kwa offer ya bia/savannah, wengine lifti za magari, wengine kusaidiwa kitu Fulani tu anajikuta kaliwa.
 
Mh wewe utakuwa nao si bure
 
Nilikuwa naiheshimu hii id kumbe ni type ya demiss. I take back all my respect!
 
Aenziwe RIKIBOY..

#FREE_RIKIBOY..
 
hakika mkuu jamaa kazingua kaleta alivyotongoza kimasihara
Sisi tunataka kula tunda kimasihara, arafu wewe unatuletea kutongoza kimasihara..

Tuelewane vizuri, kula matunda kimasihara ni ile hali ya kutumia ishara na kula tunda mda huo huo pasipo kuzungumzia jambo lenyewe sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…