NILIVYOMLA DEMU MUCH KNOW KIZEMBE SANA


Siku moja nipo zangu Road natoka mihangaikoni namuona dada mrembo nikamsalimia akakausha ...so ikapita kama week hivi nikakutana nae maeneo karibu na ninapoishi ,sasa nikamkaushia na sikushoboka kabisa .
Sasa yeye akanipa hi mi nikatingisha tu kichwa..sasa jioni yake naenda zoezi nikqkutana na mdada tumuite Paula .namjua nikampa hi nikqmtania pale akafurahi sasa nafika uwanjani naona simu inaita kucheki Paula nikapokea akasema unamjua Nai (code) nikamwambia hapana aka sema eti ameniuliza kumbe wewe unaongea na unachekaga?? Nikamwambia mpe namba yangu
Nimepigq zoezi nikarudi home nikapika ugali na samaki sasa nimekula ukabaki na kesho nina mishe mingi nikasema subili nitoke nje nikikuta madogo niwaite wale ugali sasa ghafra nikapata wazo nimpigie Paula anipe namba ya yule dada Nai....
Paula akasema namba yangu alimpa labda amkumbushe ili anipigie nikasema poa ...sasa after five minutes namba mpya inaingia ..nikapoke
MIMI.. nani wewe

YEYE..nai rafiki yake Paula

MIMI ...Upo wapi

YEYE... nipo sinza nimefqta chakula

MIMI ...chakula tena ??njoo ule basi hapa geto ugali samaki mi umenishinda ..chukka boda nitalipa....
YEYE poa

MIMI .....nikamielekeza akatimba


Waungwana mtoto ni mtamu balaa na hapa tunavyongea ameendq kwao kucheki mazingira ili aje mazima night yote hiiiiiii......Chakuchekesha anasema naonekana Mpole sana harafu naringa Sanaa...ninadhqrau na najisikia sana....

Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
 
Kwa mashauz yke hayo mkuu tunakuomba umnyooshe kisawasawa utuwakilishe vyema [emoji3] mashauz yamuishe kbs
 
Muandalie 30k yake. Huko Sinza hakuna vya bure.
 
Akitoka kwako nami namuomba hapa mm ni jirani yako hapa ulipopanga
 
Kwanini huwa mkiona comments mnasema watu wanamchango mdogo Kwa taifa ? Unajua Niko sehem Gani katika kuchangia ustawi wa taifa? Unaweza Kuta mim ndo naongoza mawasiliano ya ndege alafu hapa unasema Sina mchango kwa taifa au mchango upi unataka?
Ni misemo tu ndugu yangu don't take it seriously [emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…