Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Wewe boyaaaz namba ipo hahahahahaha

Namba tayari nmeiona, na ninakuharibia falaa wewe


Toa izo screenshot alafu unitumie Vochabya Eatel ya 5000, ndio nisiwape Wana nambaaa
Sawa mpe namba Mimi nakupa picha
Screenshot_20230812-191411.png
 
Ni baada ya kumfanyia kazi yake vizuri ambayo amesumbuka nayo karibu nusu mwaka ila mimi nimemtatulia kwa siku mbili tu.

Mtoto alifurahi sana na akaleta ukaribu zaidi ya mteja ambao hata mimi mwenyewe nimeshindwa kuukataa. Kifupi sina nguvu za kubisha na kuukataa huu ukaribu.

Kwanza hakuna kinacho nigharimu kwa sababu kazi yake imenipa pesa nyingi sana yaani na mtoto kaona haitoshi kaona anipe na kibuyu cha asali.

Jaman uwaminifu unalipa, na ukiipenda kazi yako kama ndugu yetu insider man hivi vitu vipo.


Mtoto kama vanessa mdee una tumia njia gani kumkataa usile tunda lake eti jaman....? Tuwe serious kidogo. Fadhira muhimu [emoji39][emoji39][emoji39][emoji3060][emoji3060][emoji1635] jpili yangu imesha kuwa poa View attachment 2715465View attachment 2715466View attachment 2715467
sa hz
 
Imeishaaa.

Kuna Jamaa aliwah gombana na Demu wake, akaja JF kuweka meseji anaomba mawazo, akawa kaficha namba, ila Kwa macho ya kichina kama yangu ukizoom ,zikawa zinaonekana.


Toka huo mwaka 2018 mpaka Leo, Demu wake najitafunia Kila napopata nafasi ya kuja maeneo yaleeee !!.
Tafuna na huyu Ila hautamtafuna peke yako
Screenshot_20230812-191411.png
 
Back
Top Bottom