Am over everything...chuki zenu ni bure...mnapoteza tu muda wenu ...yapambanieni maisha yenu yawe safi mpendwe na nyie....
Umedisclose taarifa binafsi za mtu mtandaoni halafu unaonesha jeuri tena.

Be wise.
 
Nilikuwa nataka kuleta story ya kula kimasihara ila nimegahil [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dunia ndogo Sana hii
 
Wanawake wa Singida sijui wana pepo gani,,,kiufupi hapo hata mkeo anatafunwa na wahuni nje. Urahisi alionao shemeji yako ndo huo huo alio nao mkeo.


USHAURI
Punguza tamaa za kifala siku moja Marinda yako yatakua hatalini...KAZA MTOTO WA KIUME!
Mwanaume kbs na akili zake timamu anaoaje Singida aisee, huko ni kujitafutia presha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…