Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Am over everything...chuki zenu ni bure...mnapoteza tu muda wenu ...yapambanieni maisha yenu yawe safi mpendwe na nyie....
Umedisclose taarifa binafsi za mtu mtandaoni halafu unaonesha jeuri tena.

Be wise.
 
Wanawake wa Singida sijui wana pepo gani,,,kiufupi hapo hata mkeo anatafunwa na wahuni nje. Urahisi alionao shemeji yako ndo huo huo alio nao mkeo.


USHAURI
Punguza tamaa za kifala siku moja Marinda yako yatakua hatalini...KAZA MTOTO WA KIUME!
Mwanaume kbs na akili zake timamu anaoaje Singida aisee, huko ni kujitafutia presha
 
Back
Top Bottom