Mjina mrefu....
 
Huwa mnatumia lugha gani mnapoenda kununua ndom dukani mbn mm nashindwa wakuu?[emoji848]
 
Huwa mnatumia lugha gani mnapoenda kununua ndom dukani mbn mm nashindwa wakuu?[emoji848]
Mm nkifikaga pharmacy nasemaga tu

Eti dada nimemkuta salama, au dume yupo ?

Kwa dunia ilivyoharibika Karne hii unaona ugumu gn kutamka wazi kwamba unataka kondom.
 
Huwa mnatumia lugha gani mnapoenda kununua ndom dukani mbn mm nashindwa wakuu?[emoji848]
Mimi napendaga kwanza nikute yuko na wateja wengi haswa haswa wakike Naropoka kwa Nguvu Naomba Condom!

Hapo lazima aniulize ipi? Huwa namjibu kwa Kumuuliza ipi ni nzuri. Huwa hawajibu wanaishia kukushangaa na hapo hapo Nachomekea kwa wale walioko pale eti Condom ipi ni nzuri jamani ambayo haina shida nikaitumie. Wataishia kucheka na Mwisho wa siku najua ntafanya Mbinu yeyote nimwachie yeyote namba.

Kama yuko Muhudumu wa kike pekee na ni Pisi huwa namuuliza ipi nzuri. Wengine huwa wanaamua kukuchagulia au mwambie ambayo hata ww huwa unaweza kuitumia na Mtu wako. Halaf chukua Pakiti kama 3 ivi Muulize kiutani Mbona huniandikii matumizi yake, Mwambie wewe hujui kiutani; Ataishia kucheka tu au atakwambia tumia Moja kwa kila Tendo. Mwambie nikishindwa kuzimaliza zote Ntakutafuta niangalie namna ya kuzirejesha au kuzitumia. Niandikie namba zako ili nikitaka maelezo zaidi nikuulize Dokta.

Huko mbeleni namna ya kuja kuzitumia naye sikufundishi mimi nimemaliza[emoji114]
 
Nji ina vijana wa hovyo sana hii
 
[emoji38][emoji38][emoji38] za uso
 
Oyaaaa[emoji1430][emoji38][emoji38]
 
Vipi mlifanikiwa au mliambulia block ....? [emoji23][emoji23] vijana wa humu ni wapweke sana so mkaona mmenikomoa wenyewe...? Kumbe ndio mmeimarisha bond
Sijui Mzee wewe ndo unajua na hao vijana na huyo rafiki yako sisi wengine tunatazama tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…