Ulishawahi kula tunda kimasihara?
,,,Nilikula kimasihara pisi moja juzi weekend. Niliikuta kitambaa cheupe.

Inafanya kazi benki moja maarufu hapa nchini.

Niliikuta imekaa yenyewe inakula zake savannah. Nikaomba kama naweza join meza. Ikanikaribisha.

Kula zangu Bia laini laini. Kaka nusu saa hivi kila mmoja na simu na vinywaji vyake. Basi nikakata ukimya... Vipi mbona mrembo hivi uko mwenyewe? Hujaja na Shemeji? Alichonijibu sasa,, Shemeji? Wooi!.

Basi nikajua yupo mwenyewe, nikamwambia I'll pay your bill tonight, siyo vizuri binti kama wewe ujilipie mwenyewe na mimi nipo.

Story mbili tatu akanifungukia kuwa msela wake haeleweki, na ameanza kubadilika baada tu ya kupata kazi nono. Before dem ndo alikua akimbeba mwana coz hakuwa na job.

Vyombo hadi sita kasoro akasema anataka ondoka. Nikamwambia nihakikishe amefika home maana alikua amelewa lewa. Basi ita Uber pale nenda hadi **** anapoishi.

Shuka kwenye gari, nikaisindikiza hadi mlangoni... Kabla haijaingia ndani, nikaiambia "can I hug you?" Akakubali, and i hugged her very tight kama sekunde kadhaa hivi. Akili za kimasihara zikanijia, nikasema ngoja nifanye jambo. Nikashika t*ko hakupinga, kiss shingo akashtuka. Akachomoka kwenye hug. Akaniambia Goodnight Mjina. Nikaitikia kishingo upande.

Akafungua mlango kuingia ndani nami nikafata nyuma...

Itaendelea....
Mjina mrefu....
 
Screenshot_20230820_141144_Gallery.jpg

ameniambia mwezie atashukia Misungwi, ndio nitahamia kwake.
 
Huwa mnatumia lugha gani mnapoenda kununua ndom dukani mbn mm nashindwa wakuu?[emoji848]
Mm nkifikaga pharmacy nasemaga tu

Eti dada nimemkuta salama, au dume yupo ?

Kwa dunia ilivyoharibika Karne hii unaona ugumu gn kutamka wazi kwamba unataka kondom.
 
Huwa mnatumia lugha gani mnapoenda kununua ndom dukani mbn mm nashindwa wakuu?[emoji848]
Mimi napendaga kwanza nikute yuko na wateja wengi haswa haswa wakike Naropoka kwa Nguvu Naomba Condom!

Hapo lazima aniulize ipi? Huwa namjibu kwa Kumuuliza ipi ni nzuri. Huwa hawajibu wanaishia kukushangaa na hapo hapo Nachomekea kwa wale walioko pale eti Condom ipi ni nzuri jamani ambayo haina shida nikaitumie. Wataishia kucheka na Mwisho wa siku najua ntafanya Mbinu yeyote nimwachie yeyote namba.

Kama yuko Muhudumu wa kike pekee na ni Pisi huwa namuuliza ipi nzuri. Wengine huwa wanaamua kukuchagulia au mwambie ambayo hata ww huwa unaweza kuitumia na Mtu wako. Halaf chukua Pakiti kama 3 ivi Muulize kiutani Mbona huniandikii matumizi yake, Mwambie wewe hujui kiutani; Ataishia kucheka tu au atakwambia tumia Moja kwa kila Tendo. Mwambie nikishindwa kuzimaliza zote Ntakutafuta niangalie namna ya kuzirejesha au kuzitumia. Niandikie namba zako ili nikitaka maelezo zaidi nikuulize Dokta.

Huko mbeleni namna ya kuja kuzitumia naye sikufundishi mimi nimemaliza[emoji114]
 
Nji ina vijana wa hovyo sana hii
 
Ndugu katika Azuma, amani iwe nanyi!
Jana nikajichanganya na hizo confidence za kisenge kwenye duka moja la vipodozi si nikaliomba qhumer limama limoja likubwa, nimetukanwa sana pamoja na kupewa ushauri nirudi katika maadili na misingi ya kitanzania, nimedhalilika sana, i hate, i depise and i take no delight kwa ushauri wenu wa kikumamayo ulionifanya nidhalilike, by the way nipo huku Kigoma kikazi kama kuna mwenyeji wa huku tuchekiane inbox tuonyeshane vijiwe wa Hansons!
Amani isiwe nanyi nyote
[emoji38][emoji38][emoji38] za uso
 
Mimi napendaga kwanza nikute yuko na wateja wengi haswa haswa wakike Naropoka kwa Nguvu Naomba Condom!

Hapo lazima aniulize ipi? Huwa namjibu kwa Kumuuliza ipi ni nzuri. Huwa hawajibu wanaishia kukushangaa na hapo hapo Nachomekea kwa wale walioko pale eti Condom ipi ni nzuri jamani ambayo haina shida nikaitumie. Wataishia kucheka na Mwisho wa siku najua ntafanya Mbinu yeyote nimwachie yeyote namba.

Kama yuko Muhudumu wa kike pekee na ni Pisi huwa namuuliza ipi nzuri. Wengine huwa wanaamua kukuchagulia au mwambie ambayo hata ww huwa unaweza kuitumia na Mtu wako. Halaf chukua Pakiti kama 3 ivi Muulize kiutani Mbona huniandikii matumizi yake, Mwambie wewe hujui kiutani; Ataishia kucheka tu au atakwambia tumia Moja kwa kila Tendo. Mwambie nikishindwa kuzimaliza zote Ntakutafuta niangalie namna ya kuzirejesha au kuzitumia. Niandikie namba zako ili nikitaka maelezo zaidi nikuulize Dokta.

Huko mbeleni namna ya kuja kuzitumia naye sikufundishi mimi nimemaliza[emoji114]
Oyaaaa[emoji1430][emoji38][emoji38]
 
Vipi mlifanikiwa au mliambulia block ....? [emoji23][emoji23] vijana wa humu ni wapweke sana so mkaona mmenikomoa wenyewe...? Kumbe ndio mmeimarisha bond
Sijui Mzee wewe ndo unajua na hao vijana na huyo rafiki yako sisi wengine tunatazama tuu.
 
Back
Top Bottom