Vipi mlifanikiwa au mliambulia block ....? [emoji23][emoji23] vijana wa humu ni wapweke sana so mkaona mmenikomoa wenyewe...? Kumbe ndio mmeimarisha bond

Mimi mpaka kumla nilimla huyo dem wako, si anafanya kazi Stend ya mabasi Mwanza Nyegezi, shauri yako, nimemkula sana tu baada ya kupata namba yake.,
 
Mimi mpaka kumla nilimla huyo dem wako, si anafanya kazi Stend ya mabasi Mwanza Nyegezi, shauri yako, nimemkula sana tu baada ya kupata namba yake.,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vijana mnapenda kujifariji...kama kunichonganisha nae tu mlishindwa .

Pamoja na msala wote ule ila bado nipo nae fresh kama hakijawahi tokea kitu. Wakati binafsi niliamini tunda ndio limeenda vile. Kumbe ndio mnachochea likolee

Kukutoa hofu tu ni kwamba mlikua zaidi ya watu 400 mlio kua mnatingoza na bado mnatongoza kwa akili zenu atawamubalia na bad enough wote wageni hata kama utatumia ndumba aisee sio kwa foleni hiyo kifupi mnajichosha tu na kumsumbua muacheni dada wa watu.
 
Hawezi akakuambia vyote [emoji41]
Tena wewe ndio wale maboya ambao mnakula bluetick tu mmegeuka wanamajira [emoji23] ikifuka asubuhi goodmorning love .....ikifika mchana mambo mrembo umekula.......ikifika usiku mrembo nimekumic naomba tuongee .....[emoji23][emoji23][emoji23] ila kuna vijana humu wanauhaba na mbunye hadi sio poa poleni vijana
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] aisee jamaa anajihakikishia kabisa
Kuna watu wa kula ila sio nyie ...mpo desperate sana na mbunye yaani mnapapatika hadi manzi anawaona uchuro. Mbona wenzenu mbunye zinatuata nyie mnakwama wapi.....?
 
Kuna watu wa kula ila sio nyie ...mpo desperate sana na mbunye yaani mnapapatika hadi manzi anawaona uchuro. Mbona wenzenu mbunye zinatuata nyie mnakwama wapi.....?

punguza uvulana mwamba, be a MAN, aya mambo achia watoto wa kike si kila k2 ni cha kujibu na kupandishia kifua mtandaoni, ukivuliwa nguo chutama kama muungwana.
 
punguza uvulana mwamba, be a MAN, aya mambo achia watoto wa kike si kila k2 ni cha kujibu na kupandishia kifua mtandaoni, ukivuliwa nguo chutama kama muungwana.
Tena inavyo onesha wewe ndio wale majamaa wa mavideo call [emoji23][emoji23]

Miles is over everything mzee tena viwatu kama nyie nawapenda kichizi yani hasa mkiingia kwenye 18 zangu.

Mnajifanya hapa mnajielewa kumbe mafala tu ....ila kwenda kusumbua watu ndio uungwana eti eee ....njoo nikufundishe kutongoza achana na mavideo call wanawake hawapendi
 
[emoji1][emoji1][emoji1] poa poa legend wa kutongoza
 
Mzee hapa ni kimasihara tu si habari za kuchambana, tunaomba hayo mashindano yako upeleke kule chitchat. Umaku hautakiwi humu
 
Oyaa deny mwenyewe ndio huyo hapo kwenye dp??
 
Kweli huu uzi umekaa kimasihara, taka usitake demu lazima uliwe.

Mkuu umetunukiwa shahada ya juu kabisa ya ubaharia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…