Mimi napendaga kwanza nikute yuko na wateja wengi haswa haswa wakike Naropoka kwa Nguvu Naomba Condom!
Hapo lazima aniulize ipi? Huwa namjibu kwa Kumuuliza ipi ni nzuri. Huwa hawajibu wanaishia kukushangaa na hapo hapo Nachomekea kwa wale walioko pale eti Condom ipi ni nzuri jamani ambayo haina shida nikaitumie. Wataishia kucheka na Mwisho wa siku najua ntafanya Mbinu yeyote nimwachie yeyote namba.
Kama yuko Muhudumu wa kike pekee na ni Pisi huwa namuuliza ipi nzuri. Wengine huwa wanaamua kukuchagulia au mwambie ambayo hata ww huwa unaweza kuitumia na Mtu wako. Halaf chukua Pakiti kama 3 ivi Muulize kiutani Mbona huniandikii matumizi yake, Mwambie wewe hujui kiutani; Ataishia kucheka tu au atakwambia tumia Moja kwa kila Tendo. Mwambie nikishindwa kuzimaliza zote Ntakutafuta niangalie namna ya kuzirejesha au kuzitumia. Niandikie namba zako ili nikitaka maelezo zaidi nikuulize Dokta.
Huko mbeleni namna ya kuja kuzitumia naye sikufundishi mimi nimemaliza[emoji114]