Kuna mkaka wa pale Dodoma mwenye I'd inayoanza na irabu za mwanzo na kuishia na irabu za mwisho
Alichonifanyia pale Dodoma D... m...m Hotel ilikuwa kimasihara,ilikuwa kimasihara kabisa,nahisi alitumia uchawi maana najielewa huwa stoi tunda kimasihara
Nikiwa zangu safarini kutoka Dar kwenda Mwanza,kijana mmoja nilikuwa namwelewa pm,akaniomba nishuke Dom,akaniomba tangu alfajiri kila dakika ananiomba
Nikaona isiwe soo,nikashuka kanipokea kanipeleka hotel yenye jina la mama,nikajikuta ameniroga akanila kimasihara
Karibuni tutambulishane tuliokulana kimasihara humu JF
Jamani PM imejaaa ,usipojibiwa cool down,sasa hivi staliwa kimasihara